NIPASHE JUMAPILI

27Mar 2016
Nipashe Jumapili
Hayo yalisemwa juzi na Ofisa Leseni wa SUMATRA ambaye pia ni mratibu wa usafiri huo, Faith Ntukamazina, wakati akitoa elimu ya ukataji leseni kwa madereva wa boda boda na bajaji, wa eneo la...

IGP ERNEST MANGU

27Mar 2016
Augusta Njoji
Nipashe Jumapili
Katika taarifa yake iliyosomwa jana na Ofisa Mawasiliano wa serikali ya Mkoa huo, Jeremia Mwakyoma, Rugimbana alisema kama itabainika kwamba kulikuwa na uzembe kwenye tukio hilo basi askari hao...

kificho

27Mar 2016
Nipashe Jumapili
sasa atabaki kuwa mshauri kwa viongozi waliopo madarakani huku pia akielekeza zaidi nguvu zake katika shughuli za kilimo na fugaji. Akizungumza katika mahojiano maalum na Nipashe juzi ikiwa...

Magdalane Sakaya

27Mar 2016
Joseph Mwendapole
Nipashe Jumapili
Kufuatia hatua ya Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zaniabar (ZEC), Jecha Salum Jecha kufuta Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, mwaka jana, ambao chama hicho kinaamini kuwa kilishinda, CUF iligomea uchaguzi...
27Mar 2016
Mhariri
Nipashe Jumapili
Katika moja ya ripoti zetu mbili mfululizo, Shule ya Msingi Lupembe wilayani Magu mkoani Mwanza, ni kielelezo cha matatizo ya utekelezaji wa sera ya elimu bure katika makali yake. Shule ya...
27Mar 2016
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kwa sasa kinaendelea na mkakati wake wa kuwasimamisha, kuwavua uongozi na hata kuwatimua uanachama makada wake ambao watabainika kuwa walikisaliti katika Uchaguzi Mkuu...
20Mar 2016
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Nitajaribu kugusa maeneo ambayo Mungu ameyaainisha kwenye maandiko yake kudhihirisha kuwa kabla mtoto hazaliwa, alishawekewa kitu cha thamani/ukuu ndani yake lakini kikaharibiwa aidha na mzazi...

Kamishina wa Polisi Zanzibar, Hamdan Omar Makame.

20Mar 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe Jumapili
Mjadala mkubwa umeibuka baada ya shambulio kumgusa kiongozi mkuu wa Zanzibar anayeshughulikia mambo ya ulinzi na usalama wa raia pamoja na mali zao kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa...

Ofisa Mawasiliano wa Sumatra, David Mziray.

20Mar 2016
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Aidha imeeleza kuwa kinafanya kazi na kwamba kilifanyiwa marekebisho yaliyokuwa yakihitajika. Ofisa Mawasiliano wa Sumatra, David Mziray, aliieleza Nipashe kuwa, kivuko hicho awali kilionekana...

Lowassa alipochukua kadi ya Chadema.

20Mar 2016
J.M. Kibasso
Nipashe Jumapili
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, tangu kumalizika kwa uchaguzi Lowassa amejitokeza mara chache kuzungumza na wanahabari. Ukimya huu ambao haukutarajiwa umetafsiriwa na baadhi ya wadau kwamba ni...

Said Amanzi akifafanua jambo.

20Mar 2016
Elisante John
Nipashe Jumapili
Rai hiyo ilitolewa juzi na Mkuu wa Wilaya ya Singida, Said Amanzi, wakati wa uzinduzi wa duka la bidhaa za kampuni ya Tigo Mjini Singida, lengo likiwa ni kusogeza huduma zao karibu zaidi na wananchi...

Diana Masalla.

20Mar 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe Jumapili
Hayo yalisemwa jana na Kaimu Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa mlipa kodi wa Mamlaka hiyo, Diana Masalla, wakati akizugumza na Nipashe kuhusu malengo ya mwezi huu. “Kwa mwezi wa Machi lengo ni...

waziri wa afya ummy mwalimu.

20Mar 2016
Veronica Assenga
Nipashe Jumapili
Rai hiyo ilitolewa jana na baadhi ya wazee wastaafu waliojiunga na mfuko huo jijini Dar es Salaam katika mkutano baina yao na mfuko huo. Mmoja wa wanachama wastaafu wa mfuko huo, Amani Mahenge,...

Mwalimu Julius Nyerere.

20Mar 2016
Ibrahim Mkamba
Nipashe Jumapili
Huenda akili za wengi kwa sasa si nzuri kwenye kujenga hoja kiasi cha kukimbilia kwenye dini kila wanapojadili suala zito. Hivi karibuni kumezuka mambo pengine ya ajabu ndani ya mijadala...
20Mar 2016
Mhariri
Nipashe Jumapili
Wakati akitoa wito huo, Mwenyekiti wa JUVI-CUF, Hamidu Bobali, alisema msimamo wa chama kikuu cha upinzani hicho Zanzibar ni kutoshiriki uchaguzi huo kwa sababu wanachotambua ni kuwa Maalim Seif...

Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Bw. Valentino Mlowola.

20Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kamanda wa Takukuru mkoani Kilimanjaro, Alex Kuhanda alithibitisha kukamatwa kwa Hakimu huyo, baada ya kuwekewa mtego na maofisa uchunguzi wa taasisi hiyo. “Huyu Hakimu Mallya alikuwa ameomba...

Kingunge Ngombare Mwiru.

20Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Akizungumza na Nipashe jana, mwanasiasa huyo alisema anayo ya kuzungumza lakini atayatoa kwa wakati anaoona unafaa na si kwa kulazimishwa na chombo cha habari. “Mawazo yangu nitayatoa nitakapoona...

Job Ndugai akipokea machapisho yanayohusu masuala ya walemavu kutoka kwa Afisa Mtetezi CCBRT.

20Mar 2016
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Wito huo ulitolewa jana jijini Dar es Salaam wakati Spika wa Bunge, Job Ndugai alipotembelea hospitali hiyo. Akiwa kwenye hospitali hiyo, Ndugai alitembelea maeneo tofauti likiwemo jengo jipya...
20Mar 2016
John Ngunge
Nipashe Jumapili
Aidha, AfCHPR imetoamiezi sita kwa upande wa walalamikiwa (Tanzania) kutelekeza maagizo ya malalamiko ya walalamikaji. Onyango na wenzake raia wa Kenya walikamatwa na kushtakiwa kwa tuhuma za...

kocha wa simba jackson mayanga.

20Mar 2016
Sanula Athanas
Nipashe Jumapili
Kwa matokeo hayo, Simba sasa imefikisha pointi 57, ikizizidi Yanga na Azam FC kwa pointi saba, huku pia timu hiyo ya Msimbazi ikiwa mbele kwa michezo mitatu. Yanga na Azam zina ratiba za mechi za...

Pages