NIPASHE JUMAPILI

27Aug 2023
Thobias Mwanakatwe
Nipashe Jumapili
Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo, Godwin Kabalika akizungumza wakati wa kikao cha kutambulisha mradi huo kilichofanyika mjini Singida na kuwashirikisha, amesema wananchi wengine 15,000 watafanyiwa...
27Aug 2023
Nipashe Jumapili
Kiongozi wa ulinzi amesema tahadhari hiyo inaruhusu wanajeshi kujibu mashambulio wakati wowote ili kuepuka mashambulizi ya kushtukiza.Jumuiya ya kiuchumi ya Mataifa ya Afrika Magharibi ECOWAS,...
27Aug 2023
Nipashe Jumapili
Rubiales alitarajiwa kutangaza kujiuzulu siku ya Ijumaa lakini badala yake akasema hatajiuzulu, na shirikisho la soka la Uhispania (RFEF) lilitishia kuchukua hatua za kisheria kumtetea baada ya...

Kocha wa Simba, Roberto Oliviera 'Robertinho'.

27Aug 2023
Saada Akida
Nipashe Jumapili
Robertinho alisema Mzamiru na Ngoma wana uwezo mkubwa na kwa sasa wapo kwenye viwango vya juu na wamekuwa msaada mkubwa kwenye kikosi cha timu hiyo.Robertinho ametoa kauli hiyo kutokana na ubora wa...

Waziri wa Nchi – Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Prof. Joyce Ndalichako (wakwanza kulia), Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii, Mhe. Fatma Hassan Toufiq, (mwenye kilemba chekundu), Katibu Mkuu - Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Prof Jamal Adam Katundu (wapili kulia), pamoja na Wajumbe wa Kamati hiyo wakipokea maelezo kutoka kwa mwakilishi wa kiwanda cha unga cha Bakhresa (Buguruni Flour Mills) juu ya namna kiwanda hicho kinavyoendesha mifumo ya usalama na afya mahali pa kazi.

27Aug 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Pongezi hizo zimetolewa Jana na Kamati hiyo ilipofanya ziara katika viwanda vya Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani kwa lengo la kufuatilia uzingatiaji wa taratibu muhimu za usalama na afya kazini...

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa.

27Aug 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
*Ahitimisha maonesho ya kwanza ya madini na fursa za uwekezaji mkoani Lindi, *Aelekeza Halmashauri nchini kuandaa Mpango wa Uchimbaji madini endelevu
Amesema hayo, wakati akifunga Maonesho ya Kwanza ya Madini na Fursa za Uwekezaji mkoani Lindi Agosti 26, 2023 Wilayani Ruangwa ambayo yalihusisha zaidi ya washiriki 140 kutoka ndani na nje ya nchi....

Mwenyekiti wa UWT Taifa Mary Chatanda (kushoto) akikabidhi Kompyuta kwa wanafunzi na walimu ambazo zimetolewa na Mbunge wa Shinyanga Mjini Patroba Katambi (kulia).

27Aug 2023
Marco Maduhu
Nipashe Jumapili
Katambi ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana,Ajira na watu wenye ulemavu amekabidhi Kopyuta jana kwenye Mkutano wa hadhara Umoja wa Wanawake wa CCM Taifa (UWT)uliofanyika...
20Aug 2023
Thobias Mwanakatwe
Nipashe Jumapili
-kuegesha malori yanayopeleka pamba kiwandani hapa.Meneja wa kiwanda hicho, Salum Halfani Salum ametoa ombi hilo kwa Tanesco kufuatia msongamano mkubwa wa malori yenye shehena ya pamba kandokando ya...
20Aug 2023
Julieth Mkireri
Nipashe Jumapili
Shindano hilo ambalo lilizinduliwa April 19 na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Dk.Selemani Jafo lilienda sambamba na kampeni ya utunzaji wa mazingira katika mkoa wa Pwani...
20Aug 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Dk. Biteko asema biashara nyingi Sekta ya Madini inafanywa na India...
Dk. Biteko amesema  hayo katika sherehe za Maadhimisho ya Miaka 77 ya Uhuru wa India zilizoandaliwa na watanzania wenye asili ya nchi hiyo yaliyofanyika Agosti 19 jijini Arusha."Kama...

MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Hamoud Jumaa.

20Aug 2023
Julieth Mkireri
Nipashe Jumapili
Amesema kwamba wanachama wanatakiwa kushikamana ili waweze kupata ushindi wa kishindo katika chaguzi zijazo huku akisisitiza utoaji wa ada.Ameyaeleza hayo  katika mkutano wa majumuisho ya ziara...
20Aug 2023
Grace Gurisha
Nipashe Jumapili
-zimetapakaa chini. Kesi hiyo ya mauji namba 103 ya mwaka 2018 inamkabili mke wa Erasto Msuya, maarufu kama Bilionea Msuya,  Miriam Mrita, na mfanyabiashara Revocatus Muyella, wanaotuhumiwa...

Job Ndugai.

20Aug 2023
Ibrahim Joseph
Nipashe Jumapili
Akizungumza wilayani hapa kwenye uzinduzi wa kiwanda cha kusindika mafuta ya alizeti kinachomilikiwa na Quickstep Investment Limited kilichofadhiliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo ya...

Askofu Mkuu Gervas Nyaisonga.

20Aug 2023
Restuta James
Nipashe Jumapili
Aidha, katika tamko hilo lililojumisha maaskofu 37 wa majimbo yote Tanzania, baraza hilo limeishauri serikali iwasikilize wananchi na kumwomba Rais Samia Suluhu Hassan kusitisha wasilisho la ridhio...

Mkurugenzi wa Global Education Link (GEL), Abdulmalik Mollel, akizungumza kwenye hafla ya kuwaaga vijana 46 wa Tanzania wanaokwenda kusoma fani mbalimbali nchini China kwa ufadhili wa serikali ya nchi hiyo, hafla iliyofanyika kwenye ubalozi wa China mwishoni mwa wiki. PICHA: MPIGA PICHA WETU

20Aug 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Mollel amesema kuna idadi kubwa ya wanafunzi wa Tanzania ambao wangependa kwenda kusoma nchini China hivyo ameuomba ubalozi wa nchi hiyo hapa nchini kufungua dirisha hilo ili wanafunzi wanaoomba Visa...
20Aug 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Yatoa Gawio la Shilingi Bilioni 84 Serikalini
Tuzo ya ushindi kwa kampuni  hiyo ilitolewa jana Agosti 19, 2023 Jijini Arusha na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwenye ufunguzi wa Kikao Kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu na Taasisi...
13Aug 2023
Jenifer Gilla
Nipashe Jumapili
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam, Mchechu, amesema katika mkutano huo kutafanyika mambo makuu matano ikiwamo kujadili changamoto kiuendeshaji zinazokabili taasisi hizo katika...
13Aug 2023
Cynthia Mwilolezi
Nipashe Jumapili
Diwani wa Msitu wa Tembo, Kaleiya Mollel, akizungumza jana kwenye kikao cha baraza la madiwani kilichofanyika kwenye Mamlaka ya Mji Mdogo wa Orkesumet ameiomba serikali ichukue hatua.Mollel alisema...
13Aug 2023
Mary Mosha
Nipashe Jumapili
Akizungumzia tukio hilo, baadhi ya wananchi akiwamo Salomon Nkini, alisema kutokana na kukithiri kwa tembo hao katika maeneo ya mashamba na kufanya uharibifu, walilazimika kuweka ulinzi ili kunusuru...
13Aug 2023
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Prof. Janabi aliyasema hayo jijini Dodoma wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu utekelezaji wa majukumu na mwelekeo wa utekelezaji wa majukumu kwa mwaka 2023/24.Alisema mauti inaweza...

Pages