NDANI YA NIPASHE JUMAPILI
12Nov 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Hayo yalisemwa jana jijini Dar es Salaam na Mkuu wa shule hiyo, Omari Juma wakati a mahafali ya shule hiyo yaliyofanyika mwishoni mwa wiki.Alisema shule hiyo imekuwa mstari wa mbele kuhimiza elimu...
12Nov 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
...ambayo ni chachu ya kuleta maendeleo kwa wananchi na hivyo Serikali inaendelea kuboresha mazingira ya uwekezaji nchini.Dk. Biteko amesema hayo wakati alipomwakilisha Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan...
12Nov 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Mkuu wa shule hiyo, Omari Juma alisema shule hiyo imekuwa na program ya michezo kwaajili ya kuangalia vipaji mbalimbali vya wanafunzi.Alisema michezo mbali na kuimarisha afya za wanafunzi lakini...
05Nov 2023
Vitus Audax
Nipashe Jumapili
ACP Sarige ametoa wito huo wakati wa kikao kazi na uongozi pamoja na wamiliki wa kampuni hizo, ambapo amewataka kuhakikisha wanaweka utaratibu mzuri wa kutoa mafunzo kwa walinzi ili kuleta uelewa wa...
05Nov 2023
Saada Akida
Nipashe Jumapili
Baleke, Aziz Ki kubeba mikoba ya timu zao ili kuhakikisha pointi...
Hata hivyo, mshambuliaji wa Simba, Jean Baleke anaonekana ndiye mchezaji ambaye ana nafasi nzuri zaidi ya kuisaidia timu yake kuondoka na ushindi huku kwa upande wa Yanga, mikoba ikiachwa kwa...
05Nov 2023
Maulid Mmbaga
Nipashe Jumapili
Hayo yamebainishwa Zanzibar na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Bara Abdulrahman Kinana, katika maadhimisho ya miaka mitatu ya uongozi wa Dk. Mwinyi.Kinana amesema Dk. Mwinyi amejituma sana na kujikita...
05Nov 2023
Grace Gurisha
Nipashe Jumapili
Aidha, imeelezwa gari hilo ni lenye namba za usajili T 307 CDH aina ya Ford Ranger lilikuwa kwenye kampuni ya kuuza magari ya CMC Automobiles Ltd kwa ajili ya matengenezo kutokana na kwamba lilikuwa...
05Nov 2023
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Mwenyekiti wa Kijiji hicho, Julius Misana, akizungumza na Nipashe Digital kwa njia ya simu, alisema tukio lilitokea Jumatano, saa nane mchana, wakati mwalimu huyo akisimamia ujenzi wa bweni la shule...
05Nov 2023
Paul Mabeja
Nipashe Jumapili
Ummy alisema hayo jijini hapa, wakati akipokea ripoti ya tume huru ya uchunguzi wa malalamiko ya madaktari hao iliyoongozwa na Mwenyekiti wake, Prof. Mohammed Bakari Kambi.Alisema ripoti iliyotolewa...
05Nov 2023
Gwamaka Alipipi
Nipashe Jumapili
Wamesema ni wakati muafaka wa kuwasilishwa bungeni muswada na kutungwa sheria ya kutekeleza jambo hilo ili iwe fundisho kwa watu wengine wenye tabia ya udokozi wa fedha za umma.Mbunge wa Tarime...
29Oct 2023
Cynthia Mwilolezi
Nipashe Jumapili
Viongozi wengine ni pamoja na Katibu Mkuu wa CCM Taifa Daniel Chongolo pia atashiriki katika mazishi hayo, yatakayofanyika nyumbani kwa marehemu Zelothe katika Kitongoji cha Olosiva kilichopo...
29Oct 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Mfumo huo wa kidigitali uliotengenezwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondoa Juu wa Petroli (PURA) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), mpaka sasa umesajili jumla...
29Oct 2023
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Hayo yalisemwa leo jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mkuu wa wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Hamza Johari, baada ya kushiriki mbio za hisani kwa lengo la kuchochea upandaji miti na...
29Oct 2023
Neema Hussein
Nipashe Jumapili
Akizungumza katika uzinduzi wa mashindano hayo Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Pete Tanzania (CHANETA), Dokta Devota Marwa amesema umuhimu wa mashindano hayo ni kuwapa fursa watoto wa kike kujiajiri...
29Oct 2023
Neema Hussein
Nipashe Jumapili
Hoja hiyo iliibuliwa na baadhi ya wafanyabiashara katika kikao cha wawekezaji ikiwa ni siku ya tatu ndani ya maonesho ya wiki ya mwanakatavi ambayo ni siku ya uwekezaji na kutangaza fursa za...
29Oct 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Hatua hiyo imekuja baada ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Geita kulalamikiwa kutoonekana kwenye vikao muhimu na badala yake kukaimisha Maofisa wanaoshindwa kutoa majibu sahihi katika vikao hivyo....
29Oct 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
-ya biashara pamoja na uwekezaji.Ujumbe wa Rais Steinmeier utakaojumuisha viongozi wengine wa Serikali, pamoja na wawekezaji wa makampuni makubwa 12 utawasili nchini kupitia Uwanja wa Ndege wa...
29Oct 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Uwekezaji huo ni katika mnyororo wa thamani wa uzalishaji,usindikaji maua nchini kwetu na kuyauza ChinaHayo yamesemwa leo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi,Profesa Godius Kahyarara,mara baada ya...
29Oct 2023
Jaliwason Jasson
Nipashe Jumapili
Amesema hali hiyo huathiri ukuaji wa mtoto kama wazazi na walezi hawatachukua hatua za haraka.Dalushi alibainisha hayo katika mazungumzo na mwandishi wa habari hizi kuhusu maziwa ya mama...
29Oct 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Hatua hiyo iliyochukuliwa na Waziri wa Wizara hiyo, Dk. Doroth Gwajima, ni kutokana na video ya tangazo la huduma za masaji iliyowekwa mitandaoni, kuripotiwa kuwa ina vitendo vilivyo kinyume na...






