NIPASHE JUMAPILI

02Jul 2023
Grace Gurisha
Nipashe Jumapili
Imedaiwa mahakamani kuwa baada ya kumpiga mke wake na ubapa wa mkono mithili ya kareti na kudondoka chini, Naomi alimwomba mume wake amsamehe na Mungu pia amsamehe, maneno ambayo  yalimchanganya...
02Jul 2023
Mary Mosha
Nipashe Jumapili
Mwili wakutwa katika shimo la choo
Hiyo ni baada ya kudaiwa kuuawa kwa kucharangwa mapanga kichwani na mfanyakazi wake wa ndani.Inadaiwa kuwa mtuhumiwa wa mauaji hayo (jina limehifadhiwa), alipokamilisha dhamira yake, aliutupa mwili...
02Jul 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Polisi wadaiwa kutoa rambirambi 200,000\-, kulipia jeneza, gharama za mochwari...
Familia ya marehemu pia imedai kuwa baada ya kijana huyo kuuawa kikatili, ilipatiwa rambirambi ya Sh. 200,000 na jeshi hilo.Mwandishi alipomtafuta Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, Edith Swebe,...

Farasi Jane, mwenye umri wa miaka saba, akiwa na mwalimu wake, Lucas Maduhu, kwenye Maonesho ya 47 ya Kimataifa ya Biashara Dar es Salaam (DITF) maarufu SabaSaba.PICHA: CHRISTINA MWAKANGALE

02Jul 2023
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Jane (7), ametembea kwa saa mbili, takribani kilomita 29.6  kutoka Kunduchi hadi SabaSaba kushiriki Maonesho ya Kimataifa ya Biashara Dar es Salaam (DITF).Mwalimu wa farasi Jane, Lucas Maduhu...
02Jul 2023
Anaeli Mbise
Nipashe Jumapili
Akiongea na wageni waliotembelea banda la TAWA lililopo ndani ya banda la Wizara ya Maliasili na Utalii Afisa, Mhifadhi Gregory Kalokole amesema TAWA ina uwanda mpana wa fursa za uwekezaji unaotoa...
25Jun 2023
Ibrahim Joseph
Nipashe Jumapili
Chongolo amesema hayo leo  wakati akizungumza na wakazi wa Kata ya Nzuguni  Jijini Dodoma kwenye mwendelezo wa ziara yake mkoani hapa. Amemwagiza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais...
25Jun 2023
Adam Fungamwango
Nipashe Jumapili
Alipotwaa taji, mashindano yakapigwa marufuku, Iliporudishwa tu, madenti, vimini, vikapigwa 'stop'
Mwenyekiti wa Kamati ya Miss Tanzania Azam Mashangu alisema zaidi ya warembo 20 kutoka mikoa mbalimbali wanaingia kambini leo na watakuwa huko kwa siku 15 kabla ya mashindano hayo kufanyika.Wakati...

Picha ya pamoja na Naibu Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais, menejimenti,utumishi wa umma na Utawala bora, Ridhiwani Kikwete, wafanyakazi kutoka ofisi ya Rais Utumishi,wafanyakazi kutoka TRC katika Banda la Shirika la Reli Tanzania (TRC) katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Barani Afrika, Victoria Falls, Zimbabwe hivi karibuni Juni 2023.

25Jun 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Maonesho  yameanza tarehe 21 Juni hadi 23, 2023. Shirika la Reli Tanzania (TRC) ni miongoni mwa taasisi ya serikali iliyofanikisha ushiriki katika maonesho ya maadhimisho ya wiki ya utumishi wa...

Ali Kiba.

25Jun 2023
Nipashe Jumapili
Awali akaunti hiyo ilidukuliwa na kushikiliwa na mtu aliyejiita TESLA INC, huku video zote zikiwa zimefichwa na hakuna mtu aliyefanikiwa kuzifikia.Mbali ya video hizo kurudishwa bado kuna video moja...
25Jun 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
"Nilipata taarifa ya uvamizi wa wanyama hao katika vijiji vilivyoko mbali kabisa na hifadhi zaidi ya kilometa 25 lakini hadi sasa simba hao wameshaenda umbali wa zaidi ya kilometa 70 na...
25Jun 2023
Vitus Audax
Nipashe Jumapili
Mabaharia hao walitoa kilio chao katika Maadhimisho ya Wiki ya Mabaharia Duniani kwa serikali jana, wakati wakifanya usafi kwenye mto huo unautiririsha maji yake kwenda Ziwa Victoria.Licha taka ngumu...
25Jun 2023
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Aidha, alitaka wanasaikolojia hao kutafuta msingi wa matatizo hayo ili kupatikana ufumbuzi wa kudumu wa matukio hayo yanayoendelea kukithiri nchini.Elisha aliyasema hayo jana wakati akizungumza jana...

Mkurugenzi Mtendaji wa TIC, Gilead Teri.

25Jun 2023
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Akizungumza katika hafla ya utiaji saini mikataba hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wa TIC, Gilead Teri, alisema utiaji saini wa mikataba ya utekelezaji ni kati ya TIC na miradi iliyopewa hadhi ya kimkakati...
25Jun 2023
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Imedaiwa kuwa moto huo umesababishwa na vilipuzi vilivyotokana na mafuta huku mpenzi wa mama wa mtoto huyo, Flora Kasanduku, ambaye jina lake halikutajwa akihusika na tukio hilo lililotokea majira ya...

Basi la Kilimanjaro Express aina ya Scania lenye namba za usajili T 983 AWY likiwa limeharibika mbele baada ya kugongana na gari dogo aina ya Toyota Corola namba T 999 CPS, katika eneo la Majengo, Hedaru, wilayani Same mkoani Kilimanjaro na kusababisha vifo vya watu wawili.

25Jun 2023
Godfrey Mushi
Nipashe Jumapili
Ajali hiyo ilitokea jana saa 12:00 asubuhi katika eneo la Majengo, Hedaru, Wilaya ya Same, mkoani Kilimanjaro, wakati ofisa huyo na mkewe wakitokea Dar es Salaam kuelekea Moshi.Kamanda wa Polisi,...

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe.

18Jun 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje, John Mrema, Mbowe ambaye pia ni mwenyekiti mwenza wa Umoja wa Vyama vya Kidemokrasia Afrika (DUA), anatarajiwa...
18Jun 2023
Ibrahim Joseph
Nipashe Jumapili
Chongolo amesema hayo alipotembelea mradi wa ujenzi wa madarasa ya Shule ya Sekondari Chilonwa mkoani Dodoma kwenye mwendelezo wa ziara yake mkoani humo.Amewataka wazazi kuhakikisha wanawapatia...

Katibu Tawala Mkoa wa Kagera Toba Nguvila.

18Jun 2023
Titus Mwombeki
Nipashe Jumapili
Ameyasema hayo katika uzinduzi maalumu wa mfumo wa M-MAMA  mkoani Kagera ambapo amesema kuwa serikali kwa kushirikiana wadau hao wanafanya kila liwezekanavyo kunusuru maisha ya mama na mtoto...
18Jun 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Binti huyo alikuwa akiozeshwa katika Kijiji cha Mwawaza nje kidogo ya Manispaa ya Shinyanga ambako jeshi hilo lilifanikiwa kuwakamata walengwa wote kwa kile kinachoelezwa kuwa walilenga kuzima ndoto...
18Jun 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Afisa Misitu Mkuu kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Michael Gwandu, aliwataka wananchi wanaopakana na maeneo ya hifadhi kuheshimu mipaka...

Pages