NIPASHE JUMAPILI
05Jun 2016
Ibrahim Mkamba
Nipashe Jumapili
Ni kweli, msaliti mkubwa wa chama hicho ni Bunge linaloundwa na wabunge wa CCM wanaozidi idadi ya upinzani. Kwa ‘usaliti huo’, idadi hizo hukaribiana kadri miaka inavyokwenda, kutoka 206 kwa 26 mwaka...
05Jun 2016
Faustine Feliciane
Nipashe Jumapili
Kamati ya Uchaguzi ya Yanga inasubiri kupokea pingamizi kutoka kwa wanachama waliochukua fomu za kuwania uongozi.
Hata hivyo, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limesisitiza kutoitambua kamati...
05Jun 2016
Faustine Feliciane
Nipashe Jumapili
Ali (74). alifariki dunia wakati akipewa matibabu mjini, Phoenix, Marekani, akisumbuliwa na tatizo la kushindwa kupumua vizuri lililosababishwa na ugonjwa wake wa muda mrefu wa kutetemeka viungo vya...
05Jun 2016
Faustine Feliciane
Nipashe Jumapili
Hanspope aliyeondoka juzi kuelekea Zimbabwe kwa ajili ya kumfuatilia mchezaji mmoja raia kwa lengo la kumsajili.
"Ni wazi kabisa moja ya sababu ya kufanya vibaya pia ni usajili tulioufanya msimu...
05Jun 2016
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Wale ambao simu zao zinatarajiwa kuzimwa siku 11 zijazo, sasa wamepata fursa ya kuendelea kuwapo katika ulimwengu wa teknolojia ya mawasiliano kwani watapatiwa simu mpya.
Kampuni ya simu za...
05Jun 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Barua inayosambazwa kwa wiki nzima kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii, ikiwa na Kumbukumbu Namba MDCAL/RK/05/2016, inaonyesha kuwa imetumwa kwenda kwa mbunge huyo Mei 27, mwaka huu ikimpa nafasi...
05Jun 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Aidha, Nipashe imebaini kuwa Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) pamoja na Wizara ya Fedha na Mipango, wameshiriki katika uchunguzi wa sakata hilo uliofanywa na kamati ndogo...
05Jun 2016
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Hayo yamo katika taarifa ya Mkurugenzi Mtendaji wa Jet, John Chikomo, kuhusu maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani inayofanyika leo (kesho) na kueleza kuwa kasi hiyo itaiwezesha serikali kufikia...
05Jun 2016
Joseph Mwendapole
Nipashe Jumapili
Akizungumza na Nipashe jana, Gavana wa BoT, Prof. Benno Ndulu, alisema maagizo ya Rais Magufuli juu ya kupitia upya ajira za watumishi wote wa taasisi hiyo yameshafanyiwa kazi na ripoti yake...
29May 2016
Frank Monyo
Nipashe Jumapili
Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Profesa Adolf Mkenda, ndiye aliyetoa wito huo wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maonyesho hayo.
Mkenda, alisema kuwa mikakati ya serikali...
29May 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe Jumapili
Kuongeza barabara hizo kutalifanya jiji kuwa na fly-ova tisa, baada ya ujenzi wa nyingine mbili kufanyika katika makutano ya barabara ya Ubungo na Tazara.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano...
29May 2016
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Akizungumza na Nipashe jijini Dar es Salaam jana, Kamanda wa Polisi katika kanda hiyo, Simon Sirro, alisema hivi sasa wako mbioni kuendesha operesheni hiyo hivi karibuni na kwamba, ni vyema ombaomba...
29May 2016
Cynthia Mwilolezi
Nipashe Jumapili
Aidha, Sumaye alisema ni vyema wataalam wakaongoza nchi kwa kubuni mbinu mbalimbali za kujikwamua kiuchumi.
Sumaye aliyasema hayo jana Jijini hapa wakati akizungumza kwenye kongamano la Nafasi ya...
29May 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe Jumapili
Hamad yupo katika ziara ya kusisitiza kutoitambua Serikali ya Rais Dk. Mohammed Ali Shein.
Wanachama hao walipigwa mabomu na Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) katika maeneo tofauti majira...
29May 2016
Neema Sawaka
Nipashe Jumapili
*Wagonjwa walia mauzauza usiku kucha
Kama bado hujafikiria hilo, basi ni hali hiyo ndiyo inayowakuta hivi sasa wagonjwa wanaolazwa katika Kituo cha Afya cha Bulugwa kilichopo katika Halmashauri ya Ushetu, Wilaya ya Kahama mkoani...
29May 2016
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Tayari tumeona vyanzo kadhaa ambavyo ni pamoja na ndoa pasipo kumshirikisha Mungu, kupata mimba kabla ya ndoa.
Kingine ni kushiriki tendo la ndoa kabla ya ndoa, ndoa zinazotegemea waganga wa...
29May 2016
Ibrahim Mkamba
Nipashe Jumapili
Kadhalika jijini Arusha kuna watu waliuawa kwa kurushiwa bomu katikati ya mkutano wa hadhara wa kisiasa. Hao ni miongoni mwa Watanzania kadhaa waliopotezewa maisha kikatili hivi karibuni.
Sisi si...
29May 2016
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Kila halmashauri pamoja na kupokea fedha zisizo na masharti kama za mishahara na matumizi mengine, fungu la miradi ya maendeleo lina masharti mbalimbali kulingana na mifuko husika.
Baadhi ya fedha...
29May 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe Jumapili
Hakuna mtu asiyependa kuishi na ndiyo maana hukimbilia hospitali afya zinapotetereka kwa maradhi.
Hata hivyo, ajali za barabarani Zanzibar zimeanza kuvunja haki ya kikatiba ya kuishi kutokana na...
29May 2016
J.M. Kibasso
Nipashe Jumapili
BABA wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, aliongoza mapambano ya kudai Uhuru kwa ujasiri mkubwa hadi ulipopatikana Desemba 9 , 1961 miaka saba baada kuanzisha Chama cha TANU mwaka 1954.
Baada aya...
