NIPASHE JUMAPILI
05Mar 2023
Jumbe Ismaily
Nipashe Jumapili
Hakimu Mkazi Robert Oguda, akitoa hukumu hiyo juzi, alisema vitendo vya ubakaji wa watoto chini ya miaka 10 adhabu yake ni kifungo cha maisha na kuanzia miaka 11 adhabu yake ni kifungo cha miaka 30...
05Mar 2023
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Kwa kuzingatia hilo, Zitto amesema hawatoacha kusema wanapoona maslahi ya wananchi yanakanyagwa.Alitoa kauli hiyo jana kwenye mkutano wa chama uliofanyika kisiwani Pemba kwenye Uwanja wa Tibirinzi...
05Mar 2023
Augusta Njoji
Nipashe Jumapili
Pia, ziara hiyo inalenga kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2020-2025.Akiwa katika mkutano wa shina namba 16 kijiji cha Hirbadaw wilayani Hanang, Chongolo amesema CCM...
05Mar 2023
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Wakati wabunge hao wakiibua mashambulizi dhidi yake, Lema jana alizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha na kutoa ufafanuzi juu ya kauli yake hiyo akibainisha kuwa biashara hiyo ni chanzo cha...
05Mar 2023
Elizabeth John
Nipashe Jumapili
Akizungumza wakati wa zoezi la utiaji saini wa mikataba hiyo,Meneja wa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) Mkoa wa Njombe, Mhandisi Sadiki Chaka,amesema miradi hiyo inatarajiwa...
05Mar 2023
Augusta Njoji
Nipashe Jumapili
Akizungumza jana mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo na wananchi wa Singida, Mbunge wa Singida Magharibi, Elibariki Kingu amesema CCM kinathamini mchango wa bodaboda katika...
26Feb 2023
Thobias Mwanakatwe
Nipashe Jumapili
Alitoa maagizo hayo jana wakati wa mkutano wa hadhara uliolenga kusikiliza kero za wananchi wa Wilaya ya Ikungi.Katika mkutano huo, mchungaji wa kanisa hilo, Meshack Luya huku akionyesha jeraha...
26Feb 2023
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Akizungumza na Nipashe jana, Ofisa Uhusiano wa MOI, Patrick Mvungi alibainisha kutokujitokeza kwa ndugu wa mgonjwa huyo ambaye afya yake inaendelea kuimarika."Majeruhi huyu bado yupo ICU na afya...
26Feb 2023
Rahma Suleiman
Nipashe Jumapili
Amesema zama za siasa za uhasama zimepitwa na wakati na sasa wanahitaji kuijenga Zanzibar mpya, moja na yenye mamlaka kamili.Aliyasema hayo jana visiwani Zanzibar wakati wa uzinduzi wa ahadi za chama...
26Feb 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Ulaji, unywaji pombe sehemu ya tatizo, Mikakati imeelekezwa kumwinua mwanamke
Zamani ukikaa katika vilinge mkijadili uanaume, basi unapata picha za uanaume kuwa ni pamoja na urijali, kulea na kuhudumia familia, ukakamavu na nguvu nyingi.Ujasiri na vitu kama hivyo ndivyo...
26Feb 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Tuzo hizo zilitolewa mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam ambapo mgeni rasmi alikuwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiambatana na Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolph Mkenda na...
26Feb 2023
Nebart Msokwa
Nipashe Jumapili
Jijini Mbeya, ambako ni jimboni kwa Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, kulishuhudiwa idadi kubwa ya wanachama na wafuasi wa chama hicho waliofurika kwa lengo la kuwalaki viongozi wa kitaifa...
26Feb 2023
Halfani Chusi
Nipashe Jumapili
Taasisi hizo zimepenyeza shukrani hizo jana Mkoani Dar es Salaam, kwenye sherehe ya maazimisho ya kutimiza miaka 15, tangia kuanzishwa kwa mfuko huo.Mkurugenzi wa Taasisi ya Wanawake Katika Jitihada...
19Feb 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
...maendeleo katika Sekta ya Madini kuwawezesha wachimbaji wa madini wafanye shughuli za uchimbaji madini kwa tija.Dk. Kiruswa amesema hayo, alipotembelea eneo la machimbo ya chumvi la Chakulu...
19Feb 2023
Renatha Msungu
Nipashe Jumapili
Sangu ameyasema hayo jijini hapa wakati akizungumza na Waandishi kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Bodi hiyo huku akisema l;engo la kujengwa kwa mifumo hiyo ni kuwa na utaratibu wa kuwa na maghala ya...
19Feb 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Wametoa mapendekezo hayo katika kesi nyingine ya Ponografia na kushawishi watoto wadogo kushiriki katika shughuli za uhalifu wa Kingono katika Mahakama ya Chicago, wakidai lengo ni kuona mwanamuziki...
19Feb 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Waziri Mkenda amesema hayo wilayani Bagamoyo mkoani Pwani alipotembelea taasisi hiyo kuangalia utekelezaji wa majukumu yake ambapo amesema walimu wana nafasi kubwa katika malezi ya watoto kwa kuwa...
19Feb 2023
Thobias Mwanakatwe
Nipashe Jumapili
Akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa ilani kwa kipindi cha miezi sita leo (Februari 19) kwenye kikao maalum cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida, amesema pia...
19Feb 2023
Adam Fungamwango
Nipashe Jumapili
Azam tayari imecheza mechi mbili za kirafiki kwenye Uwanja wa Azam Complex, dhidi ya KMKM na kushinda bao 1-0, likifungwa na Prince Dube, pia Mlandege Jumatano iliyopita ambapo ilishinda mabao 3-0...
19Feb 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Usiku wa Januari 16, 2023 ilisambaa video ikimuonyesha mchungaji Kimaro akiwaeleza waumini wake kuwa amepewa likizo ya siku 60 baada ya kuitwa katika ofisi ya msaidizi wa askofu na kufanya kikao na...
