NIPASHE JUMAPILI

10Dec 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Akizungumza Jana mara baada ya kusainiwa kwa Mkataba huo, Katibu Mkuu wa TUGHE Taifa, Cde. Hery Mkunda alisema kuwa kwa mara ya kwanza mkataba umeongeza idadi ya siku ya likizo kwa mfanyakazi...
10Dec 2023
Elizabeth John
Nipashe Jumapili
Akizungumza kwa niaba ya Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Alphayo Kidata, Mkurugenzi Msaidizi Utawala Nahoda Nahoda katika hafla ya utoaji tuzo kwa mlipakodi bora kwenye maadhimisho...

Feisal Salum.

10Dec 2023
Adam Fungamwango
Nipashe Jumapili
Fei Toto amelingana idadi hiyo ya mabao na wachezaji wa Yanga, Stephane Aziz Ki na Maxi Nzengeli pamoja na Mkongomani Jean Baleke wa Simba.Mzanzibari huyo ambaye alitua Azam FC akitokea Yanga,...
10Dec 2023
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Baada  ya baadhi ya barabara kujaa maji jijini Dar es Salaam, madereva wa vyombo hivyo walitumia fursa hiyo kubeba abiria waliokuwa wakishuka kwenye daladala na mwendokasi kwa kuwatoza Sh. 10,...

Umoja wa Makanisa ya CPCT watoa mifuko 500 ya saruji kama sehemu ya msaada wa kibinadamu kuwafariji wa waathirika wa maporomoko ya Mawe na Matope kutoka Mlima Hanang, Mkoani Manyara.

10Dec 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
..kwa namna walivyoendelea kuonesha upendo kwa kuchangia mifuko 500 ya saruji kwa waathirika wa maafa ya maporomoko ya tope na mawe kutoka Mlima Hanang’ mkoani Manyara na kuendelea kuwaombea...
10Dec 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Ametoa kauli hiyo alipongoza ujumbe kutoka baraza la wawakilishi kutoa Msaada wa kibinadamu kwa waathirika wa maporomoko hayo katika Halmashauri ya Wilaya ya Hanang yaliyotokea Desemba 3, 2023....

Mwenyekiti wa Tamasha la Utamaduni Kilimanjaro (KCF), Hans Mmasy (katikati), akieleza namna kampuni hiyo inavyojipanga kuhifadhi shughuli za kutamaduni kuelekea tamasha maalum Disemba 27 na 28, 2023. *PICHA: GODFREY MUSHI*

03Dec 2023
Godfrey Mushi
Nipashe Jumapili
Aidha, wadau hao kupitia Taasi ya Umataduni ya Kilimanjaro (KCF), limeanzisha mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia, vita dhidi ya mapenzi ya jinsia moja, na madarasa maalum ya kupambana na...

Kikosi cha Wanamaji FC ya Sota, kitakachovaana na Mafundi fc katika hatua ya robo fainali ya michuano ya Umoja Cup Rorya 2023 inayoendea wilayani humo. MPIGA PICHA WETU

03Dec 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Timu nane zilizofanikiwa kutinga hatua ya robo fainali ya michuano hiyo ambayo lengo lake mbali na kutoa burudani kwa Wanarorya, ni kuibua vipaji na kujenga umoja na ushirikiano wilayani humo, ni KMT...
03Dec 2023
Thobias Mwanakatwe
Nipashe Jumapili
Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo, James Mkwega, alikiambia kikao cha baraza hilo wakati wa kujadili utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa kipindi cha robo ya kwanza kwa mwaka wa fedha wa 2023/24....
03Dec 2023
Daniel Limbe
Nipashe Jumapili
Katibu wa Chama cha riadha Mkoa wa Geita, Saguda Maduhu, ameiambia Nipashe Digital kuwa mbio hizo zimefana kutokana na mwitikio mkubwa wa wananchi waliojitokeza kushiriki kwenye tamasha la "...
03Dec 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
-mume wake Rogatus Malekela.Hukumu hiyo ilisomwa Desemba Mosi, mwaka huu na Jaji James Karayemaha katika mahakama hiyo mjini Njombe, ambapo amesema kuwa kwa mujibu wa mashtaka Septemba 2, 2022 katika...
03Dec 2023
Rose Jacob
Nipashe Jumapili
Mkuu wa Wilaya hiyo, Hassan Bomboka, alisema hayo wakati wa maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani huku akisema wavuvi wamekuwa wakitoa ajira kwa kinamama wa kupika chakula na shughuli mbalimbali...
03Dec 2023
Halima Ikunji
Nipashe Jumapili
Mstaafu huyo amehukumiwa kifungo hicho baada ya kukutwa na hatia katika makosa mawili ya  kushawishi na kutoa rushwa ya Sh.500,000 kwa ofisa utumishi.Mwendesha Mashtaka wa Taasisi ya Kuzuia na...

