NIPASHE JUMAPILI
24Dec 2023
Marco Maduhu
Nipashe Jumapili
Mikopo hiyo hutokana na mapato ya ndani na asilimia nne hutolewa kwa vijana na wanawake, huku asilimia mbili ikitolewa kwa watu wenye ulemavu.Awali, mikopo hiyo ilisitishwa na serikali kwa ajili ya...
24Dec 2023
Ashton Balaigwa
Nipashe Jumapili
Mandonga anatarajia kupigana na Mti Jitu katika pambano lililopangwa kufanyika Desemba 29, mwaka huu mkoani, Morogoro.Akizungumza na Nipashe, Mandonga alisema kwa sasa ameamua kuja tofauti na kwa...
24Dec 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
-huku sababu ikitajwa kuwa ni wao kumchinja jogoo wa jirani yao.Akizungumza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Blassius Chatanda, amewataja wanaoshikiliwa ni Jenifer Petro, Marines Petro na Emmanuel...
24Dec 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Dk. Urio aliyasema hayo huku akibainisha kuwa utafiti unaonyesha kati ya watoto 1,000 wanaozaliwa hai kote duniani, wanane huwa na hitilafu mbalimbali za moyo.Pia alisema Shirika la Afya...
24Dec 2023
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, aliyasema hayo Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu barua ya Julai 19, mwaka huu, ambayo chama hicho kilimwandikia Waziri Mkuu, Kassim...
24Dec 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kauli hiyo ameitoa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Bunge na Uratibu) Jenista Mhagama wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya matumizi ya matokeo ya sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 kwa...
24Dec 2023
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Jeshi hilo, Kamishna Msaidizi Mwandamizi (SACP) David Misime, miongoni mwa mikakati ni kutoa elimu ya kuzuia uhalifu.Alisema mikakati mingine ni...
24Dec 2023
Gideon Mwakanosya
Nipashe Jumapili
Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Ng'anzi ameyasema hayo leo wakati alipotembelea kituo kikuu cha mabasi kilichopo eneo la Shule ya Tanga manispaa ya Songea Mkoa wa Ruvuma. ...
17Dec 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Katika michezo ya pili ya robo fainali ya michuano hiyo inayodhaminiwa na mdau mkubwa wa michezo wilayani Rorya, Peter Owino, ambayo ilipigwa mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa Maji Shirati Sota,...
17Dec 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Majaliwa aliyasema hayo wakati akifunga mafunzo ya juu na Daraja la Pili kwa Askari wa Magereza katika Chuo cha Mafunzo (TCTA). Waziri Mkuu alisema serikali imelipatia Jeshi la Magereza magari...
17Dec 2023
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Pia, jukwaa hilo litajikita katika kuwapatia taarifa sahihi zinazowasaidia kuwapa mbinu za kufanya maamuzi sahihi, ili kuzifikia ndoto zao.Mwanzilishi wa jukwaa hilo, Khalila Mbowe, aliyasema hayo...
17Dec 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Hayo yamebainishwa leo Desemba 17,2023 na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) Mohamed Mchengerwa wakati wa mkutano wake na wataalamu wa Sekta ya Elimu...
17Dec 2023
Adam Fungamwango
Nipashe Jumapili
Baada ya kupata penalti Ijumaa katika mechi dhidi ya Kagera Sugar ikiwekwa wavuni na kiungo mshambuliaji wa Simba Saido Ntibazonkiza, Simba kwa sasa imefikisha penalti tatu huku zote zikiwa zimeweka...
17Dec 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Hatua hiyo mbali na kusogeza huduma za benki hiyo kwa wateja wake wanaotembelea mlima huo pia inalenga kudhihirisha umahiri wa teknolojia ya benki hiyo katika utoaji wa huduma zake kwa wateja. ...
17Dec 2023
Paul Mabeja
Nipashe Jumapili
Amesema kampeni hiyo inatarajia kuanza na kaya 500 ambazo tayari zilishajiandikisha na kufanyiwa uthamini wa mali zao.Aidha, kuhusu maafa yaliyotokea katika mji wa Katesh, Hanang mkoani Manyara,...
17Dec 2023
Augusta Njoji
Nipashe Jumapili
Hatua hiyo ni kutokana na madai ya utendaji wake kutoridhisha ikiwamo kutochukua hatua kwa Hospitali ya Rufani ya Mkoa iliyoko Bukoba, iliyozuia maiti ya mtoto mchanga.Wakati akiagiza hatua hizo...
10Dec 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Dk. Biteko amesema hayo leo Desemba 10, 2023 wakati wa Misa Maalum ya Kutabaruku Kanisa Kuu la Kiinjili la Kilutheri Tanzania ( KKKT) Lukajange, Dayosisi ya Karagwe iliyofanyika wilayani Karagwe,...
10Dec 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Miamba hiyo ambayo ndiyo itakayokutana katika nusu fainali ya kwanza Desemba 21, mwaka huu, imetinga hatua hiyo baada ya Kabwana fc kuwatoa Vijana wa KMT wa Shirati Sota kwa mikwaju ya penalti 2-0,...
Mshindi wa shindano la Maokoto kutoka Wilaya Kilosa linaloendeshwa kupitia vizibo vya vinywaji vya kampuni ya bia ya Serengeti SBL, Martha Manywa (kulia) akipokea hundi ya mfano ya TSh 500,000 kutoka kwa Shomari Mohammed Mwakilishi wa mauzo wa kampuni ya SBL (kushoto), hafla ya kukabidhi zawadi hiyo imefanyika katika bar ya Comer Pub iliopo Dumila Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro siku ya ijumaa.
10Dec 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Awamu hii ni zamu ya Martha Manywa, Mkazi wa Kilosa mkoani Morogoro ambaye amejishindia kiasi cha shilingi 500,000 taslimu. Martha amekabidhiwa zawadi hiyo na Mwakilishi wa Mauzo wa Serengeti...
10Dec 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Akizungumza baada ya kupokea hundi ya Sh bilioni 2.1 ikiwa ni mchango wa mashirika ya umma 270 kusaidia waathirika wa maafa hayo, Rais Samia amesema hakuna kitakachozuia kurejeshe maisha ya kawaida...
