BIASHARA »
KASI ya kiwango cha mfumko wa bei kwa mwaka ulioishia Februari 2024, imeshuka hadi asilimia 5.10 kutoka asilimia 5.26 iliyorekodiwa Januari 2024.
MKUU wa Mkoa wa Singida, Halima Dendego, amesema katika uongozi wake hataki kusikia neno...
WAZIRI wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba, amewasisitiza wasimamizi wa miradi yote ya ujenzi ya...
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imeendelea kuunga mkono jitihada za serikali katika kuboresha...
TANI 43,000 za tumbaku zinatarajiwa kuzalishwa na wakulima mkoani hapa katika msimu wa kilimo...
KAMPUNI ya Tigo imezindua kampeni maalum ya 'Soka la Afrika Limeitika' yenye lengo la kuwapa...
MKUU wa Kitengo cha Usalama Barabarani mkoani Shinyanga, Wensesilaus Gumha, amewataka...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, amezihimiza taasisi za...
NAIBU Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu,...
Pages
Picha »
Waziri wa ujenzi na uchukuzi, Prof Makame Mbarawa ameambatana na waziri wa fedha Dr. Mwigulu Nchemba mkoani Kigoma kwaajili ya kutembelea miradi ya maedeleo itakayochangia kuufungua mkoa wa Kigoma.
Balozi wa India nchini, Shri Binaya Srikanta Pradhan (kulia), akipata maelezo kutoka kwa Mhariri Mtendaji wa gazeti la The Guardian, Wallace Maugo (watatu kulia), alipotembelea chumba cha habari cha Kampuni ya The Guardian Ltd (TGL) inayochapisha magazeti ya The Guardian na Nipashe, Mikocheni, mkoani Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mhariri Mtendaji wa gazeti la Nipashe, Beatrice Bandawe na (watatu kushoto) ni Mkurugenzi wa TGL, Joyce Luhanga. PICHA ZOTE: MIRAJI MSALA
Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Nipashe, Beatrice Bandawe (kulia), akimkaribisha Mkurugenzi Mtendaji wa Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), Moremi Marwa (wapili kushoto), baada ya kuwasili kwenye ofisi za kampuni ya The Guardian Ltd (TGL) inayochapisha magazeti ya Nipashe na The Guardian, Mikocheni, mkoani Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkurugenzi wa TGL, Joyce Luhanga. PICHA ZOTE: MIRAJI MSALA









