NIPASHE JUMAPILI

Mgombea urais kwa tiketi ya ACT - Wazalendo, Khamis Idd Lila katikati.

21Feb 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Chama hicho kimemsimamisha uanachama mgombea huyo katika kikao chake cha Kamati Maalum kilichokaa Zanzibar juzi, baada ya kupokea taarifa rasmi kuwa aliyekuwa mgombea wao wa urais kwa kushirikiana na...

Babu akiwa nyumbani kwake Samunge Loliondo.

21Feb 2016
Cynthia Mwilolezi
Nipashe Jumapili
*Aanza kujenga nyumba za wageni eneo la eka 70, *Asema muujiza wa sasa ni zaidi ya tiba ya ‘kikombe’
Kutoka katika mataifa mbalimbali duniani, kufuata huduma itokanayo na muujiza mkubwa zaidi kulinganisha na ule wa tiba ya kikombe uliomtokea mwaka 2009. Akizungumza juzi katika mahojiano maalum na...

Waziri Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.

21Feb 2016
Nipashe Jumapili
BFT imekuwa ikililia kocha wa kigeni mwenye viwango vinavyokubalika na Shirikisho la mchezo huo duniani (AIBA) ili aweze kuwafundisha mabondia wanaojiandaa kwenda Cameroon kushiriki mapambano ya...

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu.

21Feb 2016
Nipashe Jumapili
Ili taasisi hii iwe nzuri na kusonga mbele vizuri, kwanza kabisa hutegemea uongozi wa baba na zaidi sana utendaji wa mama ambaye ndiye kiongozi wa shughuli za ndani za kila siku ikiwamo kuhakikisha...

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.

21Feb 2016
Augusta Njoji
Nipashe Jumapili
Aidha, watendaji hao wametakiwa kuimarisha vyanzo vya mapato vilivyopo na kuangalia ni kwa namna gani serikali za mitaa zinashirikiana na serikali kuu katika ukusanyaji mapato. Kauli hiyo...
21Feb 2016
Frank Monyo
Nipashe Jumapili
Hayo yamezungumzwa na Meneja Ufuatliaji wa Tathimini wa Nacopha, Rachel Jacob wakati wa mafunzo ya watoa huduma ngazi ya jamii, vituo vya afya na maofisa ustawi wa jamii yaliyofanyika jijini Dar es...
14Feb 2016
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Kijana wangu kwa uwezo wa Mungu utapata mke mwema ambaye atakuliwaza kama nilivyopata mimi baada ya kumkosa niliyedhania atanifaa katika maisha yangu. Hakuna anayejua siri ya Mungu, tulizana fanya...

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

14Feb 2016
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Chanzo kikubwa cha migogoro hiyo kinaweza kuwa ni ardhi hiyo kuwa haijatengwa maalum kwa ajili ya wakulima kwa upande mmoja na malisho ya mifugo kwa upande mwingine. Kuna ongezeko kubwa la...
14Feb 2016
Nipashe Jumapili
Njia/barabara hizo zimegeuka kuwa mashimo kama sio mahandaki kiasi cha kusababisha magari kupita kwa shida au kushindwa kabisa kupita. Zingine zinapita sehemu muhimu kama hospitali, ambapo wagonjwa...

RAIS WA ZANZIBAR DK. ALI MOHAMED SHEIN AKISALIMIANA NA KATIBU MKUU WA CUF, MAALIM SEIF SHARIFF HAMAD

14Feb 2016
Nipashe Jumapili
Kutokana na uongozi kuwa ni dhamana ya kuongoza wananchi, ndiyo maana kila penye tatizo la kitaifa mtu wa kwanza kuangaliwa au kuwajibika huwa ni kiongozi wa kitaifa kabla ya wasaidizi wake. Hata...
14Feb 2016
Jackson Paulo
Nipashe Jumapili
Kwa wakati huo huo kila mwezi mabadiliko ya homoni huuandaa mfuko wa uzazi ‘uterus’ kutengeneza ukuta mpya ‘endometrium’ kwa ajili ya kujiweka tayari kwa mapokezi ya mimba inayoweza kutungwa....
14Feb 2016
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Ndani ya siku 100 tangu aapishwe Novemba 5, mambo mengi mazuri yamefanyika ambayo kwa kiasi kikubwa yanagusa maisha ya watanzania wa kawaida na kuondoa dhana ya kuwapo ongezeko la idadi ya...

WAZIRI WA FEDHA DK MPANGO

14Feb 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Haishangazi leo serikali kulaumiwa kuzuia vikao mahotelini kuokoa fedha yake wakati kumbe mahoteli yalikuwa yakifaidika kwa vikao hivyo! kuyazoea, kuyahalalisha na kuyafanya yawe utaratibu rasmi...
14Feb 2016
Mhariri
Nipashe Jumapili
Yapo mambo ya msingi ambayo yamefanyika katika kipindi cha tangu Serikali hii iingie madarakani, na kila Mtanzania amejionea kwa dhahiri na kukiri kuwa dhamira ya Serikali ya Rais Magufli ni ya...

wachezaji timu ya Azam

14Feb 2016
Faustine Feliciane
Nipashe Jumapili
Azam leo inapambana na Coastal Union kwenye Uwanja wa Mkwakwani katika mchezo wa Ligi Kuu Bara, ambao ni moja wapo kati ya mitano watakayocheza nje ya Chamazi pamoja na mchezo wa Kombe la Shirikisho...
14Feb 2016
Nipashe Jumapili
Roupe alisema hayo wakati wa Semina ya kamisheni ya wachezaji iliofanyika kwenye Shule ya Sekondari ya Filbert Bayi, Kibaha mkoani Pwani. Roupe alisema mchezaji wa mchezo wowote anapaswa kucheza...

MZEE KINGUNGE NGOMBALE MWILU

14Feb 2016
WAANDISHI WETU
Nipashe Jumapili
Awali, mwanasiasa huyo ambaye mwishoni mwa mwaka jana alikihama chama alichokiasisi na kukitumikia kwa zaidi ya miaka 60, aliliahidi gazeti hili kuwa atazungumzia utendaji wa Rais atakapofikisha siku...
14Feb 2016
WAANDISHI WETU
Nipashe Jumapili
Kwa mujibu wa mashuhuda waliokuwa wakisafiri kwenda mataifa mbalimbali ambao walizungumza na Nipashe juzi jioni, ndege hiyo ilionekana ikitoa moshi mwingi hali iliyosababisha magari ya zimamoto...

Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan

14Feb 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Aliyasema hayo jana wakati akizungumza kwenye mkutano ulioandaliwa na wazee wa mkoa wa Dar es Salaam kwa ajili ya kuzungumza na Rais Magufuli, kuhusu mambo aliyoyafanya katika siku 100 za kwanza za...

RAIS JOHN MAGUFULI

14Feb 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Aliyasema hayo jana wakati akizungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam, ambao waliomba kuzungumza naye kuhusu mambo mbalimbali aliyoyafanya kwa siku 100 alizokaa Ikulu. Ni mara ya kwanza kwa...

Pages