NIPASHE JUMAPILI
17Mar 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Hali ni tofauti kwa Agnetha Bahigwe, anayefanya kazi kwenye mochwari ya Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) jijini Dodoma.Agnetha (24) ni mwanamke wa kwanza kufanya kazi kwenye chumba cha kuhifadhi...
17Mar 2024
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Wakimbia kuozeshwa, waangukia ukatili wa mabosi...
Wadau wa eneo hilo waliozungumza na Nipashe wakiwamo mabinti wenyewe, wameeleza kwa kina namna ilivyo biashara hiyo, mtoto anavyoondolewa mikononi mwa wazazi wake hadi anapotumikishwa.Serikali nayo...
17Mar 2024
Adam Fungamwango
Nipashe Jumapili
Simba itaanzia nyumbani Machi 29 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kujaribu kusaka tiketi ya kucheza nusu fainali ya michuano hiyo mikubwa zaidi kwa ngazi ya vilabu Barani Afrika.Akizungumza mara baada...
17Mar 2024
Said Hamdani
Nipashe Jumapili
Kichanga hicho kilichozaliwa wiki iliyopita kimeokolewa na mwananchi Ally Hussein, aliyekuwa anapita njiani karibu na choo hicho baada ya kusikia sauti ya mtoto.Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi...
17Mar 2024
Saada Akida
Nipashe Jumapili
Yanga yataka kuendeleza ubabe ikitaka kujidhatiti kileleni, Azam yataka...
Katika mchezo wa leo ambao Azam ni mwenyeji, anaingia kuumana na Yanga huku akiwa kwenye nafasi ya tatu baada ya kukusanya pointi 44 wakizidiwa kwa pointi nane na Yanga ambao ni vinara wa ligi hiyo....
17Mar 2024
Said Hamdani
Nipashe Jumapili
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi, Kamishna Msaidizi (ACP) Andrew Ngassa, amesema kuwa Mbwana alikutwa amefariki dunia katika nyumba ya kulala wageni ya Another Coast iliyoko Kata ya Mikumbi...
17Mar 2024
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Ofisa wa Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) Hospitali ya Muhimbili, Chindemba Lingwana, amesema huduma hiyo ni katika kuendana na kasi ya sayansi na teknolojia.“Mfumo huu...
17Mar 2024
Thobias Mwanakatwe
Nipashe Jumapili
Akifungua Mkutano Mkuu wa Wafugaji Nyuki wa Mkoa wa Singida ulioandaliwa na Kampuni ya Kijiji cha Nyuki, Pinda amesema chanzo cha sumu ya nyuki kuuzwa ghali ni kutokana na utafiti unaoendelea.Katika...
10Mar 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Inadaiwa Daines alifanya tukio hilo akiwa nyumbani kwake lakini vifo vya watoto hao vilitokea muda mfupi baada ya kufikishwa katika Hospitali ya Mkoa wa Mbeya.Kamanda wa Polisi mkoani humo, SACP-...
10Mar 2024
Thobias Mwanakatwe
Nipashe Jumapili
Serukamba ambaye amehamishiwa mkoani Iringa, ametumia nafasi ya kuwaaga watumishi na wananchi kwenye kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa (RCC), ambapo amesema wakati anateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa...
10Mar 2024
Saada Akida
Nipashe Jumapili
Hata hivyo taarifa zilizopatikana jijini, Dar es Salaam zinasema mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga wanatajwa kumwinda mshambuliaji huyo ambaye amekuwa na kiwango bora kila...
10Mar 2024
Vitus Audax
Nipashe Jumapili
Walikutana gerezani akisubiri kunyongwa hadi kufa
Ndivyo ilivyokuwa kwa mwanadada Rose Malle, mkazi wa Moshi mkoani Kilimanjaro ambaye alihukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kukutwa na hatia ya kumuua dereva wa pikipiki maarufu kama bodaboda....
10Mar 2024
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Katika mabadiliko hayo yaliyotangazwa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dk. Moses Kusiluka, Rais Samia amewateua Luteni Kanali Patrick Sawala kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Paul Chacha (Tabora) na Daniel...
10Mar 2024
Julieth Mkireri
Nipashe Jumapili
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Pius Lutumo, amesema kuwa, katika mapambano hayo askari polisi walilazimika kutumia mabomu na risasi, baada ya wabeba mkaa kukaidi kujisalimisha na kuwashambulia...
10Mar 2024
Enock Charles
Nipashe Jumapili
Wamesema chanzo cha udhalilishaji kwa wanawake ni viti maalum ambavyo havina hadhi sawa na vile vinavyopatikana kwa kupigiwa kura na wananchi katika majimbo.Akizungumza katika mdahalo ulioandaliwa na...
Timu ya wataalam wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) wanaosimamia mradi wa mageuzi ya kiuchumi unaofadhiliwa na Benki ya Dunia HEET, wakijadiliana masuala mbalimbali ya kutumia fursa za kiuchumi ikiwemo ujenzi wa majengo ambayo yatatumika kwa shughuli za uzalishaji mali na ili kuongeza mapato ya Chuo, kikao hicho kimefanyika wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani.
03Mar 2024
Grace Mwakalinga
Nipashe Jumapili
Wito huo umetolewa jana na Mratibu Mkuu wa Mradi huo wa Chuo hicho Profesa Deus Ngaruko katika siku ya kwanza ya kikao kazi cha siku tatu kinachoendelea wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani kukiwahusisha...
03Mar 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Ujumbe huo uliongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Bernard Konga aliyefika hospitalini hapo siku ya Jumamosi kuangalia namna huduma kwa wanachama wa NHIF zinavyoendelea hospitalini hapo. ...
03Mar 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru, Chiza Marando amesema ujenzi huo ulioanza mwishoni mwa Desemba 2023 unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa Aprili 2024 na utagharimu kiasi cha...
03Mar 2024
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Maelfu ya wananchi walijitokeza jana kuaga na baadaye kuzika mwili wa Rais huyo wa awamu ya pili ambaye kifo chake kilitangazwa na Rais Samia Suluhu Hassan Februari 29, mwaka huu.Kwa jana kuanzia...
03Mar 2024
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Amesema kifo cha Rais Mwinyi, maarufu Mzee Rukhsa, ni sawa na kuungua moto kwa maktaba kubwa iliyosheheni vitabu vya maarifa. "Kifo chake ni pigo kwa taifa na kwangu binafsi kama Mkuu wa Nchi....