Kitendawili cha mtu anayehusika na mambo yote bado hakijateguliwa, lakini kwa sasa ni habari ya mjini ni Hamisa, kuposti video fupi akionekana akiwa ndani ya ndege binafsi na kisha kwenda kuliona gari hilo la kibabe.
Katika miandao ya kijamii, baadhi ya watu wamezidi kutoa maoni yao na wengine kuhisi msanii huyo wa Bongo Fleva amepata mwanaume mwenye fedha zake ambaye anagharamia mambo yote kwa sasa.









