NIPASHE

04Mar 2024
Marco Maduhu
Nipashe
Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Shinyanga, Martin Nyambala, amebainisha hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake kutoa taarifa ya matukio yaliyotokea mwaka jana....
04Mar 2024
Shaban Njia
Nipashe
Utaratibu huo unadaiwa upo kwa muda mrefu na wazazi wanapohoji, huambiwa wahamishie watoto wao katika shule zisizokuwa na michango ya aina yoyote.Hayo yamebainishwa juzi na baadhi ya wazazi na walezi...
04Mar 2024
Nipashe
Harris amesema kutokana na hali mbaya iliyoko kwenye sehemu hiyo, ni lazima mapigano yasimamishwe. Wakati huo huo, Makamu wa Rais huyo wa Marekani atakutana na baraza la mawaziri wa Israel mjini...
04Mar 2024
Daniel Limbe
Nipashe
Fedha hizo zinatarajiwa kutumika kununua pamba, kufunga mitambo ya kuchakata mafuta ya kula, kuzalisha mashudu pamoja na sabuni ili kufanya mafuta yapatikane wakati wote.Kaimu Meneja wa Chama hicho,...
04Mar 2024
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Meneja wa Wakala wa Barabara, Mkoa wa Arusha (TANROADS), Reginald Massawe, amesema wakala huyo anakusudia kuijenga barabara hiyo kwa kiwango cha lami ili kupunguza gharama za usafiri na usafirishaji...
04Mar 2024
Tumaini Mafie
Nipashe
Baadhi ya wafugaji kutoka Wilaya ya Longido, wanadai ugonjwa huo unakumba mifugo, hasa mbuzi na kondoo, na huathiri ubongo kwa kasi hadi kusababisha vifo vingi.Taarifa kuhusu ugonjwa huo, ilitolewa...
04Mar 2024
Joctan Ngelly
Nipashe
Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo, Jane Byemelwa baada ya upande wa mashtaka kuthibitisha kosa hilo pasipo kuacha shaka yoyote.Hakimu Byemelwa alisema mahakama hiyo inatoa adhabu...
04Mar 2024
Salome Kitomari
Nipashe
Mmoja wao amedokeza kuwa alilazimika kuuza gari lake ili apate fedha za kumwezesha kuteuliwa kuwa mgombea udiwani, na hakuteuliwa.Wakati wa kongamano la Siku ya Wanawake mwishoni mwa wiki...
04Mar 2024
Nipashe
Kanda za video zinaonyesha msaada ukitua kwa parachuti katika mji wa kusini mwa Gaza ambapo karibu Wapalestina milioni 1.5 wamepewa hifadhi.Operesheni hiyo ilifanywa kwa kushirikiana na jeshi la anga...
04Mar 2024
Neema Hussein
Nipashe
Inadaiwa kuwa mtoto huo, mkazi wa Kijiji cha Kawanzige, wilayani Mpanda alitendwa ukatili huo wakati akitoa shambani na wenzake.Tukio hilo limetokea Februari 29, mwaka huu saa 11.00 jioni katika eneo...
04Mar 2024
Nipashe
Mamia ya wafungwa pia wametoroka kutoka jela hiyo katika mwendelezo wa wimbi kubwa la machafuko linaloukumba mji mkuu wa taifa hilo la kanda ya Karibia.Inaarifiwa watu watano wameuwawa kwenye mkasa...
03Mar 2024
Christina Mwakangale
Nipashe
Hutokea mara chache sana, mmojawapo akapata ujasiri wa kuzungumza na mtu huyo pembeni kumtaarifu alicho nacho, baadhi humcheka, kumtenga na kumsengenya. Vitendo hivyo vinatajwa kuwa ni unyanyapaa....
02Mar 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Amesema juhudi zinazofanywa na serikali kupitia TANROADS zimefanikisha matengenezo na ukarabati wa barabara na madaraja, ongezeko la bajeti ya matengenezo na kuongezeka kwa mtandao wa barabara za...
01Mar 2024
Allan Isack
Nipashe
Agizo hilo,lilitolewa jana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha,Thomas Loy Sabaya,wakati wa ziara ya Kamati ya Siasa ya mkoani humo,ikikagua utekelezaji za Ilani ya chama hicho.Mwenyekiti huyo,alisema...

Mkurugenzi Mtendaji wa Kundi la EABL, Jane Karuki (pichani kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa SBL, Obinna Anyalebechi (pichani kulia) wakikata utepe kama ishara ya kuzindua rasmi Kampeni ya Maokoto Ndani ya Kizibo huko Dar es Salaam.

01Mar 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kutoka katika mitaa yenye shughuli nyingi ya miji mikuu hadi vijijini, kampeni hii ilikuwa ishara ya matumaini na fursa, ikivutia mamilioni ya wananchi kote nchini. Na mwingiliano wa  milioni 38...

Sehemu ya mtambo wa kuzalisha umeme katika Bwawa la Mwalimu Nyerere. PICHA: MTANDAO.

01Mar 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
...ziada bidhaa mpya kimataifa, *Biteko: Mteja Zambia yu sokoni akisubiri megawati 70
Hiyo ilikuwa Machi 22, 2022 akisema mradi huo utasaidia kukabiliana na mafuriko ya kila mara Mto Rufiji, pia kuimarisha kilimo cha umwagiliaji.“Nataka nitoe ahadi kwenu ndugu wa Tanzania kwamba...
01Mar 2024
Yasmine Protace
Nipashe
Mabadiliko ya uongozi yaliyotokea Machi mwaka 2021 yakifunguka tena kwa shughuli za kisiasa huku vyama vya siasa, vikiwa vimepata nafasi kushiriki kwa dhati. Ni mambo yaliyomgusa Rais Samia Suluhu...
01Mar 2024
Mhariri
Nipashe
Ziara hiyo ilijumuisha maofisa waandamizi wa wizara wakiongozwa na Katibu Mkuu, mhandisi Fulcheshmi Mramba, watendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) chini ya Mkurugenzi Mtendaji, Mhandisi...
01Mar 2024
Na Waandishi Wetu
Nipashe
MAT wamesema kuwa wanaunga mkono kuanza kutumika vitita hivyo vipya, wakisema wako tayari kutoa huduma kwa wanachama na mfuko huo.Chama hicho pia kimethibitisha kushirikishwa na kushiriki kutoa...
01Mar 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Februari 24, mwaka huu, majira yaa saa 12:00 asubuhi, ndege hiyo iliruka kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam kwenda  Mbeya. Nusu  saa badaye ,ikiwa...

Pages