NIPASHE JUMAPILI

MKUU WA MKOA WA KATAVI, SAID MAGALULA

14Feb 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Mkuu huyo wa mkoa alikataa makisio ya bajeti hiyo wakati wa kikao cha baraza la madiwani kilichofanyika jana kwenye ukumbi wa Halmashauri hiyo uliopo mjini hapa. Alisema kuwa katika bajeti hiyo...

Mgombea wa urais wa AFP Soud Said Soud

14Feb 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe Jumapili
Kimesema wakati huu Zanzibar ikielekea katika maandalizi ya marudio ya uchaguzi yapo baadhi ya makundi na watu ambao wameanza kutoa matamshi ya vitisho dhidi ya raia, hivyo jukumu la kuhakikisha...
14Feb 2016
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Walitoa kauli hiyo jana jijini Dar es Salaam wakati wa mkutano baina yao na Rais Magufuli katika ukumbi wa Diamond Jubelee. Akisoma tamko hilo, Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Mkoa wa Dar es Salaam...

Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknoloji na Ufundi, Dk.Joyce Ndalichako

14Feb 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Akizungumza na NIPASHE ofisini kwake jana, katibu huyo alisema kuwa wapo katika hatua za kuomba kibali polisi ili wapate ruhusa ya kufanya maandamano hayo ambayo yatakuwa ya amani, lengo likiwa ni...

Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo

14Feb 2016
Efracia Massawe
Nipashe Jumapili
Maazimio hayo yameisukuma asasi isiyo ya kiserikali ya agenda ya Sinza Dar es Salaam, kulishawishi Shirika la Viwango Tanzania (TBS), kupitisha kiwango cha ukomo wa madini kilichopitishwa na nchi...
14Feb 2016
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Katika ziara yao hiyo ya mafunzo iliyofanyika hivi karibuni, waliweza kuona hatua mbalimbali za uzalishaji wa vinywaji unaofanywa na kiwanda cha kutengeneza bia cha TBL na kuelezwa mikakati ya...

Waziri Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Prof.Makame Mbarawa

14Feb 2016
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Hata hivyo, Taffa imesema kuwa saa chache kabla ya kuzungumza na waandishi jana, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa amekubali ombi lao la kumtaka kuunda kamati ili...
14Feb 2016
Frank Monyo
Nipashe Jumapili
Akizungumza wakati wa kupokea msaada huo, Mzee alisema fedha hizo zitasaidia katika kurahisisha upatikanaji wa vitabu na hivyo kuimarisha mazingira ya utoaji maarifa na kuendeleza elimu Zanzibar...

WACHEZAJI WA YANGA

14Feb 2016
Faustine Feliciane
Nipashe Jumapili
***Yasafiri katika mazingira magumu, lakini yarejea na ushindi kutoka ugenini Mauritius
Shujaa wa Yanga kwenye mechi hiyo alikuwa mshambuliaji Donald Ngoma aliyefunga bao pekee baada ya kazi nzuri ya Juma Abdul. Matokeo hayo yanawapa nafuu Yanga kwenye mechi ya marudiano wiki...

Wachezaji wa timu ya Simba

14Feb 2016
WAANDISHI WETU
Nipashe Jumapili
Magoli mawili ya straika Hamis Kiiza yalimpa kocha huyo ushindi wa 2-1 dhidi ya Stand United kwenye Uwanja wa Kambarage, Shinyanga ikiwa ni mara ya sita mfululizo kikosi cha Simba chini ya Mganda...

RAIS DK.JOHN MAGUFULI

14Feb 2016
WAANDISHI WETU
Nipashe Jumapili
**Aagiza mawaziri wakatwe mishahara **Asema yeye si nguvu ya soda **Atataka watanzania wajipime siku 100 wamefanya nini **Hataingilia suala la uchaguzi wa marudio Zanzibar
RAIS John Magufuli amewaomba mawaziri, manaibu mawaziri, Makatibu wakuu na Manaibu wao wakubali kukatwa Sh. milioni moja kwenye mishahara yao ili zipatikane fedha za ujenzi wa madarasa jijini Dar es...
14Feb 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Akizungumza mara baada ya kukabidhi msaada huo kwa niaba ya mkurugenzi mkuu wa taasisi hiyo, Sheikh wa Kanda ya Kati wa Jumuiya ya Waislamu wa Ahmadiyya, Bashart Ur Rehman Butt, alisema msaada huo...
14Feb 2016
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Mkurugenzi wa Wauguzi na Ubora hospitali hapo, Agness Mtawa, akizungumza na Nipashe kuhusu changamoto ya wanawake kulala chini, alisema miongoni mwa matatizo wanayosababisha ni ongezeko la watoto...

WACHEZAJI WA YANGA

14Feb 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
*Licha ya uchovu wa safari yatoa kichapo Mauritius
Kwa ushindi huo, Yanga SC sasa watakuwa na kazi nyepesi katika mchezo wa marudiano wiki mbili zijazo mjini Dar es Salaam, wakihitaji hata sare ili kusonga mbele, ambako watakutana na mshindi kati ya...

WACHEZAJI WA SIMBA

14Feb 2016
WAANDISHI WETU
Nipashe Jumapili
*Kiiza ‘Diego’ kinara wa mabao asiyepingika
Magoli mawili ya straika Hamis Kiiza yalimpa kocha huyo ushindi wa 2-1 dhidi ya Stand United kwenye Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga ikiwa ni mara ya sita mfululizo kikosi cha Simba chini ya...

MRISHO NGASSA

14Feb 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Ngassa aliingia dakika ya 81 kuchukua nafasi ya Danny Venter, lakini wakati huo tayari wenyeji Jomo Cosmos wamekwishapata bao lao pekee la ushindi lililofungwa na Cheslyn Jampies dakika ya 53.Kikois...
07Feb 2016
Nipashe Jumapili
Lissu alisema kwenye kamati hizo za hesabu za serikali (PAC) na hesabu za mashirika ya Umma (LAAC), Spika ameteua wabunge wa upinzani ambao hawana uwezo mkubwa katika kutekeleza majukumu hayo....
07Feb 2016
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Taarifa hii iliyotolewa kwenye kongamano hilo lililoshirikisha wadau kutoka mikoa mitano inayoongoza kwa ukeketaji nchini, ilishitua washiriki wengi. Washiriki hao walitoka katika mikoa ya Arusha,...
07Feb 2016
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Laiti tungejua yale yatakayotokea mbele yetu muda mfupi ujao, mambo tuyafanyayo sasa tungeyaepuka au kuyabadilisha kabla ya hatari. Hebu sikia kilio cha kijana huyu kabla sijaendelea kujadili....
07Feb 2016
Moshi Lusonzo
Nipashe Jumapili
Katika uchunguzi uliofanywa na Nipashe, imebaini wizi huo unafanyika na watumishi wa Wakala wa Ufundi na Umeme (Tamesa) kwa kuacha kwa makusudi kuzitambua baadhi ya tiketi za elekroniki na kuonekana...

Pages