NIPASHE JUMAPILI

Rais dk. john magufuli akiwa na Dk. Ramadhani Dau siku ya ufunguzi wa daraja la mwalimu nyerere kigamboni.

01May 2016
J.M. Kibasso
Nipashe Jumapili
Nilikuwa miongoni mwa Wana-Dar waliojaliwa kuhudhuria uzinduzi huo hivyo napenda nieleze kwa uchache baadhi ya matukio niliyoyashuhudia na kuvutiwa. Nianze na suala la kuenzi desturi na tamaduni...

waziri wa ofisi ya Waziri mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama.

01May 2016
Paul Mabeja
Nipashe Jumapili
Rai hiyo alitoa juzi kwenye kilele cha maadhimisho ya siku ya usalama na afya mahali pa kazi, yaliyoandaliwa na Wakala wa Usalama na Afya mahali pa kazi (Osha) mjini hapa. Mhagama alisema waajiri...

wafanyakazi wakiadhimisha siku ya Mei mosi 2015: picha:maktaba.

01May 2016
Christina Haule
Nipashe Jumapili
Leo ni Mei Mosi na kitaifa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi yanafanyika mkoani Dodoma na mgeni rasmi kuwa Rais John Magufuli. Mratibu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), Nicholaus...

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda akiongozana na Mkuu wa wilaya ya Ilala Raymond Mushi na Mkurugenzi wa Vipindi na Utafiti Radio Clouds Ruge Mutahaba na Mwanamitindo Millen Magesse ambaye pia ameshiriki kikamilifu katika kampeni hiyo ya usafi.

01May 2016
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Endapo itabainika kuwa kampuni hizo zinamilikuwa na watumishi wa umma, watafutiwa usajili na kupatiwa watu binafsi kwa lengo la kuongeza ufanisi wa kufanya usafi. Makonda alitoa agizo hilo jana...
01May 2016
Fredy Azzah
Nipashe Jumapili
Hatua hiyo imetokana na Bunge kuzuia matangazo ya moja kwa moja ya televisheni na redio, pamoja na kuzuia waandishi wa habari wa televisheni kurekodi shunguli zinazoendelea kwenye chombo hicho cha...

watrumiaji wa shisha: picha-mitandao.

01May 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana na Watu wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, alisema hayo jana mjini Dodoma alipokuwa akitoa taarifa ya hali ya dawa za kulevya kwa mwaka...

rais dk. John Magufuli.

01May 2016
Joseph Mwendapole
Nipashe Jumapili
"Serikali yangu imejiandaa kuboresha maslahi ya wafanyakazi kwa kupunguza kodi kutoka asilimia 11 ya sasa hadi asilimia 10 au 9 kuanzia bajeti ijayo.
Leo Rais Magufuli atakutana uso kwa uso na wafanyakazi kwenye sherehe za Mei Mosi kitaifa mjini Dodoma, ikiwa ni mara yake ya kwanza kuhudhuria sherehe hizo tangu aingie Ikulu Novemba 5, mwaka jana....

madawati.

01May 2016
Jumbe Ismaily
Nipashe Jumapili
Aidha, fedha hizo pia zitatumika kwa ajili ya ukarabati wa nyumba za walimu na ujenzi wa matundu ya vyoo katika baadhi ya shule na zahanati. Fedha hizo pia zitatumika kufuatilia matumizi ya Sh....

waziri wa afya, ummy mwalimu.

01May 2016
Gurian Adolf
Nipashe Jumapili
Wakizungumza na Nipashe wananchi hao walisema kijiji chao kipo kama kisiwa kwani hakuna barabara ya uhakika inayowaunganisha na watu wengine pamoja na mji wa Matai ambao ndiyo makao makuu ya wilaya...

