NIPASHE JUMAPILI
13Aug 2023
Nipashe Jumapili
Akizungumza katika Uwanja wa Jaramogi Oginga Odinga huko Bondo, Kaunti ya Siaya nchini Kenya wakati wa sala za kimataifa kwa ajili ya waathirika wa ukatili wa polisi, Odinga amesema kuwa muungano huo...
13Aug 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Akiwa eneo la Nansio, Mjumbe wa Kamati Tendaji ya CHADEMA Kanda ya Ziwa Victoria, Karoli James, alimweleza Mbowe kwamba huduma za afya visiwani humo hairidhishi, hali inayosababisha baadhi ya...
06Aug 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Mtaka ameyasema hayo baada ya kutembelea Banda la Kumbukumbu za John Mwakangale kwenye Maonesho ya Nanenane ya Kitaifa yanayofanyika katika viwanja vya John Mwakangale, jijini Mbeya. "Mimi...
06Aug 2023
Adam Fungamwango
Nipashe Jumapili
Akizungumza jijini Dar es Salaam, Ofisa Habari wa klabu hiyo, Ali Kamwe alisema kikosi chao kitaondoka Jumatatu kwa ndege kwenda Tanga na kitafika siku hiyo na kupata mapumziko, kabla ya kufanya...
06Aug 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kutokana na hali hiyo, Shirika la Dorcas Aid International Tanzania limewakatia Bima ya Afya ya Jamii iliyoboreshwa (iCHF) zaidi ya wazee 160 wa kijiji cha Chambora wilayani Chemba ili kuondokana na...
06Aug 2023
Stephen Chidiye
Nipashe Jumapili
Ally alishtakiwa kwa madai ya kukutwa na meno ya tembo) bila kibali cha mkurugenzi wa Wanyamapori. Wakati Ally akihukumiwa kutumikia kifungo hicho, mahakama hiyo pia imewaachia huru washtakiwa wawili...
Mwanafunziwa mwaka wa nne anayesomea Uhandisi Kilimo na Mitambo katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Hawa Juma,kushoto,akiwa na Mwalimu wake ambaye ni Mhadhiri na Mtafiti na Mshauri wa Kilimo,Usalama,Chakula na Mazingira,Dk Athuman Mahinda,kushoto wakionyesha mashine ya kukaushia korosho iliyobuniwa na mwanafunzi huyo kwaajili ya kuwasidia wakulima wa zao hilo katika viwanja vya maonesho ya Kitaifa ya wakulima yanayofanyika katika viwanja vya John Mwakangale,Picha na Ashton Baligwa,MBEYA
06Aug 2023
Ashton Balaigwa
Nipashe Jumapili
Maamuzi ya mwanafunzi huyo kutengeneza mashine hiyo,inatokana na utafiti wake alioufanya kwa wakulima wa korosho wa Mkoa wa Lindi na kubaini wamekuwa wakitumia njia za kienyeji kukausha na jua na...
06Aug 2023
Marco Maduhu
Nipashe Jumapili
Alibainisha hayo jana Agosti 5, 2023 kwenye Maadhimisho ya siku ya lishe na wiki ya unyonyeshaji Mkoa wa Shinyanga yaliyoanyika Kata ya Ndala Manispaa ya Shinyanga. Alisema maziwa ya mama kwa...
06Aug 2023
Vitus Audax
Nipashe Jumapili
Vijana hao ambao wanadhaminiwa kimasomo katika ngazi zote za elimu na Shirika lisilo la Kiserikali la Under The Same Sun (UTSS) wametoa ombi hilo jana kwa nyakati tofauti wakiwa katika kambi ya...
06Aug 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Akizungumza mara baada ya mafunzo hayo Mratibu wa Elimu Bora mkaoni Simiyu, Ester Malwa amesema kuwa mafunzo hayo yatawasaidia walimu hao kushirikiana na jamii kuweza kuhamasisha mahudhurio ya...
30Jul 2023
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Akizungumza na wanachama wa CCM Mkoa wa Tabora, Kinana amefurahishwa na hatua zinazochukuliwa na serikali kutatua changamoto za wakulima.“Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, ameeeleza...
30Jul 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Msando ameyaongea hayo katika mkutano wa CCM mkoani Mwanza uliongozwa na Katibu Mkuu wa Chama hicho Daniel Chongolo.Amesema.."Mkataba tuliosaini sisi unasema tutashirikiana kwenye mambo...
30Jul 2023
Maulid Mmbaga
Nipashe Jumapili
Akizungumza na wananchi leo mkoani Tabora Kinana, amesisitiza kwamba wenyewe wasiposhikamana ‘wataparanganyika’ na kwamba watashindwa kuteteana na kusemeana.“Wakishamaliza kugombea...
30Jul 2023
Thobias Mwanakatwe
Nipashe Jumapili
na hivyo kuondokana na kero ya kutembea umbali mrefu wa kilometa 70 kwenda kusoma katika Sekondari nyingine iliyopo kata ya Rungwa.Ametoa agizo hilo jana (Julai 29, 2023) akiwa na Kamati ya Siasa ya...
30Jul 2023
Adam Fungamwango
Nipashe Jumapili
-Simba Day ili kuthibitisha kile anachokisema.Kibu, ambaye wakati mwingine huchezeshwa kama mshambuliaji wa kati amesema kwa muda ambao wamekaa nao kambini nchini Uturuki, vitu wanavyoonyesha...
30Jul 2023
Maulid Mmbaga
Nipashe Jumapili
wilayani Itilima mkoani Simiyu, wakulima waliwasilisha kilio chao kuhusu kushuka kwa bei ya pamba na kuchangia kuendelea kutafunwa na umaskini kauli ambayo Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Abdulrahman...
30Jul 2023
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Hata hivyo kifo hicho kimeibua utata baada ya Jeshi la Polisi kueleza kuwa mwili wa ofisa huyo umekutwa ukiwa na jeraha.Akizungumza kwa njia ya simu, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Tanga, Kamishna...
30Jul 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Melania, anatuhumiwa kufanya mauaji hayo kwa kushirikiana na Priscus Daniel, maarufu Mtivei, aliyekuwa akiishi naye ambaye inasemekana sio baba wa mtoto huyo.Inadaiwa, baada ya kumuua walizika kichwa...
30Jul 2023
Ibrahim Joseph
Nipashe Jumapili
Makundi hayo ni pamoja na wasomi wa vyuo vikuu, viongozi wa madhehebu ya dini pamoja na sekta binafsi.Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa, Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Damas Ndumbaro,...
30Jul 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Amesema, mkutano huo uliopangwa kufanyika jijini Dar es Salaam Jumanne ijayo, unalenga kukumbushana sheria na taaratibu za nchi ili kufanya siasa pasi na kuvuruga umoja wa kitaifa.Katika mkutano na...
