NIPASHE JUMAPILI

21May 2023
Allan Isack
Nipashe Jumapili
Ndoa hiyo ya kijeshi ilifungwa mwisho ni mwa wiki jijini Arusha na kuudhuriwa na viongozi waandamizi wa jeshi hilo na viongozi wa serikali."Kwa kweli imekuwa siku muhimu katika maisha yangu kwa...
21May 2023
Titus Mwombeki
Nipashe Jumapili
Rai hiyo imetolewa na Kaimu Meneja Wakala wa Vipimo Mkoa wa Kagera, Abdul Kasim alipofanya operesheni maalumu ya kuwatembelea wafanyabiashara katika Manispaa ya Bukoba ambapo amewataka...

Mkurugenzi wa shule ya St Anne Marie Academy, Dk. Jasson Rweikiza akizungumza kwenye mahafali ya 15 ya kidato cha sita yaliyofanyika shuleni hapo Mbezi Kimara kwa Msuguri jijijini Dar es Salaam.

21May 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Wanafunzi hao walionyesha umahiri wao wakati wa mahafali ya 15 ya kidato cha sita ambapo mmoja alikuwa akizungumza Kifaransa na mmoja kutafsiri kwa lugha ya Kingereza.Kamishna huyo alielezea...

Prof. Riziki Shemdoe (katikati) akipokea maelezo kwenye maabara.

14May 2023
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Akizungumza  jana mara baada ya kutembelea Wakala ya Maabara ya Veterinari Tanzania (TVLA), jijini Dar es Salaam, Prof. Shemdoe amesema lengo la la ziara ni kujionea shughuli mbalimbali za...
14May 2023
Vitus Audax
Nipashe Jumapili
Baada ya kuwahoji walibainika kuwa majina yao halisi ni  Ismer Abdalah na Jeremiah Elkana na kwamba watu hao wanadaiwa kujihusisha na biashara ya ngono kinyume cha  maumbile katika eneo la...

Kamanda wa Polisi wa mkoa huo, Kamishna Msaidizi Mwandamizi (SACP) Wilbroad Mutafungwa.

14May 2023
Rose Jacob
Nipashe Jumapili
Watu wengine walioshinikizwa kutuma kiasi hicho cha fedha na mwanafunzi huyo wa mwaka wa kwanza anayesoma kozi ya famasia ni wazazi, jamaa na marafiki kwa madai kwamba asiuawe na waliomteka, hali...

Rais Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa , na viongozi wengine, wakishuhudia utiaji saini mikataba ya kupeleka huduma za mawasiliano vijijini kati ya serikali na kampuni za simu za TTCL, Vodacom, Airtel, Halotel na Tigo, jijini Dodoma jana. PICHA: IKULU

14May 2023
Augusta Njoji
Nipashe Jumapili
Aidha, ameonya matumizi mabaya ya mitandao kwa vijana na kuwataka watumie kwa kulinda mila, desturi na kujielimisha.Akizungumza jana kwenye hafla ya kutia saini mikataba ya ujenzi wa minara 758 kati...

Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania,Philip Besiimire.

14May 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
• Mapato kutokana na matumizi ya intaneti yaongezeka kwa 34.2%, dalili nzuri kwa matumizi ya intaneti na simu janja., • Miamala ya shilingi trilioni 6 yafanywa na wateja zaidi ya milioni 2 kupitia M-Pesa., • Wateja zaidi ya milioni 4 wanufaika na mikopo midogo ya mpaka shilingi trilioni 1.
Akizungumza na wawekezaji pamoja na wadau wengine wa kampuni hiyo jana kwa njia ya mtandao wakati wa kutangaza matokeo ya awali ya ripoti hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania,Philip...
14May 2023
Mary Mosha
Nipashe Jumapili
Kutokana na tukio hilo, Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linawashikilia watu watatu akiwamo Mkuu wa Shule hiyo kwa tuhuma za kusababisha vifo vya wanafunzi hao.Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
14May 2023
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Kikwete amesema wametoka mbali na Membe, alitumika katika wadhifa huo kwa miaka minane wakati wa serikali yake, wamesaidiana kwa mengi.Membe alifariki dunia juzi asubuhi katika Hospitali ya Hurbert...

