NIPASHE JUMAPILI
03Apr 2016
Nipashe Jumapili
Ongezeko hilo linaelezwa kuwa ni la juu baada ya kukamilika kwa miradi ya upanuzi katika vyanzo vya Ruvu Chini na Ruvu Juu ambavyo vinalisha maji wateja wa jiji la Dar es Salaam na Kibaha....
03Apr 2016
Ibrahim Mkamba
Nipashe Jumapili
Nimeleta hadithi hii ya kweli kwa lengo la kueleza umakini uliokuwapo miaka hiyo ambao, kwa kiasi kikubwa umeondoka. Kadhalika nahoji? Kwa nini leo hatuko makini kama zama hizo tunapozingirwa...
03Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
***Mabingwa hao wa Bara wanacheza mchezo wao wa kwanza wa viporo leo Uwanja wa Taifa, huku Azam wakiwa Mwanza.
Mbali na mechi hiyo, pia leo ligi hiyo itashuhudia wawakilishi wengine wa Tanzania kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho, Azam FC wakianza ratiba ngumu kwa kucheza dhidi ya Toto Africans kwenye...
03Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Matokeo hayo kama mwendelezo wa wa Villa kuporomoka zaidi kuelekea kushuka daraja.
Katika mechi hiyo, mashabiki wa Villa waliimba nyimbo za kuibeza timu, wachezaji na mmiliki wa klabu,...
03Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Yanga ilikuwa ipambane na Mtibwa Jumatano wiki hii, lakini mechi hiyo haitakuwapo na TFF itapanga tarehe nyingine ya kuchezwa.
Hata hivyo, habari kutoka TFF zilidai kuwa mchezo huo utachezwa...
03Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Mkwasa kwa sasa anafundisha timu ya Taifa (Taifa Stars) na kauli yake imekuja siku chache tangu kuwalalamikia waajiri wake (TFF) kushindwa kumlipa misharaha kwa miezi nane.
Kocha huyo mzawa...
03Apr 2016
Joseph Mwendapole
Nipashe Jumapili
Meneja wa Bandari ya Dar es Salaam, Hebel Mhanga, aliliambia gazeti hili mwishoni mwa wiki kuwa, jumla ya wafanyakazi 25 wameshasimamsihwa kazi kwa shutuma hizo na wamekabidhi polisi ushahidi wa...
03Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Awali, shule hiyo iliyopo katika Kijiji cha Bubinza, Wilaya ya Magu mkoani Mwanza, ilifungwa kwa muda usiojulikana ili kupisha ujenzi wa vyumba walau vine vya madarasa na pia kuboresha mazingira ya...
03Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kashfa hiyo ilibuliwa na wanachama wenzake mwaka 2010 wakati akiwa Mwenyekiti wa UVCCM, Taifa, na mwishowe ilimng’oa baada ya kuthibitika kuwa ni kweli alidanganya umri wake ili apate sifa ya kuwania...
03Apr 2016
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
.
Ilionya kuwa kuchelewa kuchukuliwa hatua za kisheria dhidi yao, kumeongeza idadi ya watumia dawa hizo magerezani huku Watanzania zaidi ya 160 wakifungwa nchini China baada ya kukamatwa...
03Apr 2016
Augusta Njoji
Nipashe Jumapili
Wakizungumza kwa nyakati tofauti, wakazi wa kijiji hicho walisema kwa kipindi cha miezi mitatu mfululizo mwaka huu kumekuwapo na tatizo hilo na kuwafanya washindwe kubaini tatizo.
Mganga...
03Apr 2016
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Hayo yalisemwa jana jijini Dar es Salaam na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje, Afrika Mashariki na Ushirikiano wa Kikanda na Kimataifa, Ramadhani Mwinyi, katika ufunguzi wa mkutano...
03Apr 2016
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Hayo yalisemwa jana jijini Dar es Salaam na Mkuu wa shule ya Sekondari ya Feza, Ibrahimu Yunus, wakati akizungumza na waandishi wa habari kuwatangaza washindi waliofanya vizuri katika masomo ya...
03Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kitendo hicho cha kutoa zawadi ya zaidi ya Sh. milioni 20 kilipongezwa jana na Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Zainab Mbusi, ambaye alisema amefarajika kuona mbunge huyo amefika wilayani humo...
03Apr 2016
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Akizungumza na Nipashe mapema wiki hii, Prof. Mchome alisema Wizara haiwezi kufanya chochote kwa sasa hadi watakapokabidhiwa mapendekezo kutoka kwenye bodi hiyo.
“Tunasubiri ushauri wa bodi kama...
03Apr 2016
Leonce Zimbandu
Nipashe Jumapili
Lengo la kuendesha operesheni hiyo ni kubaini idadi ya ng’ombe waliopo ili kupanga matumizi bora ya ardhi kwa mfugaji kutoka kwenye ufungaji wa kuhama hama kwenda ufugaji kisasa.
Mkwasa alisema...
27Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Okwi aliuzwa na Simba Klabu ya Etoile du Sahel, lakini tangu wakati huo fedha za mauzo za mchezaji huyo hazikulipwa na kuibua maswali mengi kuliko majibu wakati wa utawala wa Rage.Hata hivyo, klabu...
27Mar 2016
Nipashe Jumapili
***Klabu hizo mbili zimewasilisha barua kutaka kufanyiwa marekebisho ya ratiba ya mechi za viporo…
Hata hivyo, hakuna uwezekano wowote wa Bodi ya Ligi kufumua tena ratiba hiyo kwa matakwa ya klabu hizo zinazoshiriki michuano ya soka Afrika.
Yanga inashiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika...
27Mar 2016
Gideon Mwakanosya
Nipashe Jumapili
Askari huyo Samueli Nginila (32), alipata kipigo baada ya kumgonga mtembea kwa miguu, kwa mujibu wa Kamanda Kamanda wa Polisi wa Mkoa, Zuberi Mwombeji.
Akizungumza na wanahabari alisema tukio...
27Mar 2016
Elizaberth Zaya
Nipashe Jumapili
Aidha, TRA imesema taarifa hizo zimeisaidia Mamlaka hiyo katika mwaka huo wa fedha kuokoa Sh. bilioni 11.
Kuzawadia watu wanaofichua wakwepa kodi ni miongoni mwa mbinu zinazotumiwa na TRA...
