NIPASHE

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dk. John Jingu,

26Feb 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dk. John Jingu, alitoa agizo hilo jijini hapa alipofanya ziara ya kikazi kwenye Hospitali ya Rufani ya Mkoa Dodoma, iliyolenga kukagua utendaji kazi na kuzungumza na...
26Feb 2024
Renatha Msungu
Nipashe
Miaka mitatu iliyopita Nipashe ilichapisha makala kuhusu athari za ubebaji begi kubwa kwa wanafunzi, ambapo wataalamu wa afya walieleza athari watakazozipata ikiwamo kupinda mgongo.Naibu Katibu Mkuu...

WAZIRI wa Kilimo, Hussein Bashe.

26Feb 2024
Maulid Mmbaga
Nipashe
Amesema kuwa siku chache zijazo watatoa waraka wa kulazimisha kila mawakala na duka linalouza sukari liweke bei barabarani.Bashe pia amesema taifa limelinda sekta ya sukari, akisisitiza wenye viwanda...
26Feb 2024
Elizaberth Zaya
Nipashe
Pia ameagiza hifadhi zote kufanyiwa doria ya kutosha ili kuhakikisha zinalindwa dhidi ya uhalifu na waharibifu ambao wamekuwa wakivamia mara kwa mara.Ameagiza kuchukuliwa hatua hizo  wakati...
26Feb 2024
Munir Shemweta
Nipashe
Uzinduzi huo ulifanyika katika halmashauri hiyo, Majaliwa akiwa mgeni rasmi kwenye mkutano huo huku Mbunge wa Kavuu, Geophrey Pinda akiwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi...
26Feb 2024
Nipashe
Afisa mmoja wa kanisa, Jean-Pierre Sawadogo ameliambia shirika la habari la AFP kuwa, wapiganaji wenye itikadi kali za kidini ndio waliohusika. Hata hivyo hakukuwa na tamko lolote kutoka kwa mamlaka...
26Feb 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Safari za ndege za moja kwa moja hadi Mombasa zinalenga kuongeza utalii na biashara kati ya Zanzibar na Mombasa. Hili linatarajiwa kuimarisha utalii na viungo vya usafiri, na kuongeza uwekezaji...

Fathiya Chucha (23) aliyekuwa bibi harusi, akiwa ni mmoja wa waliopoteza maisha katika ajali iliyotokea Arusha mwishoni mwa wiki.

26Feb 2024
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Vilevile, kati ya majeruhi waliolazwa katika Chumba cha Wagonjwa Wanaohitaji Uangalizi Maalum (ICU) cha Hospitali ya Rufani ya Mkoa (Mount Meru), inaelezwa kuwa yumo bwana harusi, ambaye anapigania...
25Feb 2024
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Akitoa taarifa ya ajali hiyo Kamishna wa Polisi Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi CP Awadhi Juma Haji alipofika katika hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Arusha Mount Meru amesema ajali hiyo...
25Feb 2024
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Akizungumza katika Hospitali Mkoa Mount Meru wakati miili ya ajali hiyo ikipelekwa kuhifadhiwa,Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Justine Masejo alisema  ajali hiyo ilitokea Februari 24 mwaka huu...

Mwezeshaji Dk. Lucas Masungwa akiwajengea uwezo wananchi wa kata ya Magomeni masuala ya uongozi kwa wanawake na vijana.

24Feb 2024
Grace Mwakalinga
Nipashe
Matokeo yake ni kuzalisha vijana wasiokuwa na ujasiri na kujiamini kufanya mambo ambayo yapo ndani ya uwezo wao, kuchukua hatua na kufanya maamuzi kwenye mambo ya msingi wakiohofia jamii itawaonaje....

Mwezeshaji Zera Mwankemwa kutoka TOSCI akitoa Mafunzo kwa waandishi wa habari mkoani Shinyanga juu ya umuhimu wa Matumizi ya Mbegu Bora za Kilimo kwa Wakulima.

24Feb 2024
Marco Maduhu
Nipashe
Mafunzo hayo ya siku moja yamefanyika leo Februari 24,2024 na kushirikisha baadhi ya waandishi wa habari mkoani Shinyanga, kwa kuwajengea uelewa juu ya Matumizi ya Mbegu bora za Kilimo. ...
24Feb 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Aeleza urejeshwaji wa minada ya madini ya vito, waomba iharakishwe, Wajadili kuhamasisha vijana kuingia kwenye shughuli za uongezaji thamani madini
Kufuatia hali hiyo, amewaalika wafanyabiashara kutoka mji huo kuwekeza Tanzania kwenye nyanja mbalimbali  katika Sekta ya Madini nchini kutokana na Tanzania kubarikiwa  utajiri wa  ...

Mtuhumiwa wa shambulio la kudhuru mwili, Bharat Nathwan (kulia) na mke wake, Sangita Bharat (kushoto) anayetuhumiwa kutoa matusi dhidi ya Lalit Ratilal wakiwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kusikiliza kesi inayowakabili.

24Feb 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Aidha, amedai kuwa kulikuwa na ugomvi kati ya mke wa Bharat (Sangita Bharat) na mke wa Lalit, (Kiran) ambao walikuwa wakirushiana maneno kwa ukali kwa lugha ya kihindi huku, baada ya muda kidogo...

Mrita na Muyella wakiwa kizimbani wakati hukumu dhidi yao ikisomwa. PICHA: MPIGAPICHA WETU

24Feb 2024
Grace Gurisha
Nipashe
Mrita na Muyella walikuwa wanakabaliwa na kesi ya mauaji ya dada wa Bilionea Msuya, Anneth, aliyeuawa Mei 26, 2016 kwa kuchinjwa nyumbani kwake Kibada, Kigamboni mkoani Dar es Salaam. Washtakiwa hao...

Mgodi

24Feb 2024
Thobias Mwanakatwe
Nipashe
Askari huyo anadaiwa kufariki dunia baada ya kupigwa risasi na mwenzake wakati akiwatawanya wananchi hao waliokuwa na silaha za jadi, waliovamia kibanda chao mgodini hapo.Mkuu wa Wilaya ya Ikungi,...
23Feb 2024
Ashton Balaigwa
Nipashe
Hatua hiyo imetokana na wazawa waliotembelea eneo Mlima huo siku ya kwanza ya tamasha la kuibua na kutangaza vivutio vya utalii katika wilaya Same linalofahamika kama “ Utalii Festival “...
23Feb 2024
Halfani Chusi
Nipashe
Mkutano huo ambayo ni wa kwanza kufanyika nchini uliyofanyika Jana jinin Dar es Salaam uliwakutanisha wadau wa kampuni mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi. Akizungumzia kwa niaba ya Serikali...

Rais Samia Suluhu Hassan.

23Feb 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Sura ya huduma hizo zinajumuisha elimu, afya, makazi na nyenzo bora zinazowezesha roho ya nchi kiuchumi, sekta ya kilimo. Hilo katika awamu zote sita za uongozi nchini, hazijawahi kuachwa, bali...

Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, akiwa na mgeni wake, Rais wa Romania, Klaus Iohannis, alipowasili Ikulu jijini Dar es Salaam, Novemba 17, mwaka jana. PICHA: MAKTABA.

23Feb 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Tanzania, India kuuziana bidhaa kwa shilingi…
Kila baada ya muda, amekuwa akizunguka kimataifa akinadi uchumi wa nchi kimataifa, hali kadhalika akifungua soko la yapatikanayo nchini.Hapo Rais Dk Samia ana sura kuu tatu; kuuza bidhaa na huduma...

Pages