Amesema, kuwa na mtoto ni jambo lingine, kama huna upendo na mapenzi huwezi kuwa na malezi bora na yanayofuata maadili.
“Watoto wangu nawapenda sana, ratiba zangu wamezibadilisha. Tangu 2019 nilianza kubadilika wakati nilihitaji kuwa mama, nilivyopata watoto nimebadilika sana,” amesema.









