NIPASHE JUMAPILI
26Nov 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
ambapo Shirika hilo linadai jumla ya Shilingi Bilioni 224 kutoka Taasisi mbalimbali za Serikali, Binafsi na waliohama na madeni kutoka mita za zamani za umeme kwenda za kisasa hali inayopelekea...
26Nov 2023
Elizaberth Zaya
Nipashe Jumapili
Wakizungumza katika uzinduzi wa siku 16 za uanaharakati dhidi ya vitendo vya ukatili wa kijinsia wadau hao walisema kutungwa kwa sheria hiyo kutasaidia kupumguza vitendo hivyo.Mwenyekiti wa Shirika...
26Nov 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Awataka kuchukia rushwa na kulinda Maliasili kwa Wivu Mkubwa
ambapo amewaasa kuwa chochote watakachofanya kuchukia rushwa, kutojitajirisha katikati ya hali ngumu za wananchi na walinde maliasili za nchi kwa wivu mkubwa na kuwa walinzi wa wenzao.Amesema hayo...
26Nov 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Huu ni mwaka wa pili mfululizo kwa Benki ya NMB kupata tuzo hizo.na mara hii ni kwenye siku ya Mlipa Kodi 2023. Jumla ya Tuzo ilizopata Benki ya NMB ni: - Mshindi wa Jumla Kitaifa: Taasisi...
19Nov 2023
Marco Maduhu
Nipashe Jumapili
Ziara hiyo imefanyika jana na kuongozwa na Mwenyekiti wa Senet, Said Sultani ambayo iliendana sambasamba na kuhamasisha kuongeza idadi ya wanachama wapya, ili kuendelea kukiimarisha Chama cha...
19Nov 2023
Godfrey Mushi
Nipashe Jumapili
Kati ya Januari hadi Novemba mwaka huu, watoto njiti 461 wamezaliwa KCMC huku idadi ya waliopokewa kutoka maeneo mbalimbali ni watoto 1,356.Mkurugenzi wa Hospitali ya Rufani ya Kanda ya KCMC, Prof....
19Nov 2023
Thobias Mwanakatwe
Nipashe Jumapili
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Peter Majira, akizungumza na waandishi wa habari jana, alisema tukio hilo limetokea Novemba 13, mwaka huu nyumbani kwa mchungaji huyo, John Mafwimbo, katika...
19Nov 2023
Halfani Chusi
Nipashe Jumapili
Ombi hilo, lilitolewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni kwa niaba ya Rais Samia Suluhu Hassani, katika hafla ya kusherehekea siku ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammadi iliyo...
19Nov 2023
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Jokate aliyasema hayo alipowatembelea wanafunzi wawili waliopata ujauzito na kuendelea na masomo yao ambao wote wamefanya mtihani wa kumaliza kidato cha nne mwaka huu.Akizungumza mara baada ya...
19Nov 2023
Paul Mabeja
Nipashe Jumapili
Viongozi wa dini wametaja sababu zinazochangia hali hiyo. Miongoni mwa sababu hizo ni utandawazi, wanawake kukosa utii kwa waume zao na wanaume kupenda unafuu wa maisha kwa kukubali kulelewa.Askofu...
19Nov 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Akiongea katika mnada wa Longido, Kamanda wa Polisi Kikosi cha Kuzuia Wizi wa Mifugo Nchini, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Simon Pasua leo Novemba 19, 2023 amebainisha kuwa mifugo hiyo pamoja na...
19Nov 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Hayo yalisema mwishoni mwa wiki na Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Profesa Godius Kahyarara, wakati wa hafla ya uzinduzi wa meli kubwa ya New MV Umoja Kazi Iendelee na utuaji saini mikataba ya...
19Nov 2023
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Kwa Tanzania, wataalamu hao wamebainisha kuwa katika kila wagonjwa 100 wa kisukari, kuna uwezekano wagonjwa watano hadi 10 kupoteza miguu kwa mwaka.Hayo yalibainishwa na wataalamu wa afya katika...
19Nov 2023
Allan Isack
Nipashe Jumapili
Mei 6, 2022, Mahakama Kuu Masjala ya Arusha chini ya Jaji Sedekia Kisanya, ilimwachia huru Ole Sabaya na wenzake baada ya kubaini dosari katika hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha...
12Nov 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo,Ado Shaibu kwenye Mkutano Mkuu wa Jimbo la Ilala uliofanyika leo Novemba 12, 2023 katika Ukumbi wa Simple Motel, Ilala, Dar es salaam."Ni...
12Nov 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Hayo yalisemwa na Mhandisi Said Juma wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania wakati wa uwasilishaji wa ripoti ya tathimini ya maendeleo ya utekelezaji wa mradi huo kwa menejimenti ya chuo hicho mwishoni mwa...
12Nov 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
*Ushirikiano kujikita katika Sera, Sheria, Utafiti na Utaalam*
...ikiwemo uandaaji wa sera na sheria, utafiti kuhusu uendelezaji wa sekta ya nishati, kubadilishana takwimu, uzoefu, pamoja na utaalam katika maeneo yanayohusu Sekta.Hati hiyo ya Makubaliano imetiwa...
12Nov 2023
Francis Godwin
Nipashe Jumapili
Katika rufani hiyo, mawakili 10, akiwamo wakili mwanamke Jane Massey ni mmoja wa watakaomtetea ngoda. Pia atakuwamo Wakili Mchungaji Joshua Chusi.Mwenyekiti wa TLS Mkoa wa Iringa, Wakili Moses...
12Nov 2023
Grace Gurisha
Nipashe Jumapili
Washitakiwa katika kesi hiyo namba 103 ya mwaka 2018 ni mke wa Bilionea Msuya, Miriam Mrita na mfanyabiashara Revocatus Muyela, wote wakazi wa Arusha.Katika kesi hiyo, upande wa mashitaka...
12Nov 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Wavuvi hao waliosalimisha zana hizo haramu pia wamekabidhiwa zana halili kwaajili ya kuendeleza shughuli zao za uvuvi.Uteketezaji wa nyavu hizo pamoja na utolewaji wa nyavu halili umeongozwa na Mkuu...
