NIPASHE JUMAPILI

08Oct 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Yaridhika na utekelezaji wa ilani ya chama, • Chama chawataka watumishi wa serikali kuhakikisha kuwa miradi inakamilika kwa wakati na kwa pesa zilizokusudiwa
...na kusema kuwa imeridhika na utekelezaji wa ilani ya chama na kuipongeza Serikali ya Awamu ya sita inayoongozwa na Rais Mama Samia Salum kwa kupeleka fedha za miradi wilayani humo hali ambayo...
08Oct 2023
Faustine Feliciane
Nipashe Jumapili
Kihenzile alitoa agizo hilo jijini Dar es Salaam wakati akikagua mradi wa ujenzi wa jengo la Kituo Kikuu cha Utabiri na Ofisi ya Kanda ya Mashariki ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA).Alisema...
08Oct 2023
Thobias Mwanakatwe
Nipashe Jumapili
Wazee hao waliyasema hayo kwenye maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani yaliyofanyika kimkoa wilayani hapa. Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Wilaya ya Iramba, Israel Msengi, alisema hivi sasa kumezuka...

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.

08Oct 2023
Nipashe Jumapili
Tukio hilo linatarajiwa kufanyika chuoni hapo Oktoba 10, mwaka huu. Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania Januari Makamba ameeleza kuwa chuo hicho kimechukua uamuzi huo kwa kutambua mchango wa Rais...
08Oct 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki leo Oktober 08, 2023 imesema Tanzania inalaani ukatili uliotokea na kusema vurugu hazijawahi kuwa njia bora ya kutatua...

Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo.

08Oct 2023
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Amesema kuteuliwa katika daraja hilo ni kutimia kwa kauli ya Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, aliyemtabiria siku moja kuwa, akirudi Tanzania...

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Kaster Ngonyani.

08Oct 2023
Neema Hussein
Nipashe Jumapili
Waliouawa ni Mariam Mtemvu (13) ambaye alikuwa dada wa kazi katika familia hiyo na Ester Zuberi mwenye umri wa miaka miwili katika familia hiyo.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Kaster Ngonyani,...
08Oct 2023
Neema Hussein
Nipashe Jumapili
Waliyasema hayo baada ya Chongolo kutembelea na kukagua mradi wa maji Katambike ambao unadaiwa kuchelewa kutokana na mkandarasi aliyekuwa akiutekeleza, kufariki dunia katika ajali ya ndege iliyotokea...
08Oct 2023
Francis Godwin
Nipashe Jumapili
Mtoto huyo wa darasa la tano shuleni hapo, baada ya kusoma kuwa ukiweka hamira katika kachori, watakaokula matumbo yataumuka, aliporudi nyumbani alichukua sumu ya panya akidhani ni hamira na kuweka...
01Oct 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
inayolenga kuibua vipaji vya watoto wadogo. Hatua hiyo ni muendelezo wa mkakati wa benki hiyo katika kukuza mchezo wa soka hapa nchini.Katika kufanikisha program hiyo iliyofanyika viwanja vya Agha...

Rais wa Chama cha Wataalamu wa Afya Kinywa na Meno Tanzania (TDA), Dk. Deogratias Kilasara (kushoto), akimkabidhi Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini TDA, Halima Mamuya, tuzo ya Mshindi wa Utoaji Elimu Bora wa Afya ya Kinywa na Meno inayotolewa na Shirikisho la Vyama vya Afya ya Kinywa na Meno Duniani (FDI). Makamu Mwenyekiti TDA, Prof. Flora Fabian (kulia).

01Oct 2023
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Ummy ametoa pongezi hizo hivi karibuni, baada ya TDA kupewa tuzo hiyo inayotolewa na Shirikisho la Vyama vya Afya ya Kinywa Meno Duniani (FDI), Septemba 24, mwaka huu, Sydney, nchini Australia."...

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera akiwa katika mazungumzo ofisini kwake na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa na Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba

01Oct 2023
Gwamaka Alipipi
Nipashe Jumapili
Mawaziri hao wamepokelewa na Mkuu wa Mkoa Mbeya, Juma Homera katika ofisi yake na wataendelea na ziara katika Wilaya ya Busokelo. Katika ziara hiyo, watakagua mradi wa Barabara ya Katumba -...
01Oct 2023
Said Hamdani
Nipashe Jumapili
Taarifa kutoka katika vijiji hivyo zilizothibitishwa na Jeshi la Polisi, zilisema vurugu hizo zilitokea Septemba 23, mwaka huu, mchana na kutokana na mapigano hayo, diwani anashikiliwa.Waliofariki...

Papa Francis akimbariki Kadinali mpya Mons.Claudio Gugerotti, wakati wa hafla ya kuwapandisha vyeo makasisi wa Kanisa Katoliki kuwa makadinali, kwenye uwanja wa Mtakatifu Petro, Septemba 30, 2023.

01Oct 2023
Nipashe Jumapili
Papa Francis aliwakaribisha makadinali hao wapya wanaoitwa “Wana mfalme wa Kanisa” ambao mmoja wao siku moja anaweza kuwa mrithi wa papa wa sasa.Kuchagua makadinali wapya, wakiwemo...

John Mnyika.

01Oct 2023
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Mnyika aliyasema hayo jijini Dar es Salaam wakati akifungua kikao cha mafunzo cha Baraza la Wanawake Chadema (BAWACHA) kilichokuwa kikijadili mada mbalimbali.Mnyika alisema katiba inapaswa...
01Oct 2023
Marco Maduhu
Nipashe Jumapili
Mdahalo huo umefanyika jana na kushirikisha wadau kutoka sekta mbalimbali wakiwamo Wafanyabiashara, Wajasiriamali, Asasi za Kiraia, Wananchi, Taasisi za Umma, Dini, Vyama vya Siasa na TANESCO.Makamu...

Magdalena Shauri.

24Sep 2023
Nipashe Jumapili
Mashindano hayo yamefanyika leo Septemba 24, 2023 nchini Ujerumani huku Magdalena akitanguliwa na Tigist Assefa kutoka Ethiopia aliyemaliza wa kwanza kwa saa 2:11:53 na Mkenya Sheila Chepkirui...
24Sep 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Simba SC wamesema ni kweli Che Malone alipata ajali usiku wa kuamkia leo akitokea Airport kuwapokea Ndugu zake lakini yupo sawa hajaumia na kesho ataendelea na mazoezi.“Ni kweli Che Malone...
24Sep 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Wakizungumza kwa nyakati tofauti, baadhi ya waathirika wa tukio hilo wamedai lilifanyika usiku wa kuamkia juzi. Watu wanaodaiwa wakulima walivamia makazi na kushambulia mifugo kwa risasi.Mmoja wa...

Waziri wa Madini, Anthony Mavunde.

24Sep 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
*Mpaka sasa utafiti wa kina wa jiofizikia kwa kutumia ndege umefanyika kwa asilimia 16
Hayo yamebainishwa na Waziri wa Madini, Anthony Mavunde wakati akihutubia wananchi siku ya ufunguzi rasmi wa maonesho ya Teknolojia ya Madini mkoani Geita.Akizungumza juu ya maendeleo ya Sekta ya...

Pages