BIASHARA »
KASI ya kiwango cha mfumko wa bei kwa mwaka ulioishia Februari 2024, imeshuka hadi asilimia 5.10 kutoka asilimia 5.26 iliyorekodiwa Januari 2024.
MKUU wa Mkoa wa Singida, Halima Dendego, amesema katika uongozi wake hataki kusikia neno...
WAZIRI wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba, amewasisitiza wasimamizi wa miradi yote ya ujenzi ya...
Naibu Waziri wa Kilimo, David Silinde amesema serikali kupitia wizara hiyo imejipanga kuongeza...
SERIKALI wilayani Chato mkoani Geita, imetoa siku 60 kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya...
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni, (BRELA) na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (...
IMEELEZWA kuwa njia pekee ya kuepukana na mikopo ya kinyonyaji kwa walimu nchini maarufu mikopo...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoani Kagera wamefanya hitimisho la Wiki ya Mlipa Kodi kwa...
Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna ameshiriki uzinduzi wa Mkutano Mkuu wa Benki...
Pages
Picha »
Waziri wa ujenzi na uchukuzi, Prof Makame Mbarawa ameambatana na waziri wa fedha Dr. Mwigulu Nchemba mkoani Kigoma kwaajili ya kutembelea miradi ya maedeleo itakayochangia kuufungua mkoa wa Kigoma.
Balozi wa India nchini, Shri Binaya Srikanta Pradhan (kulia), akipata maelezo kutoka kwa Mhariri Mtendaji wa gazeti la The Guardian, Wallace Maugo (watatu kulia), alipotembelea chumba cha habari cha Kampuni ya The Guardian Ltd (TGL) inayochapisha magazeti ya The Guardian na Nipashe, Mikocheni, mkoani Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mhariri Mtendaji wa gazeti la Nipashe, Beatrice Bandawe na (watatu kushoto) ni Mkurugenzi wa TGL, Joyce Luhanga. PICHA ZOTE: MIRAJI MSALA
Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Nipashe, Beatrice Bandawe (kulia), akimkaribisha Mkurugenzi Mtendaji wa Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), Moremi Marwa (wapili kushoto), baada ya kuwasili kwenye ofisi za kampuni ya The Guardian Ltd (TGL) inayochapisha magazeti ya Nipashe na The Guardian, Mikocheni, mkoani Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkurugenzi wa TGL, Joyce Luhanga. PICHA ZOTE: MIRAJI MSALA










