NIPASHE JUMAPILI

03Mar 2024
Halfani Chusi
Nipashe Jumapili
Kiongozi huyo aliyemwakilisha Waziri wa Elimu wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Prof Adolf Mkenda aliyasema hayo jana jijin Dar es Salaam alipofungua kongamano la Elimu Bila Ukomo mwaka 2024.Carolyne...

Meneja wa TANROADS Mkoa wa Kilimanjaro Mha. Motta Kyando.

03Mar 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
...ikiwemo ukarabati na ujenzi wa kiwango cha lami barabara ya Bomang’ombe – Sanyajuu – Kamwanga yenye urefu wa kilomita 96.03; sehemu ya Sanyajuu – Elerai km 30.62....
03Mar 2024
Thobias Mwanakatwe
Nipashe Jumapili
Akizungumza katika mahojiano na gazeti hili katika wodi namba 14 kwenye hospitali hiyo, mama mzazi wa mwanafunzi huyo, Cecilia Neriko, amesema mtoto wake aling'atwa na nyoka Januari 23, mwaka huu...
03Mar 2024
Godfrey Mushi
Nipashe Jumapili
Ukienda Mbokomu, mahame ni mengi (magofu ya nyumba). Ni kwa nini wanahama!Jibu ni rahisi tu kwamba,hakuna huduma muhimu za kijamii.Hakuna hoteli, daladala zinazoanzia katikati ya mji, yaani...
03Mar 2024
Nipashe Jumapili
Deby Itno alichukuwa madaraka mwaka 2021 baada ya baba yake, kiongozi mkongwe Idriss Deby Itno, kufariki wakati akipambana na waasi.Kiongozi huyo alietawala kwa mkono wa chuma alikuwa ameiongoza nchi...

Bima ya Afya.

03Mar 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Hospitali hizo zilitangaza jana kurejeshwa utaratibu huo  kwa kile zilichodai kuwa hawakufikia makubaliano na serikali kupitia NHIF kuhusu mabadiliko ya vifurushi vipya vya mfuko huo...
25Feb 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Ameeleza kuwa, ujazo wa maji unaohitajika katika Bwawa la umeme la JNHPP ni mita za ujazo bilioni 32.7 na sasa kuna mita za ujazo bilioni 28 hivyo bado mita nne tu Bwawa hilo kujaa kabisa. ...
25Feb 2024
Anaeli Mbise
Nipashe Jumapili
Ni Matokeo ya Royal Tour, Filamu iliyozinduliwa na Rais Samia
Kundi hilo limeingia jana Februari 24, 2024 ikiwa ni Kazi ya kutangaza Utalii iliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan kupitia Filamu ya Tanzania "The Royal...

Kocha Msaidizi wa Simba, Suleiman Matola.

25Feb 2024
Saada Akida
Nipashe Jumapili
Juzi Simba ikiwa ugenini ilifanikiwa kuwabana wenyeji wao na kulazimisha kumaliza mchezo 0-0 na hivyo kuendelea kushika nafasi ya pili kwa kundi lao wakiwa na pointi sita wakizidiwa pointi tano na...
25Feb 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, Jumanne Muliro amesema “Awali Jeshi la Polisi lilipokea taarifa za kuibwa kwa mtoto huyo tarehe 06 Februari, 2024 majira ya saa moja usiku...
25Feb 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kuwa na hali hiyo inayonyooshewa kidole, onyo limetolewa kwa wanafunzi wa shule za sekondari kujiepusha na unywaji pombe chini ya umri ili kulinda afya zao na kujihakikishia kufanya vizuri kwenye...
25Feb 2024
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Ugonjwa huo umekuwa ukikumba watu wazima kutokana na sababu mbalimbali zikiwamo mtindo wa maisha, magonjwa yasiyoambukiza kama vile kisukari na shinikizo la damu na msongo wa mawazo.Mkurugenzi...
25Feb 2024
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo, Dk. Faustine Ndugulile, amesema hayo baada ya kamati kufanya ziara hospitalini hapo. “Kwa niaba ya kamati napenda kumpongeza Prof. Janabi na timu yako ya...
25Feb 2024
Thobias Mwanakatwe
Nipashe Jumapili
Mkuu wa Mkoa wa Singida, Peter Serukamba, aliyeongoza kamati hiyo, baada ya kufanya ukaguzi huo, ameagiza wakuu wa wilaya ndani ya siku tatu kila mmoja akafanye ukaguzi kwenye maduka ya...

Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Ashatu Kijaji (katikati), akikagua mabati yanayozalishwa na kiwanda cha Dragon, alipotembeela kiwandani hapo, jijini Dodoma. PICHA: JOSEPH MWENDAPOLE

25Feb 2024
Joseph Mwendapole
Nipashe Jumapili
Kiwanda kilichopewa leseni na serikali kuzalisha mabati, kimebainika kinauza majokofu, vigae, PVC na bodi za dari (ceiling boards).Kutokana na kadhia hiyo, waziri huyo ameagiza taasisi za serikali...
25Feb 2024
Thobias Mwanakatwe
Nipashe Jumapili
Limesema hatua hiyo itasaidia wataalamu wanaohitimu vyuo vya afya na tiba ya mifugo kuwa na uwezo wa kutoa huduma kwa mnyama huyo.Daktari wa Afya na Tiba ya Wanyama wa shirika hilo, Dk. Charles...
25Feb 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Mwendesha Mashtaka wa Serikali, Aidan Nziku, alidai kuwa Chibuga alimvamia Mdala Mangu (34), mkazi wa Ukerewe akiwa nyumbani kwake na kumkata kwa panga sehemu mbalimbali za mwili wake kisha kuiba...
18Feb 2024
Shaban Njia
Nipashe Jumapili
-Benki ya Maendeleo na Kilimo (TADB).Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Christina Mndeme ameyasema hayo hivi karibuni wakati wa ulipaji wa malipo ya pili ya zao la pamba kwa wakulima waliouza pamba kwa Chama...
18Feb 2024
Neema Hussein
Nipashe Jumapili
Buswelu ametoa maagizo hayo mara baada ya kuongoza kikosi kazi cha wataalamu mbalimbali wa kilimo kutembelea baadhi ya mashamba ya wakulima wa zao la pamba na alizeti ili kutoa elimu ya matumizi...

Mkurugenzi Mkuu wa TZLPGA, Amos Jackson akizungumza na wageni waalikwa (hawapo pichani) kwenye mjadala huo.

11Feb 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Umoja huo ulioanzishwa mwaka 2023 unaundwa na kampuni 6 zinazofanya biashara ya gesi za mitungi kwa matumizi ya majumbani ambazo ni CAMGAS, O-GAS, LAKE GAS, TAIFA GAS, ORYX GAS, MANJI GAS na PUMA...

Pages