Balozi wa Malawi aliyehamishiwa nchini Cuba, Humprey Polepole akizungumza na madaktari bingwa wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) alipokwenda kuwalaki katika Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana wakitokea Malawi ambako waliweka kambi ya wiki moja kutibu wagonjwa wa moyo.

14May 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Matibabu hayo yamefanikiwa chini ya uratibu wa Kamati ya Utalii Tiba inayoongozwa na Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) Dk. Mohamed Janabi na Makamu wake, Abdulmalik Mollel, ambaye...

Baadhi ya wadau wa afya ya uzazi wakifuatilia mdahalo wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wakunga Duniani. PICHA SABATO KASIKA

07May 2023
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Hayo yamesemwa na Msimamizi wa Mradi wa Huduma ya Mama na Mtoto wa shirika hilo Felister Bwana, katika maadhimisho ya Siku ya Wakunga Duniani jijini Dar es Salaam juzi."Inasikitiaha wanawake 8,...
07May 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Ukarabati huo uliogharimu zaidi ya Shilingi milioni 250 umejumuisha kupaka rangi jengo, kukarabati makabati, kubadilisha vyoo na kuboresha eneo la mapokezi. Pia umehusisha uwekaji masinki ya maji na...

WAZIRI Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, George Simbachawene.

07May 2023
Beatrice Moses
Nipashe Jumapili
Amesema hatua hiyo  itawapa unafuu watumishi wasio na nyumba wakiwamo walimu waishio vijijini wengine huishi umbali mrefu na maeneo ya kazi, hivyo kukopeshwa nyumba hizo ambazo ni za gharama...
07May 2023
Faustine Feliciane
Nipashe Jumapili
Makocha wafunguka wanalitaka Kombe la FA ili kupoza machungu...
Mechi hiyo inaelezwa ni ya kulipiza kisasi baada ya Simba kulazimishwa sare na matajiri hao wa Chamazi katika mechi zote mbili za Ligi Kuu Bara msimu huu, huku Azam FC ikiwa na hasira ya kutolewa na...
07May 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Wawakilishi hao wakiongozwa na mmiliki wa klabu ya Ligi Kuu ya Mpira wa Miguu ya Marekani na mabingwa wa Mabara, Seattle Sounders, Adrian Hanauer, ambaye pia ni mwanahisa katika kampuni kubwa ya...
07May 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary  Masanja ndiye aliyeyasema hayo jana Mei 6,2023 katika kijiji cha Gibaso Kata ya Kwihancha wakati wa ziara ya Mawaziri watatu kutoka  Ofisi ya Rais...

MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).

07May 2023
Godfrey Mushi
Nipashe Jumapili
Katika ripoti yake ya 2021/22 iliyowasilishwa Bungeni mwezi uliopita, CAG Charles Kichere, amebaini Ofisi ya Makamu wa Rais–Mazingira, kwa kushirikiana na Wizara za kisekta, haikuchukua hatua...

DAKTARI Isack Daniel.

07May 2023
Samson Chacha
Nipashe Jumapili
Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi Tarime/Rorya, Kamishna Msaidizi (ACP) Geofrey Sarakikya, alisema juzi kuwa tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia Mei 4, mwaka huu. ACP Sarakikya alisema baada ya watu hao...

MWANASIASA mkongwe nchini, Paul Kimiti.

07May 2023
Augusta Njoji
Nipashe Jumapili
Amesema wale waliong’ang’ania, walijikuta wakianguka kwenye uchaguzi mkuu uliofuata mwaka huo. Akizungumza jana jijini hapa kwenye Kongamano la Kumbukizi ya miaka 101 ya kuzaliwa kwa...

Pages