JAJI Mkuu, Prof. Ibrahim Juma.

03Dec 2023
Kulwa Mzee
Nipashe Jumapili
Kutokana na hali hiyo, amekitaka Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) kuchukua hatua kabla ya majaji kulalamika.Prof. Juma alibainisha hayo katika hafla ya kuwakubali na kuwatunuku vyeti mawakili...

WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda.

03Dec 2023
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Waziri Mkenda ametoa rai hiyo mwishoni mwa wiki Bagamoyo Mkoa wa Pwani wakati akizungumza kwenye mahafali ya 31 ya Wakala wa Maendeleo ya Uongozi wa Elimu (ADEM). "Katika kipindi hiki,...

Wahitimu wakielekea kwenye eneo la mahafali

03Dec 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Ombi hilo lilitolewa mwishoni mwa wiki na Makamu Mkuu wa chuo hicho, Profesa Yohana Mashalla, wakati akizungmza kwenye mahafali ya 21 ya chuo hicho yaliyfanyika Mikocheni .Kwenye mahafali hayo,...

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko.

03Dec 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
ambapo katika kikao kazi hicho ametoa maagizo makuu matatu ambayo ni kupambana na rushwa katika maeneo ya kazi, kujenga mahusiano mazuri na watu na kutekeleza maono ya vitu vitakavyoboresha utendaji...

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Jenista Mhagama akiwatunuku vyeti wahitimu, wakati wa mahafali ya Chuo cha Biblia cha Evengelism Church yaliyofanyika, Sakila Katika wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha.

03Dec 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Wito huo umetolewa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Jenista Mhagama wakati wa mahafali ya 83 ya chuo hicho yaliyofanyika, Sakila Katika wilaya ya Arumeru mkoani Arusha....

Muuzaji wa vyakula vya Mifugo Kutoka Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani Domitela Melisa (Kulia) akitoa ushauri kuhusu lishe ya kuku kwa mmoja wa wafugaji aliyefika dukani kwake (kushoto), wanaoshuhudia katikati ni Meneja wa Maabara kuu ya Veterinari nchini Dk. Geofrey Omarch na Mkaguzi wa vyakula vya Mifugo kutoka Wizara ya Mifugo na Uvuvi Theodata Salema waliofika dukani hapo Desemba 1,2023 kukagua namna huduma ya vyakula vya Mifugo inavyotolewa.

03Dec 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
◾ Serikali yaunda kikosi kazi cha ukaguzi wa kushtukiza
Hayo yamesemwa Jana Desemba 02, 2023 na Mtendaji Mkuu wa Wakala hiyo Dk. Stella Bitanyi alipokuwa akitoa taarifa fupi ya yaliyobainika wakati wa operesheni maalum iliyoendeshwa na timu ya wataalam...

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwasalimia wafanyakazi wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) wakati alipokuwa akitembelea maonesho ya Wiki ya Huduma za Kifedha yanayofanyika jijini Arusha.

26Nov 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Waziri Mkuu alitoa pongezi hizo kwa TADB wakati alipokuwa akitembelea Maonesho ya Huduma za Kifedha yanayoendelea jijini Arusha.Alisema, Serikali inatambua kazi nzuri inayofanywa na benki hiyo katika...

Pages