NIPASHE JUMAPILI
02Jan 2016
David Kisanga
Nipashe Jumapili
Timu hiyo ya Ligi Kuu ya Uganda imesafiri zaidi ya Km 1200 kwa basi baada ya kuondoka jijini Kampala Jumatano asubuhi ikipitia Mutukula.
Kwa mujibu wa daktari wa timu hiyo, Edward Kulubya, wachezaji...
02Jan 2016
Nipashe Jumapili
Michuano ya 10 ya Kombe la Mapinduzi inaanza rasmi leo kwa mechi mbili za Kundi B zikizikutanisha Yanga na Mafunzo FC ya Zanzibar kwenye Uwanja wa Amaan saa 10:15 jioni kabla Mtibwa Sugar kuchuana na...
02Jan 2016
Nipashe Jumapili
Gereji kubwa na maarufu ya Spring City Enterprises iliyopo ndani ya mita 60 kutoka bonde la mto Mlalakuwa eneo la Mikocheni, ni moja ya majengo yaliyoamriwa kubomolewa na mamlaka juzi.
Meneja wa...
02Jan 2016
Abdul Mitumba
Nipashe Jumapili
Mpaka mwezi Novemba mwaka jana, serikali ya awamu ya nne kwa kushirikiana na wanachi ilikamilisha kujenga maabara 5,979 na nyingine 4,410 zilikuwa katika hatua mbalimbali ya ujenzi.
Akizungumza na...
02Jan 2016
Nipashe Jumapili
Aidha, Waziri amewaagiza watumishi waliosimamishwa kazi kufika Ofisi ya Katibu Mkuu wa Wizara ya hiyo kesho kwa taratibu nyingine zaidi.
“Leo asubuhi nimerejea kwenye machinjio ya Vingunguti kwa...
02Jan 2016
Nipashe Jumapili
Hospitali hiyo kwa muda mrefu ilikuwa na shida ya vitanda, hali iliyosababisha wagonjwa wengi kulala sakafuni mpaka Rais wa tano, John Magufuli alipoagiza kununuliwa kwa vitanda 300 kutoka fedha...
