NIPASHE JUMAPILI
13Mar 2016
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Wafanyakazi wengine wa Nida ambao walisimamishwa katika sakata hilo ambao na wenyewe wanachunguzwa na Takukuru ni aliyekuwa Mkurugenzi wa Tehama, Joseph Makani, Ofisa Ugavi Mkuu, Rahel Mapande,...
13Mar 2016
Efracia Massawe
Nipashe Jumapili
Akizungumza na gazeti hili jijini Dar es Salaam juzi, Mwenyekiti wa TLS, John Sweka, alisema kila sekta inataratibu zake na kwa mawakili, jitihada za kubaini wageni hao zinategemea mchango wa Jaji...
13Mar 2016
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Mmoja wa wafanyakazi hao, Mpaji Isaya aliiambia Nipashe jana kuwa, waliambiwa wafike kuchukua barua hizo jana, ili kuthibitisha rasmi kufutwa kwa mikataba yao.
“Baada ya kutangaziwa na Kaimu...
13Mar 2016
Efracia Massawe
Nipashe Jumapili
Aidha, imesema itawasaidia wajasiriamali wenye uweze wa kuwekeza ndani ili uchumi wa nchi ukuwe kupitia bidhaa wanazozalisha ambazo zitatambulika kwa kulipa kodi.Akizungumza jijini Dar es Salaam juzi...
13Mar 2016
Frank Monyo
Nipashe Jumapili
Ushauri wa Sadiki umekuja baada ya Meya Jacob kukaririwa akisema manispaa hiyo ina uwezo wa kukabiliana na uamuzi wa serikali wa kutoa elimu ya bure bila kuhitaji fedha zinazotolewa na utawala wa...
13Mar 2016
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Hayo yalisemwa jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika hilo, Mhandisi Felchesmi Mramba, wakati Mamlaka ya Huduma za Nishati na Maji (EWURA), ilipowasilisha kwa wadau mapendekezo ya...
13Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
***Man United ina mechi tatu ngumu ndani ya wiki moja na huenda matokeo yake yakaamua hatima yake ya kocha huyo...
Kipigo cha bao 1-0 walichopata kutoka West Brom Jumapili iliyopita kimepunguza kasi ya timu hiyo kumaliza msimamo na kushika moja ya nafasi nne za juu Ligi Kuu England.
Hiyo ina maana kwamba,...
13Mar 2016
Joseph Mwendapole
Nipashe Jumapili
Utaratibu unaoonekana kufutwa kwenye awamu hii ya Rais Magufuli ni ule wa kwenda kuwapokea marais wageni katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, kama ilivyozoeleka wakati wa Kikwete...
13Mar 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Bulaya alikamatwa wakati vikao vya Kamati Kuu na Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) vikiendelea.
Baada ya kukamatwa, Bulaya aliwekwa mahabusu ya Kituo Kikuu cha Polisi...
13Mar 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe Jumapili
Matukio ya kuchomwa moto maskani hizo na kituo cha afya yalifanyika kwa nyakati tofauti usiku wa kuamkia jana katika mikoa miwili ya Kaskazini na Kusini Pemba.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kusini...
13Mar 2016
Lasteck Alfred
Nipashe Jumapili
***Yalitkisha jiji la Kigali kwa ushindi mzuri Ligi ya Mabingwa Afrika.
APR iliiondoa Yanga kwenye mashindano hayo hatua ya awali kwa kuwanyuka mabao 3-0 katika mechi ya kwanza, Kigali kabla ya wanajangwani kuibuka na ushindi wa bao 1-0 katika mchezo wa marudiano kwenye...
13Mar 2016
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Nipashe ilifika maeneo ambako nyumba hizo zilitakiwa kubomolewa tangu kutolewa kwa hukumu ya kesi hiyo Februri 29, mwaka huu na kukuta maisha yakiendelea kama kawaida.
Juma Hamdani, mkazi wa...
13Mar 2016
Efracia Massawe
Nipashe Jumapili
ATCL, ni miongoni mwa kampuni na taasisi zaa umma zinazoendeshwa kwa hasara pamoja na Tanesco, Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (Tazara), Kampuni ya Reli Tanzania (TRL), Kampuni ya Simu...
13Mar 2016
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Ombi hilo limetolewa na Kaimu Mkurugenzi wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Grace Kisetu, jijini Dar es Salaam kwa maelezo kuwa msururu wa kesi katika mahakama hivi sasa unafanya kesi za ukatili...
13Mar 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe Jumapili
Kauli ya Malinzi inakingana na ile iliyotolewa na Serikali hivi karibuni kutaka mfumo huo kuanza kutumika mara moja.
Akizungumza wakati wa Mkutano Mkuu wa TFF, Malinzi, alisena agizo la Serikali...
06Mar 2016
Jackson Paulo
Nipashe Jumapili
Hata hivyo mengi huhusisha sehemu ya chini yaani kibofu na mrija wa mkojo au urethra. Katika hali ya kawaida, wanawake wapo katika hatari zaidi ya kupata UTI kuliko wanaume.
CHANZO CHA UTI
Kwa...
06Mar 2016
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
akajikuta anamaliza sigara pakiti 20 ndani ya wiki mbili!
Tatizo hili linawatesa watu wengi lakini hawajui wafanyeje ili waweze kuondokana nalo hasa linapokuwa chronic (sugu). Wengine huona ni...
06Mar 2016
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Baadhi ya watu wametumia mwanya wa kutopita magari ya taka kwenye maeneo yao, kwa kuamua kuzikusanya na huzitupa barabarani, wakiamini kufanya hivyo ndiyo suluhisho la kuwaamsha wenye wajibu wa...
06Mar 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe Jumapili
Matukio mengi ya uhalifu kama kuwamwagia tindikali na kuwaumiza viongozi wa serikali, dini pamoja na walimu wa kujitolea kutoka Uingereza ni moja ya visa vinavyozungumziwa katika safu hii.
Lakini...
06Mar 2016
J.M. Kibasso
Nipashe Jumapili
Lowassa aliyewakilisha vyama vya Chadema, CUF, NCCR –Mageuzi na NLD, tofauti na chaguzi zilizopita kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi hii, ndiye Watanzania waliyemshuhudia akikubali kushindwa...
