NIPASHE JUMAPILI

26Jun 2016
Mhariri
Nipashe Jumapili
Taarifa kuhusiana na kadhia hii zimetwaa nafasi kubwa katika mijadala ya Watanzania walio wengi. Hali imekuwa hivyo pia katika vyombo mbalimbali vya habari, hasa baada ya Rais John Magufuli...
26Jun 2016
Komba Kakoa
Nipashe Jumapili
Uamuzi huo unakuja wiki moja baada ya hospitali hiyo kutoa taarifa za utaratibu huo mpya wa huduma ya chakula kwa wagonjwa ambapo kila mgonjwa alitakiwa kutoa Sh 6,000 kwa mlo wa siku. Hayo...
26Jun 2016
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Idadi hiyo ni kubwa kulinganisha na kipindi kama hiki mwaka jana na pia miaka iliyopita. Akizungumza na Nipashe mwishoni mwa wiki, Mkemia Mkuu wa Serikali, Profesa Samwel Manyele, alisema familia...

walinzi wa rais barack obama alivyotembelea tanzania

26Jun 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Hali hiyo ilianza kujitokeza juzi baada magari kadha wa kadha kutembelea eneo hilo yakiwa na watu waliovalia suti na miwani huku wakikagua nyumba zilizojirani na maeneo hayo na sehemu ya kufanyika...

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda

26Jun 2016
Joseph Mwendapole
Nipashe Jumapili
Chanzo kimoja kimeiambia Nipashe kuwa Magufuli alishaonyesha kuvutiwa na utendaji wa Makonda na pia vijana wengine kadhaa aliowaamini katika kipindi chake cha kuwapo madarakani tangu alipoapishwa...

Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Balozi Dk Augustine Mahiga

26Jun 2016
Joseph Mwendapole
Nipashe Jumapili
Hali hiyo itawezesha fedha zinazookolewa zielekezwe katika miradi ya maendeleo inayowagusa moja kwa moja wananchi wa kawaida. Hadi sasa, tayari vigogo kadhaa wa ofisi hizo za balozi za Tanzania...

Rais John Magufuli akizungumza na Inspekta Mkuu wa Polisi, Ernest Mangu

26Jun 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe Jumapili
Ahadi hiyo imetokana na kuwapo kwa takwimu za kutisha za uhalifu katika Wilaya ya Kinondoni na kwamba kwa miaka minne iliyopita hadi mwaka jana yametokea matukio 29,233 ya uhalifu.Mkuu wa Jeshi la...
26Jun 2016
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Mihadarati inaongoza kuharibu nguvu kazi ya taifa, kuongeza waathirika wa maradhi, wategemezi ndani ya jamii, imechangia kuongeza wahalifu na kuibua mtandao wa matajiri wa biashara haramu wanaotumia...
26Jun 2016
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Kufuatia makala hiyo, wasomaji wengi walinitumia maoni yao kueleza kero nyingine wanazopata kwenye mabasi hayo ya mikoani, ikiwamo ya sauti kubwa za Tv na Radio, kiasi cha kuwafanya abiria kushindwa...

Wachezaji wa Yanga

26Jun 2016
Faustine Feliciane
Nipashe Jumapili
Pluijm amepanga kikosi chake kucheza mchezo wa kasi na kuwashambulia wapinzani wao ili kupata goli la mapema
Pluijm aliliambia gazeti hili moja kwa moja kutoka Uturuki kuwa amekiandaa kikosi chake kucheza soka la kushambulia na kuhakikisha wanapata goli la mapema. "Tunarudi kucheza na Mazembe tukiwa...
19Jun 2016
Jackson Paulo
Nipashe Jumapili
Anaathirika pale kinga itakaposhuka. Leo tunaendelea kuangalia sababu za TB kuwa sugu. Mojawapo ni kuongezeka kwa aina nyingi za bakteria wenye usugu dhidi ya dawa. Tangu tiba ya kwanza ya kifua...
19Jun 2016
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Vingine ni ndoa baada ya kwenda kwa mganga, ndoa kwa shinikizo la wazazi, ndoa za bora kuolewa/kuoa kuliko kuishi bila mume/mke, ndoa za habati nasibu na ndoa kwa muonekano wa nje(kuangalia sura/...

waumini wa dini ya kiislamu wakifuturu.

19Jun 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe Jumapili
Utamaduni wa watu au familia Zanzibar kufutari pamoja umekuwepo miaka mingi lakini mwaka huu umepigwa marufuku kutokana na maradhi hayo yaliyodumu kwa miezi nane sasa. Kabla ya kupinga marufuku...

Marais wastafu Jakaya Kikwete akiwa pamoja na marais wastaafu Ali Hassan Mwinyi (kulia) na Benjamin William Mkapa (kushoto)

19Jun 2016
Gaudensia Mngumi
Nipashe Jumapili
Rais huyu aliyeongoza kuanzia 1995 hadi 2005, anakosolewa na kada wa zamani wa CCM aliyejiunga na Chadema, Khamis Mgeja, akisema hastahili kuachwa alivyo kwa kuwa ndiye aliyemliza Baba wa Taifa...
19Jun 2016
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Baadhi ya mambo yaliyoibuka katika mjadala huo wabunge kupinga kikatwa asilimia tano ya kodi kwenye kiinua mgongo baada ya miaka mitano, waliligomea pia ongezeko la tozo la pikipiki, kupunguziwa...
19Jun 2016
Ibrahim Mkamba
Nipashe Jumapili
“Hizo ni nasaha au ulitaka utuonyeshe itikadi yako? Unaonaje ukaacha huko kuandika vitu kama hivyo ukabaki unapiga debe la Ukawa bila mafanikio. Kama Ukawa wana watu na CCM hawana kinawashinda nini...
19Jun 2016
Gideon Mwakanosya
Nipashe Jumapili
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti mpya wa TTCIA Mkoa wa Ruvuma, Yohana Nchimbi, muda mfupi baada ya kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa taasisi hiyo. Akiwashukuru wanachama kwa kumchagua alimpongeza Rais...

mihogo

19Jun 2016
Said Hamdani
Nipashe Jumapili
Aidha wakazi wa mkoa huo na Watanzania wengine 10,000 watanufaika na ajira mbalimbali za uwekezaji huo utkaofanyika wilayani Kilwa. Hayo yalielezwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi Sekta Binafsi...

Baadhi ya Wafanyakazi wa majumbani kutoka Dodoma na Dar es salaam wakiwa kwenye maadhimisho ya Kitaifa ya siku ya wafanyakazi wa majumbani Duniani iliyoaazimishwa mjini Dodoma juzi. PICHA: IBRAHIM JOSEPH

19Jun 2016
Ibrahim Joseph
Nipashe Jumapili
Agizo hilo alilitoa jana wakati maadhimisho ya siku ya wafanyakazi wa majumbani kitaifa iliyofanyika mjini hapa kwa kuandaliwa na Chama cha Wafanayakazi wa hifadhi, mahoteli, majumbani, huduma za...

Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume

19Jun 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe Jumapili
Kwa mujibu wa taarifa ya kamati ya kudumu ya Mawasiliano na Ujenzi ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar (BLW) imesema gharama za mradi huo zimeongezeka kutoka dola za Marekani milioni 70 .4 mwaka 2009...

Pages