Golikipa wa Yanga, Doegratius Munishi 'Dida' akiokoa hatari golini mwake wakati wa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Toto African jana kwenye Uwanja Kirumba, Mwanza. PICHA:DANIEL MKATE

01May 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Katika dakika ya 39 kipindi cha kwanza, kona iliyochongwa na mchezaji wa Toto, Abdallah Seseme, ilitua kichwani kwa William Kimanzi na kuiandikia timu hiyo bao la kuongoza. Baada ya bao hilo,...

Wanariadha wa mbio zza mita 200 wanawake wakichuana wakati wa mashindano ya riadha ya Afrika Mashariki na Kati jana kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. PICHA: RENATHA MSUNGU

01May 2016
Renatha Msungu
Nipashe Jumapili
Mashindano hayo yaliyoanza juzi kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, mbali na wenyeji Tanzania Bara timu zingine zilizoshiriki ni pamoja na Kenya, Uganda, Zanzibar, Djibout, Ethiopia, Eritrea...

Hassan Kessy.

01May 2016
Renatha Msungu
Nipashe Jumapili
Akizungumza kwa njia ya mtandao Kessy alisema tangui aliposimamishwa na uongozi wa timu hiyo anafanya mazoezi ya peke yake. "najiweka fiti kwa sasa hguku nikitafakari hatma yangu, najua nitapata...

Hans Van Der Pluijm.

01May 2016
Lasteck Alfred
Nipashe Jumapili
Kocha huyo Mholanzi alisema kuwa inamlazimu kwasasa kutumia zaidi wachezaji wazoefu kwaajili ya kulazimika kusaka matokeo kwa nguvu zote na kwamba amekuwa akilazimika kuwaweka wachezaji chipukizi...

Mkuu wa Mawasiliano wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Peter Millanzi (kushoto), akikabidhi Tuzo ya Mwandishi Bora wa Habari za Utawala Bora, kwa Beatrice Shayo wa Gazeti la Nipashe.

01May 2016
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Walionyakua tuzo hizo ni pamoja na Joseph Mwendapole, ambaye alipata tuzo ya mwandishi bora wa habari za Afya na Beatrice Shayo, aliyeshinda tuzo ya utawala bora. Wengine ni, Sanula Athanas,...
24Apr 2016
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Inawezekan tangu wakati huo, idadi imeshakuwa kubwa zaidi, na takwimu zinaonyesha kuwa jijini Dar es Salaam kuna asilimia kubwa ya vijana wenye umri wa miaka 15-35 ambao hufika kwa lengo la kutafuta...
24Apr 2016
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Wengine ndoa zimedumu kwa miaka kadhaa, watoto wao wameoa au kuolewa na kupata wajukuu, lakini wanandoa wanavurugana kiasi cha kuachana na kadhalika.Migogoro ya ndoa ni mingi na hata kwenye mahakama...
24Apr 2016
Jackson Paulo
Nipashe Jumapili
Leo tuendelee na sababu za kufunga choo ambazo husababisha wakati mwingine kujiendea haja kubwa nguoni. Kufunga choo mara nyingi hutokea wakati taka mwili au kinyesi, kinaposafiri taratibu au pole...
24Apr 2016
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Miundombinu ya barabara hasa madaraja, yamegundulika kujengwa chini ya kiwango kutokana na kuzolewa na mafuriko, hali iliyobainika wakandarasi hawakuwa waaminifu wakati waliopokuwa wakijenga madaraja...
24Apr 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe Jumapili
Changamoto hii inawaumiza zaidi wanaoishi kwenye mikondo ya mito kwani mvua zikinyesha hubadilisha mikondo ya mito na maji hubadili mielekeo na kuingia ndani ya nyumba.Mafuriko hayo husababisha...

Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame wakikata utepe kwa pamoja kuashiria uzinduzi rasmi wa daraja la kimataifa la Rusumo

24Apr 2016
J.M. Kibasso
Nipashe Jumapili
Waswahili wana msemo kwamba “hayawi hayawi sasa yamekuwa’ kwa mujibu wa taarifa kutoka kitengo cha mawasiliano Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na...

Pages