NIPASHE JUMAPILI
20Mar 2016
Richard Makore
Nipashe Jumapili
Kwa kawaida, kama ilivyokuwa katika uchaguzi wa awali uliofanyika Oktoba 25 kabla ya kufutwa siku tatu baadaye, Jecha alitarajiwa kuwa mstari wa mbele na kuzungumza na waandishi wa habari kwa nia ya...
20Mar 2016
Jackson Paulo
Nipashe Jumapili
Katika hali ya kawaida, ngozi ya binadamu huhifadhi kiasi kidogo cha fangasi hawa huzinufaisha pande mbili ambazo ni mhusika pamoja na wadudu wenyewe kila upande unapata faida kutoka kwa mwenzake....
20Mar 2016
Nipashe Jumapili
Uteuzi huo umeleta sura mpya kwani wamo Makamanda wa Polisi, majenerali wastaafu, mawaziri wa awamu zilizotangulia kadhalika kuna wakuu wa wilaya na mikoa kwa nyakati tofauti hivyo kuwa na uzoefu wa...
20Mar 2016
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Katika maagizo hayo, Rais aligusia mambo mengi ambayo yanapaswa kutekelezwa na wakuu hao wa mikoa ikiwamo kushughulia tatizo la wafanyakazi hewa kwenye Halmashauri zote nchini.
Lakini leo nataka...
20Mar 2016
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Aidha, mpango huo utatekelezwa na idara pamoja na taasisi nyingine za serikali ikiwamo Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Jeshi la Polisi, Wakala wa Huduma za Misitu (TFS) pamoja na Chama cha...
20Mar 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Matokeo hayo, yanaipa tiketi Yanga kucheza hatua inayofuata kwa jumla ya mabao 3-2, wakishinda mchezo wa kwanza ugenini 2-1.
APR iliing'oa Yanga katika hatua kama hiyo miaka 20 iliyopita,...
20Mar 2016
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Aliieleza Nipashe jana jijini Dar es Salaam kuwa, serikali haikuwa na uataribu huo ingawa wazo la kuanzisha chombo hicho ni zuri.
“Hatuna hicho chombo lakini wazo lako ni zuri tutalifanyia kazi na...
20Mar 2016
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Katika taarifa yao waliyoisambaza jana kwenye vyombo vya habari, TMA ilikanusha uvumi wa kwenye mitandao ya kijamii uliodai kiwango cha juu cha nyuzi joto leo kitafikia nyuzi joto 40.
Aidha, Kaimu...
20Mar 2016
Sanula Athanas
Nipashe Jumapili
Azam ambao wamepoteza mechi moja tu katika mashindano yote ya kimataifa waliyoshiriki msimu huu, wanapewa nafasi kubwa ya kutinga raundi ya pili ya michuano hiyo baada ya kushinda 3-0 katika mechi ya...
20Mar 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe Jumapili
Mechi kati ya Chad na Taifa Stars itafanyika Jumatano Machi 23 na marudiano Machi 28 kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Akizungumza na gazeti hili jana, kocha mkuu wa Taifa Stars, Boniface...
13Mar 2016
Adam Fungamwango
Nipashe Jumapili
Alhamisi iliyopita, Simba iliichapa Ndanda FC mabao 3-0, Kiiza alifunga magoli mawili na kufikisha idadi hiyo na kumzidi Amiss Tambwe wa Yanga mwenye magoli 17.
Kwa idadi hiyo ya magoli, ina maana...
13Mar 2016
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Wakati tukiwa bado katika vuguvugu la kuadhimisha Siku ya Mwanamke Duniani ambayo hufanyika Machi 8, kila mwaka, ni muhimu tukatafakari kwa makini nguvu iliyo ndani ya mwanamke kama ambavyo pia...
13Mar 2016
Jackson Paulo
Nipashe Jumapili
Aidha tulijifunza kuwa chanzo cha UTI ni maambukizi ya mfumo wa mkojo katika sehemu ya mwili ambayo mkojo hupitia na kwamba ugonjwa huo huweza kumpata mtu endapo hali mbalimbali zitajitokeza, ikiwemo...
13Mar 2016
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Mfano wa matukio kama hayo, hujitokeza maeneo yenye mikusanyiko ya watu, kama sokoni, vituo vya mabasi na mengine kunakofanyika shughuli za kijamii.
Katika tukio ambalo nimewahi kulishuhudia ni la...
13Mar 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe Jumapili
Inashangaza kuona kuwa wapo wanaochekelea wakisikia fulani kafa. Kuna wengine wanaandaa hata karamu na kujifurahisha wanapotaarifiwa kuwa jamaa wanayemfahamu anaumwa ama amefikwa na tatizo. Inafika...
13Mar 2016
J.M. Kibasso
Nipashe Jumapili
JUMUIYA ya Afrika Mashariki (EAC), iliyoundwa na Tanzania, Kenya na Uganda baada ya kupata Uhuru miaka ya 1960, licha ya kufanya vizuri kiuchumi ilivunjika mwaka 1977 na kuundwa tena 1999....
13Mar 2016
Nipashe Jumapili
Hata hivyo wakati mwingine wasafiri hulazimika kulala barabarani, kwani iko mikoa ambayo safari huchukua zaidi ya siku moja kutokana na sheria, kanuni na taratibu za kulinda usalama zilizowekwa na...
13Mar 2016
Ibrahim Mkamba
Nipashe Jumapili
KUKOSA TAASISI
Hili lilishazungumzwa vya kutosha kwenye makala za zilizochapishwa na safu hii zilizokuwa zinajadili kasi bila kujua tuendako ni hatari.
Kwa wale ambao hawakuzisoma makala kwa...
13Mar 2016
Mhariri
Nipashe Jumapili
Agizo hilo la Waziri Simbachawene linakuja baada ya uchaguzi wa Meya wa Jiji la Dar es Salaam kushindwa kufanyika mara mbili mwaka huu pekee, lakini mara tatu tangu kumalizika kwa Uchaguzi Mkuu wa...
13Mar 2016
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Iringa ulikuwa na wagonjwa 199 ukifuatiwa na mkoa wa Mwanza 87, Mara 84, Morogoro 54, Arusha 49, Simiyu 16, Dodoma 11, Mbeya 8, Kilimanjaro 8, Dar es salaam 6 na Manyara 6.
Hali hiyo inaweza kuwa...
