NIPASHE
01Feb 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Uteuzi huo umezingatia matakwa ya kifungu cha 86A cha Sheria ya Uchaguzi ya Serikali za Mitaa, Sura 292.Uteuzi wa Madiwani hao wanawake wa viti maalumu umefanyika baada ya Tume kupokea barua kutoka...
31Jan 2024
Christina Mwakangale
Nipashe
Mratibu wa mtandao huo nchini, Pendo Lema amesema hayo leo, jijini Dar es Salaam, wakati wa uzinduzi huo na kwamba usaili tayari unaendelea kwa wajasiriamali na kujiandikisha kabla ya Februari 16,...
31Jan 2024
Frank Monyo
Nipashe
Akitoa taarifa hiyo leo mbele ya wanahabari, Mkurugenzi Mtendaji na Afisa Mtendaji Mkuu Chama Cha Waajiri Tanzania (ATE), Suzanne Ndomba-Doran, amesema kuwa maandalizi ya mkutano huo yamekamilika kwa...
31Jan 2024
Julieth Mkireri
Nipashe
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Pwani Mwinshehe Mlao amesema chama hicho kinajivunia maendeleo mengi ikiwa ni pamoja na miundombinu ya barabara ambazo kwasasa zinawawezeaha wananchi kufika eneo...
31Jan 2024
Christina Mwakangale
Nipashe
Msongo wa mawazo, ulaji usiofaa, ulevi, uzito uliopindukia, kutofanya mazoezi, lehemu katika damu ni miongoni mwa sababu hatarishi za shambulio la moyo na kiharusi mkoani Dar es Salaam.Daktari Bingwa...
30Jan 2024
Beatrice Shayo
Nipashe
Makonda alitoa agizo hilo wakati akipokea kero mbalimbali kwa wananchi wa Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu ambapo Monica Bona alieleza alitibiwa hospitali na kulipia gharama za matibabu ya ujauzito....
30Jan 2024
Beatrice Shayo
Nipashe
Makonda aliyasema hayo wakati akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu akiwa katika ziara yake ya ukaguzi w utekelezaji wa ilani ya uchaguzi na kutatua kero za wananchi. ...
30Jan 2024
Beatrice Shayo
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari, Mkurugenzi wa Huduma za Upasuaji Dkt. Rachel Mhaville, amesema upasuaji huo umefanikiwa kutokana na uwekezaji mkubwa uliofanywa na serikali ya awamu ya sita kwa...
30Jan 2024
Shaban Njia
Nipashe
Miti hiyo imepandwa kwenye viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kahama na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwemo Mwenyekiti wa CCM, Thomas Muyonga, Mwenyekiti wa chama cha wafanyabiashara na...
30Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Yatengeneza faida kabla ya kodi ya Shilingi billion 775
Akitangaza matokeo ya mafanikio hayo ya kihistoria jana jijini Dar es Salaam, Ofisa Mtendaji Mkuu wa benki hiyo, Ruth Zaipuna amewaambia waandishi wa habari kuwa rekodi mpya ya faida imetokana na...
Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya, Aretas Lyimo (kushoto) akimsikiliza Mkurugenzi wa Huduma za Sayansi Jinai wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA), David Elias, aliyekua akimpa maelezo wakati Kamishna huyo alipitembelea Banda la Mkemia Mkuu katika maonyesho ya Wiki ya Sheria Kitaifa yanayofanyika katika viwanja vya Nyerere Square Jijini Dodoma.
30Jan 2024
Mary Geofrey
Nipashe
Pongezi hizo zimetolewa na Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, David Ngunyale, katika maadhimisho ya Wiki ya Sheria, Kanda ya Dar es Salaam.Amesema utoaji wa ripoti za uchunguzi wa vinasaba...
30Jan 2024
Mary Geofrey
Nipashe
Wadau hao wameanza kutumia bandari hiyo baada ya kuona meli kubwa za kisasa zilizokuwa zikitumia bandari shindani za nchi jirani kuanza kutia nanga kwenye Bandari ya Tanga.Meneja wa Bandari ya Tanga...
30Jan 2024
Marco Maduhu
Nipashe
Amebainisha hayo leo Januari 30, 2024 kwenye kikao cha Baraza la Madiwani cha kuwasilisha taarifa za Kata wakati akichangia taarifa ya Diwani wa Bubiki, James Kasomi juu ya ubovu wa barabara ya...
30Jan 2024
Pilly Kigome
Nipashe
Wito huo umetolewa na Mkurugenzi wa Sheria Ponziano Lukosi akizungumza katika manesho hayo Januari 29 jijini Dar es Salaam.Amewataka wananchi kuyatumia vyema maonesho hayo kwakuwa hiki ndio...
30Jan 2024
Sabato Kasika
Nipashe
Chama hicho kinatumia wafanyakazi wake wa kujitolea wa mkoa huo kutoa huduma hiyo ili kulinda afya za wakazi wa wilaya hiyo waliokumbwa na mafuriko yaliyosababisha vifo na uharibifu wa mali....
30Jan 2024
Thobias Mwanakatwe
Nipashe
Akizungumza leo Januari 30, 2024 na Madiwani,Maafisa Tarafa,Wenyeviti wa vijiji,Maafisa Elimu Kata,Watendaji wa kata na vijiji wa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi kuangalia kutathimini ya...
30Jan 2024
Gideon Mwakanosya
Nipashe
-kwa wakazi wa kijiji cha Lwegu na vijiji vya jirani.Ushauri huo umetolewa na Diwani ya kata ya Lwegu Juma Lwambano wakati akiongea na NIPASHE ambapo alidai kuwa tukio hilo lilitokea katika kijiji...
29Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hatua hiyo imekuja baada ya mwananchi mmoja wa Mbezi Mtoni kulalamikiw ana wananchi kuchukua hatua ya kuingiza mashine ndani ya mto na kuhamisha njia ya maji kwa lengo la kunusuru nyumba yake...
29Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
...kwa lengo la kujadili changamoto ya nishati ya umeme inayokabili Mradi wa Mgodi wa Madini ya Kinywe Mahenge. Kwa upande wa Kampuni ya Faru Graphite, ukiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa...
29Jan 2024
Thobias Mwanakatwe
Nipashe
Akiwasilisha rasimu ya makisio ya mpango na bajeti ya halmashauri hiyo kwa mwaka wa fedha 2024/2025 juzi katika mkutano maalum wa baraza hilo ambao ulijadili mapitio ya utekelezaji wa mpango wa...








