NIPASHE JUMAPILI

17Apr 2016
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Wale waliozoea chai chai, semina na safari za ovyo ovyo watupishe, ataka wavumilie maana huko tuendako kutakuwa na uchungu uchungu sana..
Aidha, Rais Magufuli amewataka mawaziri, makatibu wakuu na watendaji wengine serikalini wajiandae kisaikolojia kufuatia hali ngumu ya kubana matumizi kwani watapaswa kuwa wavumilivu.Rais Magufuli...

wafanyakazi wa ujenzi wa barabara wakiwa kazini (picha ya maktaba).

17Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Wafanyakazi hao ambao wa makampuni ya Sichuan Road and Bdrige na Jiangxi Geo Engneering, walikuwa na mgogoro na makampuni hayo, ambao ulisababisha mgomo. Ajira hizi zimekuja wiki chache tangu...

Rais Dk. John Pombe Magufuli akihutubia Wilayani Chato.

17Apr 2016
Joseph Mwendapole
Nipashe Jumapili
Rais Magufuli alifichua uwapo wa mfanyakazi huyo hivi karibuni akiwa nyumbani kwake katika Kijiji cha Mlimani, Wilaya ya Chato mkoani Geita, alipokuwa akihutubia kwa mara ya kwanza nyumbani kwake...

Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo.

17Apr 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe Jumapili
Lakini watu wengi wamekuwa wakidharau msemo huo kila wakati mpaka tatizo linapotokea na kusababisha athiri hata wakati mwingine kupoteza maisha, kama tunavyoona milipuko ya kipindupindu katika Visiwa...
17Apr 2016
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Kumbe wanajisahaulisha kwamba jiko linapoyumba, mume ndani naye anayumba. Wajua ni kwanini? Chakula kitamu ni sumaku kwa kinababa wengi. Njia ya kuupata moyo wa mwanaume ni kupitia chakula. Hata...
17Apr 2016
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Lengo la kuondoa ombaomba hao ni kutaka kuliweka jiji katika hali ya safi, kuondoa fikra tegemezi akilini mwa wananchi hao lakini pia kuwezesha watoto wa ombaomba hao ambao hutumiwa kama vitega...

Mshambuliaji wa Simba, Amis Kiiza akimfariji beki wa timu hiyo, Abdi Banda baada ya kuonyeshwa kadi nyekundu.

17Apr 2016
Renatha Msungu
Nipashe Jumapili
Hadi sasa, Kamati ya Nidhamu ya Simba, hajafanya uamuzi wowote, lakini kuna taarifa kuwa 'hukumu' yake itatolewa baada ya mchezo wa ligi kuu leo kati ya Simba na Toto Africans. Banda anadaiwa...

Profesa Makame Mbarawa.

17Apr 2016
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Pia amesema kampuni ambazo zinatoa huduma za mawasiliano lakini zinadaiwa kodi na Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA), yalipe mara moja kabla ya kuchukuliwa hatua kali. Mbarawa alitoa kauli hiyo jana...

Maalim Seif Sharif Hamad.

17Apr 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe Jumapili
Maalim Seif atahojiwa na taasisi hiyo kufuatia madai aliyotoa hivi karibuni kuwa kuna viongozi wa Serilai ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), wanaomiliki fedha chafu nje ya nchi. Akizungumza na Nipashe...

mkurugenzi mkuu tma, dkt. agnes kijazi.

17Apr 2016
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Maeneo mbalimbali nchini yanapata mvua zinazowezesha wakulima kupanda mazao, pia zinapunguza joto na kupoozesha hali ya hewa mathalani jijini Dar es Salaam na mikoa mingine yenye hali ya joto kama...
17Apr 2016
Renatha Msungu
Nipashe Jumapili
Kiluwa inatarajia hadi kufikia mwakani wawe wamekamilisha hatua hiyo, na uzalishaji uanze mara moja,ili kupunguza gharama za ununuaji wa nondo zinazotoka nje ya nchi kwa ajili ya matumizi mbalimbali...
17Apr 2016
Mhariri
Nipashe Jumapili
Mwenyekiti wa PAC, Aeshi Hilaly mapema mwezi huu aliagiza Jeshi la Polisi kuwasilishwa mbele yake mkataba kati yake na Kampuni ya Lugumi Enterprises kuhusu mradi wa utambuzi wa alama za vidole (AFIS...

mashabiki wa simba.

17Apr 2016
Renatha Msungu
Nipashe Jumapili
Mechi hiyo pekee kwenye ratiba ya ligi leo, itapigwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Kabla ya matokeo ya mechi nyingine za mwisho wa wiki hii, Simba ilikuwa kileleni kwa tofauti ya pointi...

Aeshy Hilaly.

17Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Mkataba huo wenye thamani ya Sh. bilioni 37 ni wa mradi wa utambuzi wa alama za vidole (AFIS.) Taarifa ya Bunge iliyotolewa na Kitengo cha Mawasiliano juzi ilisema kuwa PAC haikuwa imeomba mkataba...

msemaji wa CCM, Christopher ole Sendeka.

17Apr 2016
J.M. Kibasso
Nipashe Jumapili
Akiwa na wageni wake hao, pamoja na mambo mengine, Lowassa alizungumzia uongozi wa Rais John Magufuli na kutoa maoni yake. Alisema: “Hali ya hivi sasa nchini ni ya hamasa kutokana na serikali mpya...
10Apr 2016
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
kutoka bandari kavu (ICD) bila kulipa tozo ya Mamlaka ya Bandari (TPA). Akizungumza na Nipashe, Kamishina wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro alisema jana kuwa upelelezi dhidi ya...
10Apr 2016
Mhariri
Nipashe Jumapili
Na wakati kampeni ya kuwabaini watumishi hewa hao ndani ya serikali ikichukua sura mpya bada ya kuanza kwa uchunguzi wa kuwabaini wanufaika halisi na kuwachukulia hatua za kisheria, imebainika kuwa...
10Apr 2016
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Meya huyo akasema kuwa amelazimika kumuonya Makonda kutokana na tabia ya kutafuta sifa ili aonekane mchapakazi, hali ya kuwa anadandia yasiyomuhusu. Akasema kuwa ma-DC nchini wana majukumu...

HAMAD RASHID

10Apr 2016
Rahma Suleiman
Nipashe Jumapili
*Amshukuru Dk. Shein kumkumbuka katika uteuzi
kwa kudai kuwa kimewasaliti Wazanzibari kwa kususia uchaguzi wa marudio visiwani humo uliofanyika Machi 20, 2016.Hamad aliyegombea urais wa Zanzibar kupitia chama cha ADC, aliteuliwa kuwa waziri...
10Apr 2016
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Nikasema kwamba, hata kama mwanaume akiwa mtu mkuu sana katika maisha yake, lazima ajue kuwa kuna wakati alikuwa kichanga katika tumbo la mwanamke. Shetani anajua kuwa mwanamke anatawala/...

Pages