NIPASHE
26Jan 2024
Maulid Mmbaga
Nipashe
Akizungumza leo Mkoani Dar es Salaam, Rehema amesema mbunge Zungu amekuwa ikiongozi ambaye amesaidia sana majukwaa ya wanawake katika jimbo lake, jambo ambalo limewasaidia kupiga hatu kwa kiasi...
26Jan 2024
Nipashe
Miradi iliyojadiliwa imehusisha kampuni za Sotta Mining Corporation Limited kupitia mradi wa uchimbaji madini ya dhahabu wa Nyanzaga, Kampuni ya Tembo Nikeli ya uchimbaji madini ya nikeli, Mamba...
26Jan 2024
Marco Maduhu
Nipashe
Mapendekezo ya Bajeti hiyo yamepitshwa leo Januari 25, 2024 kwenye Kikao cha Baraza la Madiwani, lililoketi katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga.Kaimu Mchumi wa Manispaa...
26Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Wilbrord Mtafungwa amethibitisha kukamatwa kwa diwani huyo kwa kesi ya shambulio la kudhuru mwili na kueleza kuwa uchunguzi unaendelea.“Ni kweli tunamshikilia...
26Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza leo baada ya kukagua maeneo ya miundombinu, Kamishna Kuji ameielekeza Menejimenti ya hifadhi hiyo, kurekebisha maeneo yote korofi na kuhakikisha kuwa hakuna maeneo ambayo...
26Jan 2024
Beatrice Shayo
Nipashe
Waziri Nchemba ameyasema hayo jana jioni wakati akitolea ufafanuzi wa maswali yaliyotolewa na wananchi katika mkutano wa ziara ya Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (...
26Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
...kuainisha viwango vya usalama na afya katika samani na vifaa mbali mbali vya ofisi kabla ya manunuzi kufanyika ili kuepuka kununua samani na vifaa visivyokidhi viwango stahiki. Ushauri...
26Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari , Simai ambaye ni Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu kwa tiketi ya CCM, alisema amewasilisha barua yake ya kujiuzulu kwa Rais Dk. Mwinyi kutokana na...
25Jan 2024
Shaban Njia
Nipashe
Mndeme ametoa maagizo haya leo wakati akizungumza na watumishi wa sekta ya afya wa Halmashauri za Msalala, Ushetu na Manispaa ya Kahama kama sehemu ya kuwakumbusha wajibu wao wa kufanyakazi kwa...
25Jan 2024
Neema Hussein
Nipashe
...ili kutatua changamoto mbalimbali ikiwemo mrundikano wa wanafunzi kwa baadhi ya shule pamoja na kuanzisha shule mpya katika vijiji ambavyo havinashule. Madiwani hao wamesema mbali na...
25Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Dk. Biteko amesema leo Januari, 25, 2024 wakati akizungumza na wananchi katika Kijiji cha Magodi na Kigandini wilayani Mkinga mkoani Tanga mara baada ya kuwasha umeme katika vijiji hivyo...
25Jan 2024
Marco Maduhu
Nipashe
Kata hiyo ya Idukilo wilayani Kishapu ambayo ndiyo imekumbwa na ugonjwa wa kipindupindu kwa kiwango kikubwa, imebainika kwamba kaya 142 hazina vyoo na wananchi wake hujisaidia vichakani, na ndiyo...
25Jan 2024
Zanura Mollel
Nipashe
Amesema Kilimo cha zao haramu aina ya Bangi uchangia uharibifu wa Mazingira kwa ukataji wa Miti nyakati za maandalizi ya Mashamba"Zoezi la kupanda miti litasaidia kutunza mazingira...
25Jan 2024
Maulid Mmbaga
Nipashe
Chalamila ametoa pongezi hizo leo mkoani Dar es Salaam wakati wa hafla ya kuwakabidhi polisi, uhamiaji na zimamoto pikipiki ambazo zitaenda kuwasaidia katika utekelezaji wa majukumu yao, akieleza...
25Jan 2024
Daniel Limbe
Nipashe
Ushauri huo umetolewa na Mbunifu wa Wakala wa Majengo nchini (TBA) ambaye pia ni msimamizi mkuu wa mradi wa ujenzi wa hospitali ya rufaa ya kanda Chato, Abdallah Mkumba, wakati akizungumza na Nipashe...
25Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ni baada ya zaidi ya miaka 70
Wateja wa mkahawa huo watakuwa wafanyakazi wa balozi, ambao kwa miaka mingi wameagiza pombe kutoka nje katika vifurushi rasmi vilivyofungwa vinavyojulikana kama mifuko ya kidiplomasia.Maafisa wa...
25Jan 2024
Julieth Mkireri
Nipashe
Wakati nipo Brazil nilikuwa nakikumbuka sana chama changu kipindi cha siku za mapumziko nilikuwa navaa shati langu la kijani na suruali nyeusi, msaidizi wangu akaniambia hakuna weekend kwenye ofisi...
25Jan 2024
Shaban Njia
Nipashe
Taarifa hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Christina Mndeme wakati akizungumza na watumishi wa idara ya afya kutoka Halmashauri za Msalala, Ushetu na Manispaa ya Kahama kama sehemu ya...
25Jan 2024
Elizabeth John
Nipashe
Afisa Lishe wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa, John Kiusa alitoa taarifa hiyo wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Lishe wilayani humo, amesema kiwango cha udumavu kwa asilimia 46.2 katika Wilaya hiyo...
25Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akitangaza matokeo hayo Jijini Dar es saaam, Katibu Mtendaji wa NECTA, Dk. Said Mohamed amesema “Wasichana waliofaulu ni 257,892 sawa na 86.17% wakati Wavulana waliofaulu ni 226,931 sawa na 89....








