NIPASHE JUMAPILI

18Jun 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Waziri Mkenda ametoa rai hiyo jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya utoaji Tuzo za Stadi za Ufundishaji kwa Walimu wa Elimu ya Awali na Msingi ambapo amesema Walimu wanahitaji motisha mbalimbali...
18Jun 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Yamkabidhi Rais Samia gawio la Sh.bilioni 45.5
Gawio hilo kwa serikali ni kiashiria tosha cha Azma ya benki hiyo ya kuhakikisha inaleta tija na faida kubwa kwa wawekezaji wote wa benki hiyo, ikiwemo Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania....

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo.

18Jun 2023
Ibrahim Joseph
Nipashe Jumapili
Chongolo, alisema hayo jana wakati alipotembelea na kukagua mradi wa ujenzi wa Bwawa la Umwagiliaji la Msagali lililopo Wilaya Mpwapwa mkoani Dodoma kwenye mwendelezo wa ziara yake mkoani humo.Katibu...
11Jun 2023
Maulid Mmbaga
Nipashe Jumapili
Kampuni ya Ikuo yenye makao yake makuu mkoani Rukwa, inajihusisha na biashara ya pembejeo za kilimo na mnunuzi wa mazao ya nafaka kama maharage, pia ni mtekelezaji wa mradi wa kilimo himilivu cha...
11Jun 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Bangi hizo zimeteketezwa zikiwa bado mbichi shambani ambapo kulingana na makadirio yaliyofanywa na Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na dawa za kulevya (DCEA) ni sawa na gunia 4,765.Mbali na bangi...

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camilius Wambura.

11Jun 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Uzinduzi huo umefanyika leo 9 Juni 2023 katika Chuo Cha Polisi Moshi. Akizindua rasmi ushirikiano huo Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camilius Wambura, ametoa pongezi kwa taasisi hizi mbili...

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.

11Jun 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Frank anachukua nafasi ya Angela Anatory ambaye uteuzi wake umetenguliwa.Pia amemteua Irene Lesulie kuwa Naibu Kabidhi Wasii Mkuu, ambaye kabla alikuwa Mkurugenzi Msaidizi Sehemu ya Mashauri ya...

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Amos Makalla.

11Jun 2023
Vitus Audax
Nipashe Jumapili
Taarifa ya ziara hiyo imetolewa leo na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Amos Makalla na kusema kuwa Rais Samia atawasili mkoani humo majira ya saa 12 jioni na ziara rasmi kuanza mapema siku ya Jumanne katika...

Walter Chilambo.

11Jun 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Walter ambaye ni mshindi wa Bongo Star Search mwaka 2012, amesema kwa muda mrefu sasa hajaonana na Nay wa Mitego kutokana na kwamba harakati zao zipo tofauti kwani yeye sasa anaimba injili, lakini...

Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Bulyanhulu halmashauri ya Msalala James Mukasa akionyesha Viti na Meza 320 ambavyo vitatumiwa na wanafunzi watakaoanza kusoma kidato cha kwanza katika shule mpya ya Sekondari ya Wasichana iliyojengwa na Kampuni ya Uchimbaji Madini ya Dhahabu (BARRICK) kupitia Mgodi wake wa Bulyanhulu.

11Jun 2023
Marco Maduhu
Nipashe Jumapili
Kaimu Meneja Mahusiano kwa Jamii Mgodi wa Bulyanhulu Zuwena Senkondo, amebainisha hayo jana wakati Waandishi wa Habari kutoka mkoani Shinyanga ilipokuwa ikifanya ziara ya kuangalia miradi mbalimbali...
11Jun 2023
Zuwena Shame
Nipashe Jumapili
Mradi huo umetekelezwa kwa miaka 10 kwa ushirikiano wa Shirika la Plan International Tanzania, KIVULINI na Mpango wa Maendeleo ya Kijamii na Kiuchumi Tanzania (SEDIT) kwa ufadhili wa Ufaransa kupitia...

Msururu wa malori yaliyobeba shehena ya mahindi yakiwa yamekwama kwenye kituo cha forodha cha Namanga, wilayani Longido mkoani Arusha, kwa madai ya kukiuka baadhi ya taratibu zinazotakiwa wakati wa kuvuka mpaka wa Tanzania na Kenya. PICHA: ASRAJI MVUNGI

11Jun 2023
Asraji Mvungi
Nipashe Jumapili
Akiwa katika Kituo cha Forodha Namanga, Bashe, alisema malalamiko yanayotolewa na madereva wa malori hayo hayana tija, zaidi ya kusababisha taharuki.“Tumebaini kuwa madereva wa malori hayo...
11Jun 2023
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Nchi zingine ni Canada na Afrika Kusini na mwishoni mwa mwezi huu, serikali inatarajia kukutana na wadau hao kwa ajili ya kujadili uwekezaji huo.Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Atupele Mwakibete...

Zitto Kabwe.

11Jun 2023
Julieth Mkireri
Nipashe Jumapili
Kimewataka wananchi kufahamu sehemu ilikohamishiwa na endapo ikibainika aliyelipwa fidia ni kiongozi wa umma, afikishwe mahakamani kwa matumizi mabaya ya ofisi.Akizungumza katika mkutano uliofanyika...
11Jun 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Katika makubaliano hayo, NBC itaanza kutoa udhamini wa masomo mwaka huu 2023 na imetenga jumla ya Sh.milioni 100.Wanufaika wa programu hiyo watakuwa ni vijana wa kitanzania wenye umri kuanzia miaka...

Rais Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC), akizungumza na viongozi mbalimbali pamoja na wafanyabiashara wakati akifungua mkutano wa 14 wa baraza hilo, Ikulu jijini Dar es Salaam jana. PICHA: IKULU

11Jun 2023
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Miongoni mwa hatua hizo ni kuhakikisha mazao yanayozalishwa nchini na watalii wanaoendelea kumiminika, wanaliingizia taifa fedha za kigeni ambazo kwa sasa uingiaji wake serikalini si wa kuridhisha....
04Jun 2023
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na mfululizo wa matukio ya watu kujiua nchini, wanaume wakiwa wengi zaidi, hali iliyozua gumzo miongoni mwa wananchi.Wakati matukio hayo yakiendelea kutokea,...

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba.

04Jun 2023
Thobias Mwanakatwe
Nipashe Jumapili
Akizungumza leo (Juni 4,2023) katika harambe ya kuchangia ujenzi wa shule mbili za Sekondari za Kiomboi na Kititimo iliyoandaliwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kati-...
04Jun 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
-hivi karibuni na kuanza shughuli zake baada ya kukamilika kwa asilimia 100.Hatua hiyo imekuja kufuatia wiki ya mazingira sambamba na kituo hicho kuwa mbioni kuzinduliwa lengo likiwa ni kuhimiza...
04Jun 2023
Dotto Lameck
Nipashe Jumapili
 Taarifa hiyo ya mwaliko imetolewa leo (Juni 4,2023) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, ambaye amesema Rais Samia amewapongeza Yanga kwa kucheza vizuri katika mchezo wa pili wa fainali...

Pages