Wametoa mapendekezo hayo katika kesi nyingine ya Ponografia na kushawishi watoto wadogo kushiriki katika shughuli za uhalifu wa Kingono katika Mahakama ya Chicago, wakidai lengo ni kuona mwanamuziki huyo amalizie maisha yake yote gerezani.
Wakili wa Kelly (56), Jennifer Bonjean amesema mteja wake anatakiwa kuendelea kupinga vikwazo vyote dhidi yake ili atoke gerezani akiwa hai.









