NIPASHE JUMAPILI

23Jul 2023
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Kinana ameyasema hayo leo Julai 23, 2023 wakati akizungumza na viongozi wa CCM katika kikao cha ndani cha Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Kondoa mkoabi Dodoma. "Napongeza kazi kubwa...

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahman Kinana.

23Jul 2023
Maulid Mmbaga
Nipashe Jumapili
Kinana ameyasema hayo leo wakati akizungumza na viongozi wa CCM katika kikao cha ndani cha halmashauri kuu Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma."Napongeza kazi kubwa inayofanywa na viongozi wa CCM...

Modesta Masai mkazi wa kijiji cha Mwaningi Halmashauri ya Msalala wilayani Kahama akitoka kichota maji katika bwawa maji ambayo siyo salama kwa matumizi ya binadamu.

23Jul 2023
Marco Maduhu
Nipashe Jumapili
Wamebainisha hayo kwenye ziara ya Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Cyprian Luhemeja, alipofanya ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maji kwa wananchi.Mmoja wa wananchi hao Martha...
23Jul 2023
Thobias Mwanakatwe
Nipashe Jumapili
Ametoa agizo hilo alipotembelea banda la elimu ya sheria kwa umma la LRCT wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Mama Samia ya Msaada wa Kisheria (Mama Samia Legal Aid) iliyozinduliwa Katika uwanja wa...

MAKAMU wa Rais, Dk. Philip Mpango.

23Jul 2023
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Amesema baadhi ya viongozi wametengeneza mbinu za kujipatia hadi Sh. Milioni tano ili kupitisha malori yanayobeba mifugo. Kutokana na kuwepo kwa mbinu hizo, ameagiza vyombo vya ulinzi na usalama...
23Jul 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Mratibu wa Kifua Kikuu na Ukoma wilayani Tunduru mkoani Ruvuma, Dk. Mkasange Kihongole, alibainisha hayo juzi  wakati akizungumza na wafugaji wa jamii ya Wasukuma na Wamang’ati wanaoishi...
23Jul 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, Kamishna Msaidizi (ACP) Rashid Ngonyani, alithibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba mtumishi huyo alikamatwa Julai 19, mwaka huu, kwa ushirikiano kati ya...

Askofu Mkuu wa Kanisa la Elim Pentekoste Tanzania (KEPT), Peter Konki.

23Jul 2023
Jaliwason Jasson
Nipashe Jumapili
Badala yake ameishauri serikali iwakutanishe wadau mbalimbali ili kutafuta mwafaka wa jambo hilo kwa maslahi ya taifa kuliko kuendeleza ubabe wa maneno ambao unamuumiza Rais Dk. Samia Suluhu Hassan....

Katibu Tawala wa halmashauri ya Mufindi Frank Sechalwe akifungua mkutano wa wadau kujadili rasimu ya mpango wa matumizi ya ardhi.

23Jul 2023
Paul Mabeja
Nipashe Jumapili
Katibu Tawala wa halmashauri ya Mufindi Frank Sichalwe, alibainisha hayo jana wilayani hapa, wakati akifungua kikao cha wadau kujadili rasimu ya Mpango wa matumizi bora ya ardhi kilichoandaliwa na...

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi akitoa hotuba yake wakati wa kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Msaada wa Kisheria Zanzibar 2023.

23Jul 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Rais Mwinyi ametoa kauli hiyo jana wakati wa kilele cha maadhimisho ya nne ya wiki ya msaada wa kisheria yaliyofanyika katika ukumbi wa Idrissa Abdul Wakili, Kikwajuni, Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini...

Mkurugenzi wa TARSI, Maliki balongo akitoa maelezo kwa madereva (hawapo pichani) waliohudhuria kwenye semina ya kuwajengea uwezo wa kujiepusha na ajali za barbarani pamoja na ukatili wa kijinsia kwa wanafunzi. PICHA: HALFANI CHUSI

16Jul 2023
Halfani Chusi
Nipashe Jumapili
Akizungumza wakati wa kuzindua mafunzo hayo, katika hafla iliyofanyika jana Mkoani Dar es Salaam, Wilayani Kinondoni Mkuu wa Wilaya hiyo, Saad Mtambule, amesema mafunzo hayo yataleta tija kwa kuwa...
16Jul 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Akizungumza na chombo kimoja cha Habari, Mkuu wa Wilaya ya Mbarali, Kanali Mstaafu Denis Mwila amesema ajali hiyo imetokea saa 12.30 alfajiri katika kona iliyopo Kata ya Igurusi, Tarafa ya Ilongo....

Elikana Manyilizu ambaye ni Mdhibiti Ubora wa Shule wa Manispaa ya Ubungo, jijini Dar es Salaam, akizungumza na wanafunzi wa darasa la saba wa shule ya St Anne Marie Academy ya Mbezi Kimara kwa Msuguri jijini Dar es Salaam kwenye mahafali yao yaliyofanyika shuleni hapo siku ya Jumamosi

16Jul 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Asema hajawahi kuona maktaba yenye viyoyozi zaidi ya St Anne Marie...
Pongezi hizo zilitolewa mwishoni mwa wiki na Elikana Manyilizu ambaye ni Mdhibiti Ubora wa Shule wa Manispaa ya Ubungo, wakati wa mahafali ya 20 ya shule ya msingi yaliyofanyika shuleni hapo.Pia...

WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu.

16Jul 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
“Mafanikio haya yamechangiwa na utashi wa kisiasa ambapo Rais wetu Dk. Samia Suluhu amekuwa mstari wa mbele kuongoza na kuwezesha upatikanaji wa rasilimali katika mapambano dhidi ya UKIMWI...

KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo.

16Jul 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
-uboreshaji wa bandari.Chongolo amesema hayo wakati akihutibia Wananchi wa Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini katika mkutano wa hadhara uliofanyika Uwanja wa Ruanda Nzovwe, Jijini Mbeya ambapo amesema...
16Jul 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kitendawili cha mtu anayehusika na mambo yote bado hakijateguliwa, lakini kwa sasa ni habari ya mjini ni Hamisa, kuposti video fupi akionekana akiwa ndani ya ndege binafsi na kisha kwenda kuliona...

Waziri wa Maji, Jumaa Aweso.

16Jul 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
- amekula pesa za miradi hiyo ajiandae kuzitapika.Aweso amesema hayo wakati akiwa kwenye ziara ya kukagua miradi mbalimbali ya maji ya muda mfupi Mkoani Kigoma ikiwa ni sehemu pia ya utekelezaji wa...
16Jul 2023
Jenifer Gilla
Nipashe Jumapili
Hoja nyingine ilikuwa serikali imeiuza bandari zote kwa kuwa utekelezaji huo umefanyika kwa kutumia sheria ya nchi nyingine katika makubaliano hayo.Katika kujibu hayo, Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi,...
16Jul 2023
Neema Hussein
Nipashe Jumapili
Kukamilika kwa nyumba hizo kutasaidia kutatua changamoto ya walimu wanaoishi nyumba za kupanga zilizombali na eneo la shule wanazofundisha.Pinda, ameyasema hayo mara baada ya kutembelea na kukagua...
16Jul 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Ukaribu wa Nguvu ni mwamvuli unaojumuisha akaunti tatu za NMB Simba Account, NMB Simba Queens Account (Malkia - kwa wanawake) na NMB Simba Mtoto Account (kwa watoto), ambapo mashabiki na Wanachama wa...

Pages