Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii https://a.meridianbet.co.tz/c/4La76D
Baada ya Meridianbet kuahidi kutoa kiasi hicho cha pesa kwa klabu hiyo lengo ni kurudisha kwenye jamii yake kama ilivyo kawaida ya kampuni hiyo.
Kiasi hicho cha pesa watakachopata Klabu KMC watakirudisha kwa jamii katika kusaidia mambo mbalimbali.
Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.
Utaratibu wa Meridianbet umekua ni kuhakikisha unarudisha kwenye jamii yake kwa kile kidogo ambacho wanakua wanakipata moja kwa moja au kwa kupitia washirika wake na kipindi hichi wameamua kuitumia klabu ya KMC kuhakikisha inarudisha kwenye jamii, KMC watajipatia kiasi cha shilingi kwenye kila goli ambalo watafunga kwenye michezo ya ligi kuu ya NBC na kuweza kutumia kiasi hicho kurudisha kwenye jamii yao.
Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.
Aidha Mkuu wa Kitengo cha Masoko kutoka Meridianbet, Matina Nkurlu ameongea na wachezaji wa KMC na kuwapa moyo kuelekea michezo yao inayofata mbeleni, Vilevile akiwataka kupambana kuhakikisha klabu hiyo inabaki kwenye ligi kuu ya NBC msimu unaofuata kwani aliwaeleza wachezaji hao ana imani kubwa wana kila sababu ya kufanya vizuri katika michezo iliyobaki.

NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#










