NIPASHE JUMAPILI

Kibu Deni.

14Jan 2024
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Taarifa zilizopatikana jijini Dar es Salaam zinasema Mamelodi Sundowns imewasilisha rasmi ofa kwa Simba ya kuhitaji huduma ya mshambuliaji huyo ambaye kwa sasa yuko katika kikosi cha Timu ya Taifa...
14Jan 2024
Vitus Audax
Nipashe Jumapili
Mayege anadaiwa kufanya kitendo hicho kwa kile kinachodaiwa ni kutokana na mtoto huyo kulia wakati wa usiku.Baba huyo, anadaiwa kumpiga sehemu mbalimbali za mwili mtoto huyo kwa kutumia mkanda wa...
07Jan 2024
Julieth Mkireri
Nipashe Jumapili
Dk. Jafo amesema tayari kibali kimetolewa kwa ajili ya ujenzi wa Barabara kutoka Sungwi hadi Boga na sasa taratibu nyingine za kitaalamu zitafuata.Ameyasema hayo alipokuwa na anazungumza na wananchi...

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa.

07Jan 2024
Ashton Balaigwa
Nipashe Jumapili
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa amesema ofisi yake tayari imepata kibali kutoka Utumishi cha kuajiri watumishi 23,000 kwa kada hizo....

Aziz Ki

07Jan 2024
Adam Fungamwango
Nipashe Jumapili
Kwa mujibu wa takwimu zetu za zile zilizotolewa na Bodi ya Ligi Kuu Nchini (TPLB), Aziz Ki amefunga mabao matatu kwa mipira ya faulo hadi kufikia raundi ya 14 ya ligi hiyo, huku kukiwa hakuna...
07Jan 2024
Halfani Chusi
Nipashe Jumapili
Msemaji Mkuu wa Serikali na Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo), Mobhare Matinyi, alisema hayo jijini Dar es Salaam alipokuwa akizungumzia masuala mbalimbali.Alisema serikali inajenga josho na...
07Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Hukumu ya kesi hiyo ya uhujumu uchumi namba 5/2022,  ilitolewa juzi na Hakimu Mkazi Mwandamizi Tumsifu Barnabas, huku kila kosa likiwa na kifungo cha miaka 20 kwa makosa yote 20.Akisoma hukumu...
07Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
...katika maeneo mbalimbali ya nchi na kuzungumza na wananchi kuhusu kazi kubwa za maendeleo zinazofanywa chini ya Mwenyekiti wa CCM ambaye ni Rais wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan.  Dk...
07Jan 2024
Shaban Njia
Nipashe Jumapili
Wakati hali ikiwa hivyo, wakazi 452 wa eneo hilo wamewekwa chini ya uangalizi wa kitabibu (karantini) katika vituo vya afya maalum vilivyoandaliwa kwa ajili ya kushughulikia wagonjwa hao vya...
07Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Akifunga  kikao kazi cha Makatibu Tawala Wasaidizi Elimu na Maafisa Elimu wa Halmashauri kilichofanyika Jana Manispaa ya Morogoro, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za...

Misso Missondo.

31Dec 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Huyo ndiye Misso Missondo kijana wa miaka 28 kutoka Masasi mkoani Mtwara, ambaye kwa sasa amekuwa habari ya mjini kwa uburudishaji kuanzia vituo vya redio hadi katika mitandao ya kijamii.Pengine...

Kocha Mkuu wa Simba Queens, Juma Mgunda.

31Dec 2023
Saada Akida
Nipashe Jumapili
Simba juzi iliibuka na ushindi mnono wa mabao 5-2 dhidi ya Baobab Queens ikiwa ni mchezo wa raundi ya pili ya 2 ya Wanawake Tanzania uliochezwa kwenye uwanja wa Azam Complex, jijini Dar es Salaam....

ANDRE Onana.

31Dec 2023
Nipashe Jumapili
Kipa huyo wa Manchester United ameitwa katika kikosi cha Cameroon kuelekea michuano hiyo itakayoanza Januari 13, mwakani nchini Ivory Coast.Onana, aliyesajiliwa kwa pauni milioni 43 majira ya joto...
31Dec 2023
Rahma Suleiman
Nipashe Jumapili
Akizungumza na Nipashe ofisini kwake Mnazi Mmoja, Waziri wa Afya Nassor Ahmed Mazrui, alisema kasi ya ugonjwa huo inatokana na mwingiliano wa safari kati ya Zanzibar na Tanzania Bara pamoja na...
31Dec 2023
Halfani Chusi
Nipashe Jumapili
Rais Samia alielekeza Agosti 8, mwaka huu, akiwa mkoani Mbeya kwamba wananchi hao walipwe fidia na kupisha uhifadhi, akiahidi serikali kutoa Sh. bilioni 26 kwa ajili ya fidia hiyo.Ni maelekezo...
31Dec 2023
Kulwa Mzee
Nipashe Jumapili
Mohamed, Maryam (50) na Abbas (37), walipanda kizimbani jana na kusomewa mashtaka mawili yanayowakabili mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi, Aaron Lyamuya.Akisoma mashtaka hayo Wakili wa Serikali Hemed...
24Dec 2023
Maulid Mmbaga
Nipashe Jumapili
Kinana ameyasema hayo leo, Desemba 24, 2023, jijini Arusha, alipokuwa mgeni rasmi katika Mkutano Mkuu wa 10 wa Jukwa la Vijana wa Kiislamu Mkoa wa Arusha (JUVIKIBA).Kinana amesema kuwa, endapo...
24Dec 2023
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Makonda ametoa wito huo leo alipomtembelea Askofu wa Kanisa la Anglikana, Dayosisi ya Dar es Salaam,  Askofu Jackson Sosthenes, ikiwa ni mwendelezo wa ziara zake za kuwatembelea viongozi na watu...
24Dec 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
-ajili hiyo kimetajwa kuwa ni uzembe wa dereva wa dereva wa gari ndogo Pamoja na mwendokasi.Akizungumza leo Desemba 24, 2023 na waandishi wa habari kuhusiana na ajali hiyo, Mkuu wa Mkoa wa Kigoma,...

Kaster Ngonyani.

24Dec 2023
Neema Hussein
Nipashe Jumapili
Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani humo, Kaster Ngonyani amesema mwanamke huyo anakadiliwa kuwa na umri kati ya miaka 20 hadi 30 na kwamba mwanamke huyo alikua...

Pages