NIPASHE JUMAPILI
16Apr 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Hayo yamewekwa wazi leo na Afisa Habari wa Parimatch Tanzania, Ismael Mohamed wakati alipokuwa akizungumza kwenye hafla fupi ya kukabidhi zawadi hizo kutoka katika droo ya shindano ya Dar Derby...
16Apr 2023
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Mkaguzi wa Dawa wa TMDA Kanda ya Mashariki, Japhari Mtoro, alisema hayo jana wakati wa operesheni hiyo iliyohusisha pia Jeshi la Polisi huku akibainisha kuwa mtuhumiwa huyo alikutwa na dawa...
16Apr 2023
Rahma Suleiman
Nipashe Jumapili
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, alisema jana kuwa hatua hiyo ni maagizo ya Rais Samia Suluhu Hassan ambaye ametaka sherehe hizo zifanyike tofauti kwa kila mkoa kwa kufanya shughuli mbalimbali zikiwamo...
16Apr 2023
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Mratibu wa Kituo cha Kitaifa cha Kudhibiti Matukio ya Sumu wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA), Yohana Goshashy, ametoa angalizo hilo katika mazungumzo mahususi na Nipashe jijini...
16Apr 2023
Adam Fungamwango
Nipashe Jumapili
Kwa mujibu wa takwimu za Ligi Kuu, Mayele, straika wa Yanga anaendelea kuongoza katika orodha ya wafungaji akiwaacha wenzake kwa mbali baada ya Jumanne iliyopita kufikisha mabao 16. Kwenye eneo...
16Apr 2023
Saada Akida
Nipashe Jumapili
Yanga yahitaji pointi tano, Simba yaahidi kuvuruga hesabu katika...
Simba itawakaribisha Yanga ikiwa na kumbukumbu ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 waliyopata katika mechi ya mzunguko wa kwanza ya Ligi Kuu Tanzania Bara iliyochezwa Oktoba 23, mwaka jana.Mnyama...
16Apr 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Ikiwa ni ishara kuwa sera za uchumi za Rais Samia Suluhu Hassan zinaleta mageuzi makubwa nchini.Ongezeko hilo la Pato la Taifa ni kutoka Dola za Marekani Bilioni 69.9 (Shilingi trilioni 163.5) kwa...
16Apr 2023
Vitus Audax
Nipashe Jumapili
Lengo likiwa ni kuwawezesha wanafunzi kubuni na kuanzisha mawazo mbalimbali ya kibiasha yatakayowasaidia kuondoa hali ya utegemezi wa ajili ambazo zimekuwa adimu nchini.Mpango unaojulikana kwa jina...
Afisa Uhusiano wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Adeline Berchimance akikabidhi msaada wa mafuta ya kupikia na vyakula na vinywaji vya Siku Kuu ya Pasaka kwa watoto Kituo cha 'New Life Orphanas Home' kilichopo jijini Dar es Salaam. Anayepokea ni Naibu Mkurugenzi wa Kituo cha 'New Life Orphanas Home', Kondo Kondo.
09Apr 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Vituo vilivyonufaika na msaada huo ni Kituo cha 'New Life Orphanas Home' na Kituo cha 'Daniel Brother Center'maarufu kama Dogodogo Center - Bunju vyote vikiwa jijini Dar es Salaam....
09Apr 2023
Thobias Mwanakatwe
Nipashe Jumapili
Washtakiwa hao ni Othman Khamis, Shaban Mussa, Mussa Swedi, Omary Jumanne, Hamim Yahaya, Salum Ibrahimu na Oscar Issa.Mwendesha Mashtaka, Mkaguzi Msaidizi Ryoba Mkambala, akisoma shtaka hilo mbele ya...
09Apr 2023
Maulid Mmbaga
Nipashe Jumapili
Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa TAMSTOA, Chuki Shabani, alisema hali hiyo pia inasababisha wafanyabiashara wengi hususani wakubwa kuhamisha biashara zao...
09Apr 2023
Elizaberth Zaya
Nipashe Jumapili
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Hamisi Issah, alisema hayo jana kuwa ajali hiyo ilitokea juzi majira ya saa 9:00 usiku katika Kijiji cha Mng’elenge wilayani Wanging’ombe.Alisema watu...
09Apr 2023
Maulid Mmbaga
Nipashe Jumapili
AMF ambayo inajishughulisha na kuwasaidia wenye mahitaji maalumu hasa wanawake, wazee, watoto na walemavu, imekuwa pia ikitoa misaada mbalimbali katika nyumba za ibada, hospitali na jamii kwa ujumla....
09Apr 2023
Jenifer Gilla
Nipashe Jumapili
Nipashe ilitembelea maeneo yalipo makontena yanayotumika kuivisha ndizi hizo ikiwamo Tabata, Msimbazi Center na Gongo la Mboto na kuzungumza na wanaohusika na biashara hiyo.Mmoja wa wafanyabiashara...
09Apr 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Inadaiwa kuwa Jennifer alikuwa na tabia za kutoweka nyumbani kwa zaidi ya mwezi mmoja lakini tangu alivyotoweka Machi 2020, hajarudi hali iliyosababisha wanafamilia kuwa na shaka na mume wake....
09Apr 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Ni rahisi kuelewa kwa nini macho na masikio ya wengi yataelekezwa kwenye taarifa kuhusu kinachoonekana kama matumizi mabaya na upotevu mkubwa wa mali ya umma yaliyomo kwenye ripoti hiyo. Mara nyingi...
09Apr 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii https://a.meridianbet.co.tz/c/4La76DBaada ya Meridianbet kuahidi kutoa...
09Apr 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Akitembelea maeneo ambayo yameanza kupata huduma ya maji kupitia mradi huo, Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA, Kiula Kingu amewahakikishia wananchi wa eneo hilo kuwa msimu huu wa sikukuu...
02Apr 2023
Halfani Chusi
Nipashe Jumapili
Hayo yalisemwa mapema wiki hii na na Mkuu wa Polisi Wilaya ya Manyoni, Ahmed Makele, wakati wa kikao cha viongozi na wananchi wa wilaya ya Manyoni. Kamanda Ahmed alitoa wito kwa serikali ya kijiji na...
02Apr 2023
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Taarifa iliyotolewa na MOI jana ilisema upasuaji huo ulifanywa na madaktari bingwa kutoka MOI kwa kushirikiana na wataalam wa Hospitali ya Rufani ya Nkinga, mkoani Tabora.Daktari Bingwa wa Ubongo,...
