NIPASHE
13Mar 2024
Ashton Balaigwa
Nipashe
Taarifa hiyo iliyotolewa na Ofisa Elimu Taaluma mkoa huo, Hildegard Saganda wakati akiwa kwenye kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Morogoro, imeeleza kuwa hadi kufikia Februari 23 idadi ya...
13Mar 2024
Daniel Limbe
Nipashe
Kabla ya mabadiliko hayo, Nkumba alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Bukombe mkoani Geita, huku Eng. Katwale akihamishiwa wilayani Tabora mkoani humo.Katika makabidhiano hayo, Katwale ametumia fursa hiyo...
13Mar 2024
Marco Maduhu
Nipashe
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga, Janeth Magomi, amebainisha hayo leo wakati akizungumza na waandishi wa habari, kwamba tukio limetolea januari mwaka huu.Amesema Mwanamke huyo siku ya...
13Mar 2024
Nipashe
Mahakama ya rufaa imesema usajili wowote wa kundi la ‘Sexual Minorities Uganda (SMUG)’ ni kinyume na maslahi ya umma na sera ya kitaifa.Walalamishi walitaka jina hilo lisajiliwe “...
12Mar 2024
Augusta Njoji
Nipashe
Kwa mujibu wa Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba, serikali katika mwaka ujao wa fedha inatarajiwa kukusanya na kutumia Sh. trilioni 49.34. Waziri huyo amebainisha kuwa misaada na mikopo kutoka kwa...
12Mar 2024
Faustine Feliciane
Nipashe
Akizungumza jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa maadhimisho hayo ambayo kilele chake ni Machi 15, Mkurugenzi Mkuu wa FCC, William Erio, amesema mikataba yote ya mikopo lazima iandikwe...
12Mar 2024
Adam Fungamwango
Nipashe
Aucho naye aipa pigo robo fainali CAF huku Gamondi akimbwaga Benchikha kwa...
-wote wakiwa kileleni katika mbio za kiatu cha ufungaji bora.Yanga kama imelipa kisasi na nyongeza juu kwani katika mechi ya mzunguko wa kwanza Oktoba 4, mwaka jana, ilikubali kipigo cha mabao 2-1...
12Mar 2024
Saada Akida
Nipashe
-udhaifu wao ulipo". Simba itaikaribisha Singida Fountain Gate FC katika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam, saa 1:00 usiku, ambayo katika michezo sita iliyopita imeambulia sare moja...
12Mar 2024
Jenifer Gilla
Nipashe
MFUKO wa Fedha wa SELF umesema unaendelea kutanua wigo wa utoaji mikopo nchini ili kuwafikia Watanzania wengi zaidi, kwa ajili ya kuwaepusha na wakopeshaji binafsi wanaowakopesha kwa masharti magumu...
12Mar 2024
Jenifer Gilla
Nipashe
MFUKO wa Fedha wa SELF umesema unaendelea kutanua wigo wa utoaji mikopo nchini ili kuwafikia Watanzania wengi zaidi, kwa ajili ya kuwaepusha na wakopeshaji binafsi wanaowakopesha kwa masharti magumu...
12Mar 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mama huyo mwenye watoto saba akizungumza na waandishi wa habari amesema mwezi Novemba mwaka 2023 alianza kujihisi ana ujauzito kwani alikuwa na dalili zote zinazoonesha kuwa yeye ni mjamzito japo...
12Mar 2024
Nipashe
Mashambulizi 17 ya anga yaliripotiwa nchini humo, ikiwemo katika mji mkuu wa bandari wa Hodeidah na bandari ya Ras Issa, kulingana na kituo cha televisheni cha Wahouthi, Al Masirah.VOA imeripoti kuwa...
12Mar 2024
Augusta Njoji
Nipashe
Rai hiyo imetolewa mwishoni mwa wiki na wakili kutoka Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA), Isabela Nchimbi, kwenye maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani katika Kata ya Mpunguzi jijini...
12Mar 2024
Nipashe
Kiongozi huyo pia amekubali mpango wa kikanda wa mpito unaoweka mazingira kwa jumuiya ya kimataifa kuingilia kati.Nchi za Karibiani zimefanikisha mpango huo wa Ariel Henry kujiuzulu wakati wa mkutano...
12Mar 2024
Nipashe
Hatua hiyo ni baada ya hatua ya shirika hilo kwenda mahakamani kuzuia mgomo huo, kwa kile ilichosema ni kinyume cha sheria na hivyo kusubirishwa.Msemaji wa shirika hilo la reli, amethibitisha kuwa...
11Mar 2024
Nipashe
Akizungumza kwenye moja ya vipindi vya radio ya Spice FM leo Jumatatu, Machi 11, Kuria amesema kiongozi huyo wa ODM bado atakuwa kwenye kinyang’anyiro cha urais wan chi hiyo 2027, bila kujali...
11Mar 2024
Thobias Mwanakatwe
Nipashe
Aidha, ameagiza mifugo itakayokamatwa ikila miti iliyopandwa ikamatwe na kugawiwa kwa taasisi (shule) husika na wanafunzi wachinjiwe nyama ili kupoza machungu ya miti yao kuliwa.Amesema hayo leo...
11Mar 2024
Augusta Njoji
Nipashe
Mkurugenzi wa Kampuni ya Oryx Gas Tanzania, Benoit Araman ameyasema hayo mkoani hapa wakati wa kongamano la wanawake la kugawa mitaji na vitendea kazi vya nishati safi ya kupikia yakiwamo majiko ya...
11Mar 2024
Rahma Suleiman
Nipashe
-kujitokeza kwa viumbe hao.Akitoa elimu jinsi ya kuangalia pomboo wanapokuwa baharini kwa wadau wa sekta ya utalii, wananchi na wavuvi huko Nungwi na Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja jana.Amesema...
11Mar 2024
Rahma Suleiman
Nipashe
Akitoa taarifa wilayani Mjini Unguja, Waziri wa Wizara Biashara na Maendeleo ya Viwanda, Omar Said Shaaban ametaja bei ni Sh. 2,650 kwa kilo moja kwa upande wa Unguja na Sh. 2,700 kwa kilo kwa upande...