NIPASHE JUMAPILI
10Sep 2023
Nipashe Jumapili
Ronaldo ambaye ni raia wa Ureno aliyewahi kuzichezea klabu za Manchester United na Real Madrid amefikia uamuzi huo kufuatia tetemeko la ardhi kutokea nchini Morocco huku likiacha maelfu ya watu...
10Sep 2023
Augusta Njoji
Nipashe Jumapili
Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba, alisema hayo bungeni alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Biharamulo Magharibi (CCM), Ezra Chiwelesa.Katika swali lake, Mbunge huyo alihoji mpango wa...
10Sep 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Lissu aliingia juzi akiwa na msafara wake na kupokewa na wananchi, ambao ni wafugaji wa jamii ya Kimasai, wanaotakiwa kuhama kwa hiari ndani ya eneo la Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) iliyoko...
10Sep 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kampuni Kubwa Yenye Uzoefu wa Miaka 50 Yaonesha Nia Kuwekeza Nchini , Mbibo Aielezea kuwa ni Safari Yenye Manufaa Makubwa kwa Tanzania, TIC Wakaribishwa Kuanzisha Tawi Kuchochea shughuli za Uongezaji Thamani Madini
Hayo yamebainishwa wakati Ujumbe wa Tanzania ukiongozwa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini Msafiri Mbibo ulipotembelea kiwanda kikubwa cha Pranda Jewelry Public Company Ltd, kilichopo Bangkok...
10Sep 2023
Vitus Audax
Nipashe Jumapili
Ziara hiyo imewahusisha wabunge marafiki katika kikundi cha urafiki kati ya Bunge la Tanzania na China kufuatia maadhimisho ya 10 ya Mpango mkubwa wa kujenga kwa pamoja "Ukanda na Barabara...
03Sep 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
*Waziri Mavunde awakaribisha kuwekeza Sekta ya Madini
Waziri Mkuu Majaliwa amesema hayo, Jijini Dar es Salaam wakati akizungumza katika mkutano baina ya Serikali ya Tanzania chini ya Wizara ya Madini na ujumbe kutoka Korea Kusini uliojumuisha viongozi...
03Sep 2023
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Mkurugenzi Mtendaji ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Dk. Peter Kisenge, ameyasema hayo, kwenye kambi ya siku mbili ya matibabu bure kwa magonjwa ya moyo na NCDs iliyofanyika katika tawi...
03Sep 2023
Julieth Mkireri
Nipashe Jumapili
Ridhiwani ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ameyasema hayo alipokuwa akizungumza kwenye kikao cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya ya...
03Sep 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Alitoa shukrani hizo jana jijini Dodoma wakati wa mahafali ya kwanza ya darasa la saba shule ya Awali na Msingi ya East Africa ya mkoani Dodoma.“Serikali ilipohamia hapa wakati wa hayati Rais...
03Sep 2023
Saada Akida
Nipashe Jumapili
Badala yake kocha huyo alitoa mapumziko ya siku moja na tayari wachezaji wa timu hiyo wameingia kambini kuendelea na maandalizi.Yanga imeanza msimu huu kutoa vipigo vizito katika Ligi Kuu Bara pamoja...
03Sep 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Mwalimu mkuu wa shule hiyo Evarist Runiba, alisema hayo jana wakati akizungumza kwenye mahafali ya kwanza ya darasa la saba ya shule hiyo.Alisema michezo hiyo ni sehemu ya kuwasaidia kuimarisha afya...
03Sep 2023
Augusta Njoji
Nipashe Jumapili
Akiuliza maswali jana bungeni, Mtaturu alisema kuna uhaba mkubwa wa makazi ya askari katika wilaya hiyo na kwamba hakuna nyumba na hata mkuu wa polisi wa wilaya analazimika kupanga nyumba mtaani.Pia...
03Sep 2023
Christina Haule
Nipashe Jumapili
Akitoa hukumu hiyo jana, Jaji wa Mahakama hiyo, Messe Chaba, alisema mahakama imempa adhabu hiyo kwa mujibu wa sehemu ya 198 ya Sheria ya Kanuni ya Adhabu iliyofanyiwa marejeo mwaka 2022 ili iwe...
Baadhi ya wafugaji jamii ya Kimasaai wa kijiji cha Maharaka, kata ya Boma, wilayani Mvomero mkoani Morogoro, wakiangalia ng’ombe za wafugaji wenzao, zilizolala chini na kushindwa kutembea baada ya kukatwa na mapanga na kundi la watu wasiojulikana wakati wakizinyweshea maji katika Mto Maharaka jana. PICHA: ASHTON BALAIGWA
03Sep 2023
Ashton Balaigwa
Nipashe Jumapili
Mmoja wa wamiliki wa ng’ombe hizo, Mbayani Kipereni, mkazi wa Doma, alisema tukio hilo lilitokea majira ya saa 6:30 mchana pembezoni mwa Mto Maharaka walipokwenda kunywesha maji ng’ombe...
03Sep 2023
Nipashe Jumapili
Waandamanaji walikusanyika nje ya kambi inayowahifadhi wanajeshi wa Ufaransa wakiitikia mwito wa makundi ya kiraia yanayopinga uwepo wa jeshi la mkoloni huyo wa zamani wa Niger. Walibeba mabango...
03Sep 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
-tebernakulo ambako sakramenti takatifu huhifadhiwa.Taarifa ya kufungwa kwa Kanisa hilo imetolewa na Makamu wa Askofu wa Jimbo hilo Padri Ovan Mwenge Septemba mosi mwaka huu.Amesema watu hao...
03Sep 2023
Halfani Chusi
Nipashe Jumapili
Ni mwezi mmoja sasa tangu kukamatwa kwa mtuhumiwa huyo, Daniel Simle, katika makazi yake kijijini Ilewelo, kata ya Manzase, wilayani Chamwino, mkoani Dodoma.Simle anadaiwa kufanya ukatili huo kwa...
27Aug 2023
Said Hamdani
Nipashe Jumapili
Rai hiyo imetolewa na Shekhe Mkuu mufti Abubakari Zuberi Ally alipokuwa anazindua Zahanati ya Kijiji cha Ruyaya,wilaya ya Kilwa,mkoani Lindi.Zahanati hiyo ambayo bado thamani yake haikuweza kutajwa...
27Aug 2023
Nipashe Jumapili
Alex Gitari alifutwa kazi na Waziri wa Uchukuzi Kipchumba Murkomen, ambaye ameomba radhi kwa changamoto hiyo iliyotokea.Kampuni kubwa ya umeme inayomilikiwa na Serikali haijaeleza ni nini hasa...
27Aug 2023
Marco Maduhu
Nipashe Jumapili
Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Taifa, Mary Chatanda amebainisha hayo kwenye Mkutano wa hadhara uliofanyika katika Viwanja vya Zimamoto Manispaa ya Shinyanga akiwa ameambatana na Makamu wake pamoja na...
