NIPASHE JUMAPILI
29Oct 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
DC Itunda amesema hayo wakati wa kongamano la kujadili namna ya kuzuia ajali wilayani humo lililowahusisha zaidi ya vijana 1,000 ambao ni madereva wa bodaboda, bajaji, guta, noah na taksi...
29Oct 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Jenista Mhagama Peramiho, wakati wa Maadhimisho ya wiki ya (UWT) Wilaya ya Songea yaliyofanyika katika Kata ya...
29Oct 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Hayo yameelezwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko alipomwakilisha Rais Dk.Samia Suluhu Hassan katika Kilele cha Tamasha la 42 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo...
22Oct 2023
Frank Monyo
Nipashe Jumapili
Taarifa hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Madini Dk. Steven Kiruswa wakati wa ufunguzi wa mkutano huo wa siku tatu ulioanza leo Oktoba 22, 2023 jijini Dar es Salaam hadi Oktoba 24, 2023.Mkutano huo...
22Oct 2023
Alphonce Kabilondo
Nipashe Jumapili
Wakizungumza na gazeti hili, baadhi ya wananchi walisema tukio hilo lilitokea Oktoba 3, mwaka huu, mchana baada ya magari sita yasiyo na namba za usajili yakiwa na askari wa maliasili kufika hapo na...
22Oct 2023
Neema Hussein
Nipashe Jumapili
Wakizungumza na Nipashe Digital wananchi hao wamesema hali hiyo iliwafanya washuke kiuchumi na wanafunzi kutokwenda shule hasa kipindi cha mvua.Onesmo Buswelu ni Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika amesema...
22Oct 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Mukoko aliuziwa eneo hilo na aliyekuwa mume wa Hidaya, Twalib Amri, waliyetengana naye mwaka 2015 kisha mama huyo kuanza kupigwa na kuzuiwa kufika katika eneo hilo na aliyekuwa mume wake.Mgogoro huo...
22Oct 2023
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Mkanganyiko huo umetokea baada ya mwili uliokuwa upelekwe Moshi, mkoani Kilimanjaro kukabidhiwa kwa watu wengine na kuupeleka Songea, mkoani Ruvuma.Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano MNH, Aminiel...
15Oct 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Oktoba 13,mwaka huu,TCRA ilitoa taarifa kwa umma kuhusu matumizi ya VPN,tamko lililowaibua watumiaji wa mitandao ya kijamii.Kwa mujibu wa taarifa ya ufafanuzi iliyotolewa Oktoba 15,mwaka huu na Mkuu...
15Oct 2023
Marco Maduhu
Nipashe Jumapili
Tamasha hilo limefanyika jana Oktoba 14 katika Uwanja wa CCM Kambarage Mjini Shinyanga, ambapo washindi wa Mbio hizo za Baiskeli waliondoka na zawadi ya fedha Taslimu.Amesema Tamasha hilo la Mbio za...
15Oct 2023
Thobias Mwanakatwe
Nipashe Jumapili
Akizungumza na wananchi wa Ikungi baada ya kuzindua vituo hivyo leo (Oktoba 15, 2023) amesema baada ya serikali kujenga vituo hivyo vya polisi sasa mambo ya kujichukulia sheria mikononi sasa iishe na...
15Oct 2023
Thobias Mwanakatwe
Nipashe Jumapili
Akizungumza na wananchi wilayani Manyoni leo (Oktoba 15,2023) katika siku ya kwanza ya ziara yake mkoani Singida, amesema serikali imeendelea kuchukua hatua kadhaa za kukabiliana na changamoto ya...
15Oct 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Hayo yamebainishwa leo Oktoba 15, 2023 na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko alipomwakilisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Philip Mpango kwenye Uwekaji...
15Oct 2023
Thobias Mwanakatwe
Nipashe Jumapili
...msingi na sekondari zilizojengwa kupitia Mradi wa Kuimarisha Ufundishaji na Ujifunzaji kwa Shule za Awali na Msingi (BOOST) na Mradi wa Kuimarisha Elimu ya Sekondari (SEQUIP). ...
15Oct 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Viongozi wanaotafutwa ni pamoja na mabalozi, wenyeviti wa mitaa, watendaji walioshirikiana na madalali waliohusika kuwauzia wananchi viwanja katika eneo la shamba hilo lililopo Halmashauri ya Mji...
15Oct 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kuondoka kwa kiongozi huyo aliyejitolea kwa moyo wote kupigania ukombozi wa taifa hili kujitawala kutoka katika makucha ya wakoloni, lilikuwa pigo kwa Tanzania. Pia Afrika na dunia nzima iliomboleza...
15Oct 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano cha LATRA, kampuni hizo ni Super Feo Enterprises, ABC Upper Class and Transportation Ltd na Happy Nation Co. Ltd.Taarifa...
15Oct 2023
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kutokana na kauli hiyo, wadau mbalimbali wameibuka na kutoa maoni yao.Katika mdahalo wa Wiki ya Vijana ulioandaliwa mjini Babati, Dk. Tulia alisema watu wanatemwa kutokana na kukosa maandalizi ya...
08Oct 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Asisitiza Wakuu wa mikoa, Wilaya kuwa wabunifu kutangaza fursa za utaliii, Awahimiza Watendaji kutimiza wajibu wao kuwahudumia Watanzania
Dk. Biteko amefanya uzinduzi huo Oktoba 7, 2023 jijini Dar es salaam katika Kongamano la Uwekezaji la Swahili International Tourism Expo lenye lengo la kutangaza fursa za uwekezaji zilizoko katika...
08Oct 2023
Julieth Mkireri
Nipashe Jumapili
-kiuchumi na mzunguko wa fedha Nondo ameeleza hayo aliposhiriki katika Mkutano wa hadhara Kata ya Kitongoni-Ujiji uliofanyika eneo la Ghazal ambapo alieleza kasoro zilizopo kwenye bandari ya ujiji na...
