NIPASHE JUMAPILI

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais  Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene.

07May 2023
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Simbachawene aliyasema hayo juzi Dar es Salaam wakati wa mahafali ya programu za uongozi zinazotolewa na Taasisi ya Uongozi. Alisema  lengo la serikali ni kuwa na viongozi watakaokuwa chachu ya...

Marehemu Nusura Abdallah.

07May 2023
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Baada ya kifo cha binti huyo, kuliibuka mjadala wenye utata huku kikihusishwa na ajali aliyoipata Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Dk. Festo Dugange.Kwa...

Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Singida, Mrakibu Devotha Bigawa.

30Apr 2023
Thobias Mwanakatwe
Nipashe Jumapili
Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Singida, Mrakibu Devotha Bigawa, akizungumza kwenye mkutano wa wadau wa elimu, amesema suala la kukabiliana na majanga ya moto sio la Zimamoto pekee...
30Apr 2023
Marco Maduhu
Nipashe Jumapili
Mafunzo hayo yamefanyika jana Jijini Dodoma. Akizungumza kwenye Mafunzo hayo Mkurugenzi mtendaji wa Timu ya Wanasheria watetezi wa Mazingira kwa vitendo (LEAT) Dk.Rugemeleza Nshala, amesema...

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Prof. Joyce Ndalichako (wa pili kulia) akimkabithi Afisa Mwandamizi wa Afya na Usalama Mahali pa Kazi, Caroline Baraza moja ya tuzo kati ya tatu walizopokea Benki ya NMB.

30Apr 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Yaibuka benki kinara yenye sera bora ya usalama, afya mahali pa kazi...
Katika maadhimisho ya siku ya afya na usalama mahali pa kazi duniani yanayoratibiwa kitaifa na Wakala wa Afya na Usalama Mahali pa kazi (OSHA), Benki ya NMB imetangazwa kuwa benki yenye sera bora ya...

Waziri mkuu Kassim Majaliwa (kulia) akimsikiliza Mkuu wa Idara ya Biashara za Serikali wa Benki ya NMB, Vicky Bishubo (kushoto) alipotembelea banda la benki hiyo wakati wa hafla ya uzinduzi wa Kampeni ya “Mama Samia legal Aid” yenye lengo la kutoa msaada wa kisheria kwa wananchi hususani walio maeneo ya pembezoni. Wapili kulia ni Waziri wa Katiba na sheria, Dk. Damas Ndumbaro na wengine ni watumishi wa Benki ya NMB.

30Apr 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Majaliwa alitoa wito huo Alhamisi Aprili 27,2023 alipozindua kampeni hiyo ambayo itatekelezwa kwa miaka mitatu kuanzia Machi, 2023 hadi Desemba 2025. Katika uzinduzi huo, Majaliwa alitembelea...

Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Mwigulu Nchemba (wa pili kulia) akikata utepe kuashiria Ufunguzi wa tawi jipya na la kisasa jijini Arusha,Wanaoshuhudia pembeni ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Mwanga Hakika Bank Eng. Ridhiwan Mringo, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya MHB, Jagjit Singh ,Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Felician Mtehengerwa na Mstahiki meya Arusha Maximilian Iranghe.

30Apr 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Tawi hilo jipya lililopo katika jengo la Central Plaza, barabara ya Sokoine jirani na Clock tower jijini Arusha, linafanya idadi ya matawi ya benki hiyo kufikia saba. Ambapo matawi mengine yapo Dar...

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa.

30Apr 2023
Mary Mosha
Nipashe Jumapili
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa, alisema watu hao walikamatwa Aprili 25, mwaka huu, majira ya 5:00 usiku katika kata ya Rau, Manispaa ya Moshi. Alisema askari wakiwa kwenye msako...
30Apr 2023
Marco Maduhu
Nipashe Jumapili
Malalamiko hayo yalitolewa juzi kwenye kikao cha Baraza la Madiwani cha Robo Tatu ya Mwaka na kutaka majibu kutoka Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo, kuhusu sababu za kufungwa na...

