NIPASHE JUMAPILI

11Feb 2024
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Hayo yalisemwa jana mkoani Ruvuma na Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Paul Makonda, wakati akizungumza na wananchi wa mkoa huo ikiwa ni mwendelezo wa ziara ya mikoa 20.“Niungane na...
11Feb 2024
Beatrice Moses
Nipashe Jumapili
Katika taarifa yake aliyoitoa Jana kwenye vyombo vya habari, Rais Mwinyi  ameeleza kuwa Edward Ngoyai Lowassa amelitumikia taifa la Tanzania katika nyadhifa mbalimbali wakati wa uhai wake,...
11Feb 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Uamuzi wa Madiwani hao umefikiwa leo baada ya Baraza lao kujigeuza kuwa kamati kumjadili Mkurugenzi huyo.Hata hivyo, Mkurugenzi huyo ambaye hakuwepo kikaoni alipotafutwa amejibu kuwa atakaporejea...
04Feb 2024
Maulid Mmbaga
Nipashe Jumapili
Akizungumza leo katika mkutano maalumu wa chama hicho iliofanyika Mkoani Dar es Salaam, Kinana amesema fedha hizo ni zile ambazo walizikataa awali kwa kugomea matokeo, lakini kwa uungwana wa Rais...

Msemaji wa Nyumbu FC Mariam Songoro.

04Feb 2024
Julieth Mkireri
Nipashe Jumapili
Hayo yamesemwa  na Kaimu Mkuu wa kikosi cha Jeshi la Wananchi Kambi ya Nyumbu Kanal Charles Kalambo wakati akizungumza na wachezaji wa timu hiyo waliotambulishwa kwa wadau katika hafla ya siku...

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Pwani Pius Lutumo .

04Feb 2024
Julieth Mkireri
Nipashe Jumapili
Lutumo alisema hayo katika sherehe za siku ya familia ya polisi zilizofanyika Mjini Kibaha na kushirikisha michezo mbalimbali sambamba na kutoa zawadi na vyeti kwa askari Polisi waliofanya vizuri...

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mohamed Mchengerwa.

04Feb 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Akifungua Jana Februari 3, 2024 kikao hicho jijini Dodoma, Waziri Mchengerwa alisema katika kuhakikisha kuwa malalamiko ya Walimu yanashughulikiwa, Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa kushirikiana na Ofisi ya...
04Feb 2024
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Makonda ameyasema hayo jana majira ya saa mbili usiku wakati akizungumza na wafanyabiashara wa soko hilo na kuagiza viongozi kuhakikisha taa zinawaka ili wafanye shughuli zao katika mazingira salama...
28Jan 2024
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Msipi alitangaza uamuzi huo leo wakati wa mkutano wa hadhara wa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Paul Makonda, wakati akisikiza kero za wananchi mkoani Shinyanga.Akizungumza baada ya...
28Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kupitia makubaliano haya, miongoni mwa mambo ambayo NMB watashirikiana na Wizara ni pamoja na:➡️ Uundwaji wa “Jamii Namba” – Hii ni namba maalum kwa Mtanzania itakayojumuisha huduma...

Mkurugenzi wa Bandari ya Dar es Salaam, Mrisho Mrisho.

28Jan 2024
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Mrisho aliyasema hayo leo wakati akizungumza na waandishi wa habari akitoa ufafanuzi kuhusu madai ya uwepo wa msongamano bandarini kutokana na kutofanya kazi kwa baadhi ya gati. "Gati zote...

Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda.

28Jan 2024
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Makonda amezindua maadhimisho hayo leo akizungumza na wananchi wa Shinyanga Mjini katika mwendelezo wa ziara yake ya mikoa 20 kwa ajili kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi na kutatua kero za...
28Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Gungu alitoa kauli hiyo wakati akikabidhi msaada wake wa pikipiki mbili kwa askari wa Wanyamapori katika Pori la Akiba Maswa kwenye Jimbo la Kisesa ili kusaidia kuongeza nguvu ya kuwadhibiti Wanyama...
28Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
-msaada huo katika ziara ya Mwenezi huyo katika Kata ya Lamadi wakati akielekea Mkoani Mara.Akizungumza na mabalozi wa CCM, katika Kata ya Lamadi Mkoani Simiyu alipofika kwa lengo la kukabidhi msada...

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko.

21Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Mazungumzo hayo yamefanyika leo Januari 21,2024 jijini Dar es Salaam, ambapo Waziri wa Misri aliongozana na watendaji wakuu wa kampuni ya JV Elsewedy na  Arab Contractors (wanaotekeleza mradi wa...
21Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kauli hiyo ameitoa wakati wa ziara yake leo Januari 21,2024 mkoani humo alipotemebelea na kujionea athari za mvua zilizonyesha usiku wa kuamkia tarehe 20/ januari/2024 na kuathiri maeneo mabalimbali...
21Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kesho Januari 22, 2024, Rais Samia anatarajia kumpokea  Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Watu wa China, Liu Guozhong  anayekuja nchini kwa ziara ya siku tatu.Katikati ya ujio wa kiongozi...

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani mkoani Tanga, Isaya Mbenje.

21Jan 2024
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Mchengerwa amechukua hatua hiyo leo baada ya kupokea taarifa za Mkurugenzi huyo kushindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo na kusababisha kulega lega kwa utekelezaji wa miradi ya maendeleo.Hata...

Katibu wa Itikadi na Uenezi Taifa, Paul Makonda.

21Jan 2024
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Fereji alieza kuwa kiongozi huyo, alimfuata kwa ajili ya kumuomba awaazime nyumba hiyo ili kuendesha shughuli zao za chama.Makonda aliagiza kiongozi huyo aliyechukua nyumba ya Fereji kuhakikisha leo...
21Jan 2024
Nipashe Jumapili
Harambee hiyo imefanyika leo Januari 21, 2024 na kuwahusisha watu mbalimbali wakiwemo viongozi wa madhehebu ya dini, wafanyabiashara, waumini wa dhehebu hilo pamoja na Mkuu wa Wilaya hiyo ambaye...

Pages