MSANII wa nyimbo za bongo fleva Salmin Ismail maarufu kama Kusah, akisalimiana na meza kuu kwenye mahafali ya 23 ya shule ya msingi na sekondari Green Acres ya Mbezi Beach Salasala jijini Dar es Salaam.
Kutoka kushoto: Wankyo Marando- Meneja wa chapa - Bia shirikishi (Guinness & Pilsner). Rhona Namanya- Mkuu wa Bia. Anitha Msangi Rwehumbiza- Mkurugenzi wa Masoko na Ubunifu. Rispa Hatibu- Meneja wa Mawasiliano na Uendelevu wa Serengeti Breweries Limited wiki hii katika uzinduzi Oktobafest kwa vyombo vya habari jijini Dar es Salaam.