NIPASHE
08Mar 2024
Faustine Feliciane
Nipashe
Asema safu ya ulinzi ilifanya makosa, walimiliki mpira lakini…
Matokeo hayo yaimefanya Simba kufikisha pointi 36 baada ya kushuka dimbani mara 16 ikishika nafasi ya tatu mbele ya Azam FC wanaoongoza msimamo na Yanga iliyopo nafasi ya pili.Matola amesema licha ya...
08Mar 2024
Saada Akida
Nipashe
Katika mchezo wa mzunguko wa kwanza wa ligi kuu Yanga ikiwa uwanja wa nyumbani walikutana na kibarua kigumu na kuvuna alama tatu kwa ushindi wa bao 1-0 dakika za mwisho katika dimba la Azam...
08Mar 2024
Sabato Kasika
Nipashe
Leo yuko darasani, anamilki pikipiki yake, Asimulia anavyopangua ‘i love you’ kazini
Pia, kazi ambazo zamani zilichukuliwa kama za wanaume, kama udereva wa pikipiki, bajaji, magari madogo na makubwa, yakiwamo mabasi na malori, sasa nao wameamua kujitosa huko.Ingawa idadi yao...
08Mar 2024
Julieth Mkireri
Nipashe
Mhandisi Mwambage amebainisha hayo wakati wa kikao cha bodi ya barabara kilichoketi mjini Kibaha ambapo amesema hatua za awali zimeanza baada ya kibali kutolewa Februari mwaka huu.Ujenzi wa barabara...
08Mar 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Meneja wa TANROADS mkoani humo, Motta Kyando, amesema fedha hizo zimetumika kurejesha mawasiliano ya barabara kwa kujenga upya madaraja mbalimbali, likiwamo la Daraja la Biriri lililoko eneo la kwa...
08Mar 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kamanada wa Polisi mkoani humo, Kamishna Msaidizi Mwanadamizi wa Polisi (SACP), Alex Mkama, amesema Sidame na wenzake wamekuwa wakitumia mbinu ya kuwarubuni watu kujiunga na kampuni hewa za mtandaoni...
08Mar 2024
Oscar Assenga
Nipashe
Badala yake, ameagiza watoe takwimu sahihi za vifo hivyo, pamoja na vile vya watoto walioko chini ya mwaka mmoja pamoja na vifo vya watoto wachanga wenye umri wa chini ya siku 28.Ummy alitoa agizo...
07Mar 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
...wa kuhakikisha kuwa wananchi na hasa kinamama Tanzania wanahama kutoka matumizi ya nishati ya kupikia isiyo safi kwenda kwenye nishati iliyo safi na salama. Amesema hayo tarehe 7 Machi, 2024...
07Mar 2024
Beatrice Moses
Nipashe
Taasisi ya mazingira ya Environment and Empowerment movement (TEEMO) imezindua ofisi mpya ambayo itasimamia kampeni kadhaa kuhifadhi wa mazingira, ikiwamo katika maeneo ya bahati. ...
07Mar 2024
Beatrice Shayo
Nipashe
Akiitambulisha kampeni hiyo, leo jijini Dar es Salaam Katibu Mkuu wa UWT, Jokate Mwegelo, amesema lengo la kuja na kampeni hiyo ni kutokana na mabadiliko ya teknolojia. "Dunia ya sasa hivi...
07Mar 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
... kwa kiwango cha lami pamoja na ujenzi wa Daraja la Ruaha Mkuu ambao umefikia asilimia 86 za utekelezaji na tayari mkandarasi amekamilisha km 55.67 za lami kati ya km 66.9 zinazotakiwa kwa mujibu...
07Mar 2024
Neema Hussein
Nipashe
Akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake kwa ngazi ya halmashauri yaliyofanyika kata ya Katumba Halmashauri ya Nsimbo Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto Mkoa wa Katavi Judith Mbukwa amesema...
07Mar 2024
Maulid Mmbaga
Nipashe
Akizungumza leo mkoani Dar es Salaam Konga amesema wamebaini kwamba kuna udanganyifu unafanywa na baadhi ya wanachama kwa kutumia kadi moja kutibu watu hadi wanne wa familia moja, na kwamba kutokana...
07Mar 2024
Marco Maduhu
Nipashe
Mndeme ametoa Maagizo hayo leo Marchi 7,2024 kwenye Kikao cha Kamati cha Ushauri ya Mkoa RCC. Amesema Mkoa wa Shinyanga bado unakabiliwa na tatizo la Sukari, ambapo kuna baadhi ya...
07Mar 2024
Julieth Mkireri
Nipashe
Aidha Kunenge amesema Serikali inaendelea kutatua vikwazo katika sekta ya Uwekezaji ikiwa ni pamoja na suala la umeme ambalo linakwenda kukamilika hivi karibuni kupitia mradi unaotekelezwa kwenye...
07Mar 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Wanawake wa TFRA jana, waligusa mioyo ya wasichana 110 kutoka mikoa mbalimbali wanaosoma Sekondari ya Jangwani kwa kuwapa mahitaji ya usafi na ya kitaaluma, yenye thamani ya zaidi ya Shilingi 2,000,...
07Mar 2024
Restuta James
Nipashe
Akizungumza kwa niaba ya Ofisa Maendeleo kata ya Toangoma, Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Masuliza, Aziz Mwinyimkuu, amesema uanzishwaji wa kikundi cha HOREG ni hatua kubwa katika kuwakomboa...
07Mar 2024
Zanura Mollel
Nipashe
Mkuu wa Operesheni Kanda hiyo(DCEA) Innocent Masangula amesema wananchi hao wamebadili njia ya kilimo hicho kwa kufanya kilimo mseto cha mazao mbalimbali(nafaka) pamoja na zao haramu la bangi. ...
07Mar 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Lilian Liundi akisoma hotuba ya pamoja ya wadau hao wametaka kuwekwa mifumo rasmi kuwawezesha wanawake kisiasa na kiuchumi. Wadau pia...
07Mar 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hadi jana mchana, idadi ya waliofariki dunia walifikia wanane baada ya wengine watatu kufariki dunia wakiwa hospitalini wakipatiwa matibabu. Baadhi ya wazazi kisiwani hapo, wakiwa na mfadhaiko,...