WAZIRI Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda.

30Apr 2023
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Pia amesema wakati wazazi wakijiuliza nafasi zao za malezi kwa kundi hilo, ndipo waigeukie serikali na kuiuliza nafasi yake katika kuwasaidia vijana.Pinda ambaye ni Mlezi wa Jumuiya ya Maridhiano na...

MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere.

30Apr 2023
Godfrey Mushi
Nipashe Jumapili
Katika ripoti yake ya 2021/22 iliyowasilishwa Bungeni hivi karibuni, CAG Charles Kichere, amebaini tofauti kati ya viwango vya malipo vilivyopo kwenye kanuni na viwango vilivyotozwa kutokana na mfumo...
23Apr 2023
Jenifer Gilla
Nipashe Jumapili
Meneja wa mradi huo unaotekelezwa na kampuni ya utalii ya Chem Chem, Nganashe Lukumay, alisema mpaka sasa wameshatoa fedha kwa  vikundi 55 vya vikoba, Sh. milioni moja hadi milioni mbili...
23Apr 2023
Jenifer Gilla
Nipashe Jumapili
-katika barabara kuu iliyopo eneo hilo.Akitoa taarifa kwa Waandishi wa Habari Wanachama wa Chama cha Mazingira Tanzania (JET) waliotembelea shoroba ya kwakuchinja, Katibu wa Hifadhi ya Jamii ya...

RAIS Wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi.

23Apr 2023
Rahma Suleiman
Nipashe Jumapili
Dk. Mwinyi aliyasema hayo jana katika Baraza la Eid el Fitr alipowahutubia wananchi  kwenye ukumbi wa Shekhe Idris Abdul Wakil, Kikwajuni, Mjini Magharibi, Unguja.Pia aliwataka wananchi...
23Apr 2023
Gideon Mwakanosya
Nipashe Jumapili
Kaimu alisema ameridhia kufungua jengo la kutolea Huduma za Dharura (EMD) hospitalini hapo ambalo limekamilika kwa asilimia 100.Aliwataka madaktali, wauguzi pamoja na watumishi wengine kuyatunza...

WAZIRI wa Kilimo, Hussein Bashe.

23Apr 2023
Thobias Mwanakatwe
Nipashe Jumapili
Uamuzi huo aliutangaza wiki hii wakati akizungumza na wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA), katika kikao kilichofanyika jijini hapa.Bashe alisema...

Kamishna Msaidizi Mwandamizi (SACP) David Misime.

23Apr 2023
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Nipashe ilipomtafuta juzi Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, Kamishna Msaidizi Mwandamizi (SACP) David Misime, ili kuzungumzia suala hilo, alikiri kuwapo kwa tatizo hilo ambalo alisema linaendelea...

Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Dk. Abubakar Zubeir (wa tatu kulia), Kaimu Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Walid Omar, na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake wa Kiislamu Tanzania, Shamim Khan, baada ya kuwasili katika Baraza la Eid El-Fitr, Dar es Salaam jana. PICHA: IKULU

23Apr 2023
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Waliyasema hayo katika ibada na mabaraza ya Sikukuu ya Eid el Fitr jana katika maeneo mbalimbali. Sherehe za Eid el Fitr kitaifa zilifanyika jijini Dar Es Salaam na mgeni rasmi alikuwa Rais Samia...
16Apr 2023
Neema Hussein
Nipashe Jumapili
Tukio hilo limetokea baada ya wizi, uporaji wa simu, fedha, ubakaji na watu kujeruhiwa kukithiri katika Kata ya Shanwe, Mtaa wa Kivukoni mjini hapa. Mtoto huyo ameuawa zikiwa ni siku chache baada ya...
16Apr 2023
Daniel Limbe
Nipashe Jumapili
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Geita, Kamishna Msaidizi (ACP) Safia Jongo, alisema tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia jana.Alisema mtuhumiwa baada ya kutekeleza mauaji hayo, alitoroka na jitihada za...

Pages