NIPASHE

Kaimu Mkurugenzi wa TMA, Dk Ladislaus Chan'ga.

21Feb 2024
Faustine Feliciane
Nipashe
Akizungumza kwenye warsha ya wanahabari leo kuelekea kwenye utabiri wa kesho wa mvua za masika, Kaimu Mkurugenzi wa TMA, Dk Ladislaus Chan'ga, amesema utabiri wao wa mvua za vuli walioutoa mwezi...

Mkuu wa Wilaya ya Chato, mkoani Geita, Mhandisi Deusdedith Katwale.

21Feb 2024
Daniel Limbe
Nipashe
Mkuu wa Wilaya ya Chato, mkoani Geita, Mhandisi Deusdedith Katwale, ameyasema hayo wakati akiongea na watumishi.“Unakuta Mhandisi anakwenda kivyake, ofisa manunuzi kivyake na wakuu wa idara...

Sananu ya Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere.

21Feb 2024
Jenifer Gilla
Nipashe
Alitoa kauli hiyo Februari 19, 2024 wakati wa uzinduzi wa sananu ya Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere katika makao makuu ya Umoja wa Afrika (AU), Addis Ababa, Ethiopia.Rais Samia ambaye...

Leonard Tenga, Mkurugenzi wa (CTI).

21Feb 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Maonesho hayo yamepangwa kufanyika kuanzia Septemba 26 hadi 29 mwaka huu katika viwanja vya Sabasaba Dar es Salaam ikiwa ni mara ya pili tangu CTI na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (...

Maria Ngoda.

21Feb 2024
Francis Godwin
Nipashe
 Novemba 3, mwaka jana, mkazi huyo wa Isakalilo, wilayani Iringa, alihukumiwa kifungo hicho na Hakimu Mkuu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Iringa, Said Mkasiwa baada ya kumtia hatiani kwa kosa la...
21Feb 2024
Restuta James
Nipashe
Hayo ni maoni ya baadhi ya wadau wa elimu baada ya ripoti ya upimaji viwango vyuo vikuu Kusini mwa Jangwa la Sahara, kuonyesha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) ambacho ni kikongwe nchini,...

Mkazi wa Kahama, Mkoa wa Shinyanga Jidai Bida.

21Feb 2024
Mary Kadoke
Nipashe
Bida amesema hayo leo wilayani humo, katika ziara ya siku mbili ya waandishi wa habari iliyoandaliwa na Taasisi ya Kuimarisha huduma za Afya Tanzania (THPS) kwa kushirikiana na Afya Plus kupitia...
20Feb 2024
Pilly Kigome
Nipashe
Amewataka kuanza kuwashughulikia kuanzia leo Februari 20 hadi ifikapo kesho Februari 21 watakaopatikana na hatia wapelekwe mahakamani mara moja kwa kuhujumu maendeleo ya elimu. Agizo hilo...
20Feb 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
...umeendelea kujifunza kuhusu uendeshaji wa minada nchini Thailand na safari hii umejikita zaidi katika Mfumo wa uwezeshaji kifedha kwa wazalishaji wakati wa kusubiri minada. Ujumbe huo...

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Ushetu Hadija Kaboje

20Feb 2024
Shaban Njia
Nipashe
Aidha halmashuri hiyo kwa mwaka wa fedha unaoendelea wa 2023/2024 ilipanga kukusanya kiasi cha Sh.bilioni 2.9 na mpaka sasa kwenye robo ya pili ya mwaka huo wamakusanya zaidi ya asilimia 107 ya...
20Feb 2024
Julieth Mkireri
Nipashe
Jukwaa hilo limepatiwa mafunzo na wakufunzi kutoka Idara ya Maendeleo ya Jamii, kilimo, Mifugo na Ustawi wa Jamii wa Kata hiyo . Akizungumza katika ufunguzi wa mafunzo hayo uliofanyika katika...
20Feb 2024
Pilly Kigome
Nipashe
Hayo yamesemwa leo Februari 20,2024 na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Albert Chalamila katika ziara yake ya kutembelea miradi ya utekelezaji mkoani humo.Chalamila, amefafanua kuwa hakuna tatizo la...
20Feb 2024
Daniel Limbe
Nipashe
...wameingia makubaliano na kuweka kambi ya matibabu kwa miaka mitano, pamoja na kuwajengea uwezo madaktari waliopo ili kuwa na huduma endelevu kwa wagonjwa wa Kanda ya Ziwa na nchi jirani. ...
20Feb 2024
Mary Geofrey
Nipashe
Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki, ameyasema hayo jana jijini Dar es Salaam, wakati akizindua Mkakati wa Kitaifa wa Mianzi, wenye kauli mbiu inayosema, ‘Tanzania inawekeza kwenye...

​​​​​​​ASKOFU wa Dayosisi ya Karagwe ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Benson Bagonza.

20Feb 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Aorodhesha mambo 10 aliyoona Monduli
Katika andiko lake alilolipa kichwa cha habari kinachosomeka 'EDWARD KAMA EDWARD', Askofu Bagonza anasema: 17/2/2024 tumemzika Edward Lowassa nyumbani kwao Monduli. Miaka 40 iliyopita...

Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini, Henry Kinabo.

20Feb 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kampuni hiyo ndio mdhamini mkuu wa mbio hizo za halfa marathon ambapo wamehakikisha huduma zote muhimu zinapatikana siku ya mbio hizo.Akizungumzia mbio hizo, Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini,...
20Feb 2024
Christina Mwakangale
Nipashe
Kwa watoto wadogo sukari ndio kiungo muhimu zaidi kwao kwa kuwa huwekwa kwenye chakula chao, uji.Bidhaa ikiendelea kuadimika nchini, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Prof....
20Feb 2024
Grace Gurisha
Nipashe
Alidai kuwa ujumbe ulimfanya apige simu kwa Mkuu wa Kituo cha Polisi Kondoa kuhusiana na ujumbe huo, akimweleza kuwa Mkuu wa Kituo cha Polisi Chalinze anadai wamekuta gari porini na ndani kuna mwili...

BINTI Mfalme Zahra Agha Khana.

20Feb 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Wito huo ameutoa jana wakati alipokua katika mahafali ya 40 ya Chuo Kikuu cha Agha Khan nchini Kenya, ambapo zaidi ya wahitimu 1,000 wa Shahada ,Stashahada na Uzamifu kutoka Nairobi, Kampala, Dar es...
19Feb 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ziara hiyo pia itahusisha ukaguzi wa miradi mbalimbali ya umeme mkoani humo. Akiwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe, Dk. Biteko amepokelewa na viongozi mbalimbali wakiongozwa na...

Pages