Wananchi wamzomea Mkurugenzi Kahama

Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type bool in custom_pagers_node_view() (line 88 of /home/ippmedia/public_html/sites/all/modules/custom_pagers/custom_pagers.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type bool in template_preprocess_custom_pager() (line 341 of /home/ippmedia/public_html/sites/all/modules/custom_pagers/custom_pagers.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type bool in template_preprocess_custom_pager() (line 341 of /home/ippmedia/public_html/sites/all/modules/custom_pagers/custom_pagers.module).
  • Warning: count(): Parameter must be an array or an object that implements Countable in template_preprocess_custom_pager() (line 341 of /home/ippmedia/public_html/sites/all/modules/custom_pagers/custom_pagers.module).
27Jan 2024
Beatrice Shayo
Aliyekuwa Kahama
Wananchi wamzomea Mkurugenzi Kahama

WANANCHI wamemzome Mkurugenzi wa Manispaa Kahama, Anderson Msumba na Ofisa Mipango Miji wa Manispaa hiyo, Clemence Mkusa, kwa madai ya kuchochea migogoro na kupewa majibu mabaya.

Tukio hilo limejitokeza leo wakati wa mkutano wa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, alipokuwa anasikiliza kero za wananchi  ambapo walieleza kutokuwa na imani na viongozi hao.

"Makonda ukiondoka, Mkuu wa Wilaya na Mkuu wa Mkoa anatusikiliza  vizuri na wanatoa maamuzi lakini Mkurugenzi ndio chachu ya migogoro anagoma kutusikiliza na maofisa ardhi lakini kikubwa ni Mkurugenzi. Mkuu wa Wilaya ameagiza nipimiwe maeneo yangu lakini Mkurugenzi hataki anadai kasomea sheria na hafuati mambo ya siasa, " alisema Caroline Magige ambaye ni mkazi wa Wilaya hiyo 

Calorine alimueleza Makonda hata akiwasikiliza kero zao nani atazitekeleza" huyu Mkurugenzi ni chanzo cha migogoro nimeangaika leo ni mwaka wa kumi naangaika na kesi, Waziri mwezi uliopita katoa maelekezo kuwaambia huyu mama sio mvamizi naomba apatiwe maeneo yake na kama hayapo aelezwe yameenda wapi mpaka leo ni kimya hakuna utekelezaji, "

Top Stories