NIPASHE JUMAPILI

24Sep 2023
Nipashe Jumapili
Akizungumza wakati wa kuzindua kambi ya Jeshi la Huduma ya Kijumuisho (GSU) katika Jimbo la Tiaty, kaunti ya Baringo ambapo pia amesema kuwa yeyote anayewashambulia wale waliopewa jukumu la kulinda...

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Kamishna Msaidizi Mwandamizi (SACP) Wilbroad Mutafungwa.

24Sep 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Kamishna Msaidizi Mwandamizi (SACP) Wilbroad Mutafungwa, alisema katika taarifa yake kuwa watuhumiwa hao ni kutoka katika Shule ya Msingi Igulumuki na Shule ya...

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.

24Sep 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Hivyo ndivyo inavyoweza kuelezwa baada ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuibua ufisadi mpya wa mamilioni katika wilaya ya Kigoma na kuahidi kupeleka timu maalum ili kuchunguza fedha zinazopotea...

WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Marekani, Antony Blinken.

24Sep 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Ufadhili huo mpya umetangazwa katika Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa ambao utasaidia juhudi za maendeleo ya serikali na kuwezesha uboreshaji wa huduma za umma kama sehemu ya Mpango wa USAID wa...

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko.

24Sep 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Tuzo imetolewa na Wachimbaji kutambua Mchango wake, Madini Scheme Mbioni kuanza, Sekta ya Madini imekua Sekta Kiongozi - Waziri Mavunde, Mavunde atoa onyo kwa watoroshaji madini nchini
Hayo yamebainishwa jana Septemba 23, 2023 na Viongozi mbalimbali wa Serikali na Wadau wa Sekta ya Madini wakati Dk. Biteko akifungua rasmi Maonesho ya Sita ya Kimataifa ya Teknolojia ya Madini katika...
17Sep 2023
Godfrey Mushi
Nipashe Jumapili
Sheria hiyo imeweka adhabu ya Sh.100,000 ama kifungo cha miezi mitatu au vyote kwa pamoja kwa atakayepokea sukari ili mwanaye aolewe.Akizungumza kijijini humo, kabla ya mkutano mkuu wa kijiji...

MKUU wa Mkoa wa Singida,Peter Serukamba (aliyevaa traksuti) akishiriki jana kufanya usafi katika soko la Msufini lililopo Manispaa ya Singida ikiwa ni moja ya maadhimisho ya Siku ya Usafishaji Mazingira Duniani, PICHA THOBIAS MWANAKATWE

17Sep 2023
Thobias Mwanakatwe
Nipashe Jumapili
Ametoa agizo hilo jana wakati kuadhimisha  Siku ya Usafishaji Mazingira Duniani ambapo alishiriki katika kufanya usafi katika soko la Msufini lililopo katika Manispaa ya Singida kwa lengo la...

Waziri wa Madini,Anthony Mavunde.

17Sep 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Hayo yamesemwa leo Septemba 17,2023 mkoani Morogoro na Waziri wa Madini,Anthony Mavunde alipokuwa akifunga kikao kazi cha Menejimenti ya GST ambacho kilikuwa mahsusi kwa ajili ya utekelezaji wa...

Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Jabir Shekimweri.

17Sep 2023
Augusta Njoji
Nipashe Jumapili
Shekimweri alitoa rai hiyo wakati akifungua mafunzo ya kuwajengea uwezo wa mfumo huo maofisa tarafa, watendaji wa kata, wenyeviti na watendaji wa mitaa wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma.Alisema...

dada wa bilionea msuya.

17Sep 2023
Grace Gurisha
Nipashe Jumapili
Mfuru (38) ambae ni shahidi wa 25 katika kesi ya mauaji namba 103 ya mwaka 2018  dhidi ya Mrita na mfanyabiashara Revocatus Muyela, alidai hayo mbele ya Jaji Edwin Kakolaki wa Mahakama Kuu Kanda...
17Sep 2023
Neema Hussein
Nipashe Jumapili
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele, Soud Mbogo wakati akifunga kikao cha baraza la madiwani cha  robo ya mwisho kwa mwaka wa fedha 2022-2023.Kwa upande wao baadhi ya...
17Sep 2023
Halfani Chusi
Nipashe Jumapili
Kafulila aliyasema hayo Dar es Salaam wakati akiwakaribisha wawekezaji katika sekta mbalimbali ikiwamo ya uchukuzi.“Wingi wa watu katika Jiji la Dar es Salaam unazidi eneo. Watu ni wengi kuliko...
17Sep 2023
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Nipashe ilipomtafuta, Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Nector Pendaeli, kuzungumzia suala hilo, alikiri kuwapo kwa tatizo baadhi ya mikoa.“Kuna baadhi ya maeneo...

MBUNGE wa Viti Maalum (CCM), Asha Abdullah Juma.

10Sep 2023
Augusta Njoji
Nipashe Jumapili
Akiuliza maswali bungeni jana, mbunge huyo alihoji kwa nini serikali haifanyi utafiti wa bei za safari za ndege ndani ya nchi kutokana na bei hizo kuwa kubwa.“Kwa mfano Dodoma hadi Dar es...
10Sep 2023
Maulid Mmbaga
Nipashe Jumapili
Rehema ameyasema hayo leo wakati akizungumza na vijana na wananchi wa Pemba, amesema yanayofanyika Zanzibar na Tanzania kwa ujumla ni utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025 na viongozi...
10Sep 2023
Maulid Mmbaga
Nipashe Jumapili
Akizungumza wakati wa kikao alichoketi na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega, leo Mkoani Dar es Salaam, Gabriel amesema mashirikiano hayo yataelekezwa hasa katika kuwawezesha wanawake...
10Sep 2023
Thobias Mwanakatwe
Nipashe Jumapili
Akizungumza katika hafla ya kumkabidhi Mkandarasi Henan Highway Engineering Group Ltd ya nchini China kuanza kazi ya ujenzi wa barabara hiyo yenye urefu wa kilometa 77.6 kwa kiwango cha lami...

Dada wa Bilionea Msuya, Aneth Msuya.

10Sep 2023
Grace Gurisha
Nipashe Jumapili
Katika kesi hiyo, Miriam Mrita ambaye ni mke wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu wa madini mkoani Arusha, Erasto Msuya, na mfanyabiashara Revocatus Muyela, wanadaiwa kuwa Mei 25, 2016 walimuuwa Aneth...
10Sep 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
-wapenzi wa chama mkoani Arusha.Mbowe amesema Chama hicho kinafuatilia kwa karibu na kutaka watu wake wote waachiliwe huru haraka iwezekanavyo na bila masharti yoyote.Kauli ya Mbowe inakuja muda...
10Sep 2023
Shaban Njia
Nipashe Jumapili
Tukio hilo lilitokea majira ya saa 2:00 asubuhi katika kitongoji cha Namba Tisa “A” akiwa kwenye shamba lake la miti huku sababu za kutekeleza tukio hilo zikiwa hazijafamika mpaka sasa....

Pages