NIPASHE
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Prof Joyce Ndalichako (wan ne kushoto), Waziri wa Kilimo Hussein Bashe wa (kwanza kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) Frank Nyabundege (wa tatu kulia) wakikabidhi vifaa vya kilimo kwa vijana walio kwenye mpango wa ‘Build a Better Tommorow’iliyopo chini ya Wizara ya Kilimo katika halfa iliyofanyika jana Chinangali Dodoma.
Baadhi ya wakazi wa Tegeta kwa Ndevu, wilayani Kinondoni, wakiangalia nyumba zilizoharibiwa na maji baada ya Mto Tegeta kufurika kutokana na mvua kubwa iliyonyesha Dar es Salaam jana na kusababisha maafa. Picha ndogo zikionesha sehemu ya barabara ya Kunduchi Mtongani ikiwa imekatika na ya Morogoro ikiwa imefurika maji eneo la Jangwani. PICHA : IMANI NATHANIEL








