NIPASHE
08Feb 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Waziri Jenista ameyasema hayo wakati akizungumza na ujumbe Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya Tanzania (TUGHE) Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma ukiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa chama...
08Feb 2024
Christina Mwakangale
Nipashe
Ofisa Mtendaji Mkuu wa wakfu huo, Seneta Dk. Rasha Kelej ameyasema hayo wiki hii akitangaza udhamini wa masomo kwa madaktari 40 kutoka nchi 28 barani humo, ikiwa ni kuadhimisha Siku ya Saratani...
08Feb 2024
Marco Maduhu
Nipashe
Makabidhiano ya gari hilo pamoja na vitanda vya wagonjwa yamefanyika leo Februari 9, 2024, na kuhudhuliwa na viongozi mbalimbali wa Serikali,Chama pamoja na Wananchi.Katambi ambaye pia ni Naibu...
08Feb 2024
Shaban Njia
Nipashe
Vifaa hivyo vimetolewa na Shirika la Wanawake katika Sheria na Maendeleo Barani Afrika(WiLDAF) kwa kushirikiana na UNFPA kwa kufadhiriwa na serikali ya Finland ili kukabiliana na ndoa na mimba za...
08Feb 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
na hivyo kuweza kuandaa mipango madhubuti ya kulinda nguvukazi inayotumika katika shughuli husika dhidi ya vihatarishi vya magonjwa na ajali mahali pa kazi.Kauli hiyo imetolewa Jana Jijini...
08Feb 2024
Thobias Mwanakatwe
Nipashe
Alisema hayo jana alipifanya ziara ya kutembelea na kukagua miradi ya maendeleo na baadaye kuzungumza na wazazi katika shule ya Sekondari Chikuyu ambayo ni miongoni mwa shule zilizopata fedha za...
08Feb 2024
Adela Madyane
Nipashe
Mshitakiwa alitenda kosa hilo Septemba 07, 2023 akiwa njiani baada ya kukodiwa na muhanga kumtoa katika kijiji cha Kidahwe na kumpeleka kijiji cha Mlela Mshtakiwa alifikishwa mahakamani kwa mara ya...
08Feb 2024
Halfani Chusi
Nipashe
Anadaiwa kunajisi mwanawe kwa miaka mitatu
Mkazi huyo wa kijijini Ilewelo, kata ya Manzase, wilayani Chamwino, anadaiwa kufanya ukatili huo tangu mwaka 2021 dhidi ya mwanawe mwenye umri wa miaka tisa. Alikamatwa na polisi Julai 30, mwaka jana...
08Feb 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Naibu Waziri wa Madini Dk. Steven Kiruswa ameyasema hayo wakati wa mahojiano maalum na waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya kimataifa kwenye Mkutano wa Uwekezaji wa Mining Indaba...
08Feb 2024
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Kukiwa na utata huo, serikali kupitia Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, imesema haihusiki na kuzuiliwa kwa mahojiano hayo yaliyopangwa kufanyika jana kwenye Kituo...
07Feb 2024
Augusta Njoji
Nipashe
Mfumo huo ambao kwa sasa unafanyiwa majaribio kwa baadhi ya shule za mikoa miwili ya Pwani na Dodoma, unamwezesha mwalimu kutoka kituo kimoja kufundisha wanafunzi wengi kwa wakati mmoja wakiwa mikoa...
07Feb 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Makamu wa Rais ametoa wito huo wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 7 wa Wadau wa Kijamii wa Afrika katika masuala ya Kazi na Ajira uliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere...
07Feb 2024
Thobias Mwanakatwe
Nipashe
Wafanyabiashara hao ambao ni Willington Ndyetabura (Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Mkoa wa Rukwa, Henry Mwakalile, Joramu Iganisa , Alex kimasa, Amos Magaba, Mzee Kumogola, Joseph Manyika,...
07Feb 2024
Sabato Kasika
Nipashe
Mradi huo unaofadhiliwa na mfuko uitwao U.S. Ambassador Fund for HIV/AIDS Relief (AFHR Grant) and PEPFAR, unafanyika kata tano katika Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani.Washiriki wake ni...
07Feb 2024
Thobias Mwanakatwe
Nipashe
Hukumu hiyo imetolewa leo Februari 7, 2024 na Hakimu Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Fadhiri Luvinga baada ya mahakama kujiridhisha na ushahidi uliotolewa na askari,walimu na daktari aliyefanya vipimo kwa...
07Feb 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Dk. Kiruswa Amwakikishia Utatuzi Wa Changamoto Mwekezaji Duffy
Ameongeza kuwa, katika kipindi cha miaka mitano, kampuni hiyo imeshuhudia mabadiliko makubwa yenye tija yakihusisha mahusiano mazuri ambayo kampuni hiyo inayapata kutoka kwenye jamii...
07Feb 2024
Maulid Mmbaga
Nipashe
Akizungumza leo visiwani Zanzibar, Waziri Mohamed, amesema hatua hiyo inadhirisha zaidi dhamira ya Airtel kukamilisha sera ya uchumi jumuishi kupitia huduma ya fedha kidijitali.Amesema ushirikiano...
07Feb 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
...kwa kufanya vizuri katika Mtihani wa kidato cha nne kwa kushika nafasi ya kwanza kimkoa na kushika nafasi ya pili kimkoa kwa matokeo ya kidato cha pili. Kauli hiyo ameitoa wakati alipokutana...
07Feb 2024
Marco Maduhu
Nipashe
-kwenye kumbukumbu ya vitabu vya stoo. Mkuu wa TAKUKURU mkoani humo, Donasian Kessy, amebainisha hayo leo Februari 07, 2024 wakati akitoa taarifa kwa vyombo vya habari.Amesema Taasisi hiyo ilifanya...
07Feb 2024
Thobias Mwanakatwe
Nipashe
Mabango ya wakandarasi na wazabuni hao yalikuwa na maelezo yenye madai yao ya fedha zaidi ya Sh.bilioni 5 ambazo wanazidai Halmashauri za Wilaya ya Nkasi,Kalambo,,Sumbawanga DC na Manispaa ya...








