NIPASHE JUMAPILI
22May 2016
Jackson Paulo
Nipashe Jumapili
Asthma huwa hatari sana kwa badhi ya watu wengine lakini pia si kitisho kwa wengine.
Tatizo la astma halitibiki japo dalili zake zinaweza kudhibitiwa. Kwa kuwa gonjwa huu hubadilika mara kwa mara...
22May 2016
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Licha ya kupanda, sehemu zingine haipatikani kabisa na kufanya watu wengine kutumia chumvi badala ya sukari.
Kinachosikitisha ni kuona baadhi ya wafanyabiashara wakiwa wamerundika sukari hiyo...
22May 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Nilimuonya mara tatu asiingie bungeni akiwa chakari lakini akanipuuza.., Nilimuuliza Kitwanga uko sawa? Akasema niko sawa kabisa
Juzi usiku, Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu ilitoa taarifa kuwa Rais Magufuli amechukua uamuzi wa kutengua nafasi ya Kitwanga kutoka na kile kilichoelezwa kuwa ni hatua yake ya kuingia bungeni na...
22May 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe Jumapili
Kadhalika, Kamati imesikitishwa na miradi wa ujenzi inayotekelezwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) iliyoko Mwongozo-Kigamboni na Kinondoni Hananasifu kuona baadhi ya nyumba za ghorofa moja zikiwa...
15May 2016
Jackson Paulo
Nipashe Jumapili
Athari zake mara nyingi huanza polepole na huonekana haraka zaidi kwa watu ambao wameugua kwa muda mrefu au ambao hawafanyi juhudi za mara kwa mara kudhibiti na kurekebisha kiwango cha sukari...
15May 2016
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Kabla ya yote tutafakari andiko hili kuhusu uumbaji wa Mungu katika biblia Takatifu, Mwanzo 2:21-23, imeandikwa; “BWANA Mungu akamletea Adamu usingizi mzito, naye akalala; kisha akatwaa ubavu wake...
15May 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Machi mwaka huu serikali ilitangaza bei ya sukari kuwa Shilingi 1,800 kutoka Shilingi 2,000 kwa maelezo kuwa kiasi cha sukari kilichpo nchini ni cha kuridhisha licha ya baadhi ya viwanda kusimamisha...
15May 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Mahakama hii imekuwa ikishughulika zaidi na watawala. Hii haishangazi kwa sababu wenye uwezo, nia na sababu ya kutenda makosa hayo ni watu wa tabaka hilo.
Vile vile, watu wa tabaka hilo wa Afrika...
15May 2016
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Kinachofanyika kwa sasa ni kufukua ‘makaburi’ ambayo mengine ni ya muda mrefu na hakuna uwezekano wa haraka ambao siyo wa gharama kwa kupata kitu ambacho kitakuwa na manufaa endelevu kwa wakazi wa...
15May 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe Jumapili
Hamad alitoa tamko hilo jana alipokuwa akizungumza na wananchi waliojitokeza kumpokea nyumbani kwake, Jadida Mkoa wa Kaskazini Pemba, akiwa katika ziara yake ya siku tano kisiwani humo....
15May 2016
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Nipashe ilishuhudia mkasa huo ambao ulitokea juzi saa 10:00 jioni kwenye lifti iliyopo jengo la Mwaisela, ambapo ndugu wa mgonjwa waliokuwa ndani ya lifti hiyo waliwajulisha wenzao waliokuwa...
15May 2016
Ashton Balaigwa
Nipashe Jumapili
Wananchi hao walikuwa wakitaka Mkuu wa Wilaya na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro wafike maeneo hayo kwa ajili ya kusikiliza kero yao ya kupinga kubomolewa nyumba zao.
Kutokana na kufungwa kwa barabara...
15May 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Said Mecki Sadiki alithibitisha jana kukamatwa kwa shehena hiyo, baada ya makachero wanaoongoza timu maalumu ya ukaguzi wa maghala ya wafanyabiashara na mawakala wa...
15May 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Van Gaal hajahakikishiwa kuendelea kubaki kwenye timu hiyo lakini ana matumani makubwa ya kumaliza miezi 12 iliyobakia katika mkataba wake wa miaka mitatu na klabu hiyo.
"Nilishasema nitabaki hapa...
15May 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Nyota huyo, alisema kuwa nafasi na wakati wake wa yeye kucheza kwenye kikosi cha mabingwa hao wa Hispania umeshapita na ni jambo gumu kurejea tena Camp Nou.
"Kurudi Barcelona ni kitu ambacho...
15May 2016
Sanula Athanas
Nipashe Jumapili
Wakati bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2016/17 iliyopitishwa bungeni mjini hapa juzi, imeshuka kwa Sh. bilioni 4.6 ikilinganishwa na bajeti ya mwaka huu ambayo ni Sh. bilioni 24.957, Bunge...
15May 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Ubingwa huo unakuwa wa tatu mfululizo huku ukiwa wa 26 kwa timu hiyo tangu ilipoanzishwa mwaka 1935.
Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub 'Cannavaro' baada ya mchezo huo wa jana alikabidhiwa...
15May 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Hatua hiyo inafuatia kuanzishwa kwa huduma ya usafiri wa mabasi ya haraka (DART) katika barabara ya Morogoro inayoanzia Mbezi Luis kupitia Kimara mwisho.Mabasi hayo ya DART yanaanzia Kimara kuelekea...
15May 2016
Sanula Athanas
Nipashe Jumapili
Novemba 7, mwaka jana, ikiwa ni siku mbili tu baada ya kuapishwa kuwa Rais wa Tano, John Magufuli alipiga marufuku safari za nje kwa maofisa wa serikali isipokuwa tu itakapokuwa lazima na kwa ruhusa...
15May 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Ikiwa ni miezi mitano sasa tangu aliyekuwa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamisha Saidi Kova awaambie wanahabari Polisi inamtafuta Abdi kwa makosa hayo:
Nipashe iliwasiliana...
